Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
- Thread starter
- #21
Hiyo milima si kama ya Lushoto ambayo pia inatumika kwa utalii, barabara na reli vipo chakuongeza ni uwanja mdogo wa ndege na ukiwa mji wa kitalii ni wazi barabara Mikumi kwenda Morogoro itafungwa itatumika kwa watalii tu.Napajua vizuri sana Mikumi. Ni sehemu imekaa pazuri sana sio tu kiutalii hata uwekezaji wa viwanda na bandari kavu panafaa sana.
Changamoto ya Mikumi papo limited sana, pamebanwa mnoo. Kambi ya jeshi, hifadhi, Milima, mabonde (Ruhembe basin).