Waliochangia Mabilioni Kampeni za CCM ndo wenye ICD katikati ya Mji Dar

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Chalamila hawezi kuwagusa. Anapiga tu kelele Malori yamejaa Mjini, lakini Malori yanakuja Mjini kushusha na kupakia mizigo kwenye ICD.

Na Wamiliki wa wa ICD nnddo hao wanachangia Kampeni za CCM. Hakuna wa kuwagusa, Chalamila atabaki kupambana na Madereva tu.
‘Bandari kavu zina mizizi kwa wafadhili wa CCM na vigogo wa Serikali’

Waziri Kivuli wa Ujenzi, Miundombinu na Uchukuzi kutoka ACT Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, ameyasema haya leo Agosti 30, 2026, kupitia mkutano na vyombo vya habari uliofanyika makao makuu ya chama hicho, Dar es Salaam.

FYI: Wale wanaouliza ICD ni nini?

ICD inasimama maneno ya Kiingereza Inland Container Depot, na kwa Kiswahili inaitwa Bandari Kavu.

Hili ni eneo maalum lililotengwa nje ya eneo kuu la bandari ya baharini, ambalo linatumika kuhifadhi, kupokea, na kushughulikia makontena na mizigo.

Kazi Kuu za ICD (Bandari Kavu) ni Kupunguza msongamano Bandarini hasa Pale Meli inapokuwa inashusha au kupakia Mizigo.

Inasaidia kupunguza msongamano wa mizigo na makontena ndani ya bandari kuu.

Kurahisisha ushuru na forodha: Mizigo huhamishwa kutoka bandarini kwenda huku ili taratibu za kulipia kodi na ukaguzi wa forodha ziweze kufanyika kwa urahisi.

Kuharakisha utoaji wa mizigo: Inawapa wafanyabiashara urahisi wa kuchukua mizigo yao karibu na maeneo ya mji au nje ya eneo lenye shughuli nyingi za meli.

Malengo ya Nchi ilikuwa kujenga ICD nje ya Mji na Eneo lililotengwa ni Kwala. Ila watu wanaosimamia Sheria ndo wanahusika na ICD, Matokeo yake ICD zimejengwa nje ya Mageti ya Bandari(Temeke hasa eneo la Kurasini.

Kumbuka; Kata yote ya Kurasini imenunuliwa na wale wanaomba CCM mbele kwa mbele. Kisha wakaigawana kuweka ICD zao.
 
Kwahiyo Katiba inayotumika nchini ni ipi?
  • Ya Chama?
  • Ile iliyofanyiwa maongezo baada ya kuungana?
  • Au ILANI?

Nilidhani SIASA na BIASHARA hazipaswi kuchangamana?
 
Kama JWTZ na ubabe wao wameuza eneo Lao la jeshi pale zakheim Kwa GSM ni Nani mwingine mwenye ubavu wa kuzuia?
Huyu fala akiwa anaongea UJINGA wake watu tunamshangaa Tu Kwa ufala wake
Tuache siasa ila pale 671 KJ mi mwenyewe nilishangaa unajua ni Kitengo cha Ujasusi wa kijeshi pale (Military Intelligence)
 
Kama JWTZ na ubabe wao wameuza eneo Lao la jeshi pale zakheim Kwa GSM ni Nani mwingine mwenye ubavu wa kuzuia?
Huyu fala akiwa anaongea UJINGA wake watu tunamshangaa Tu Kwa ufala wake
Kumbe 671 KJ imeshauzwa. Mara ya mwisho nimeenda Pale Wakati Makonda anakagua maendeo ya Ujenzi wa barabara ya Mwendo kasi kipindi hicho akiwa mkuu wa Mkoa.

Ile sehemu Wachina walikodi kuweka vifaa vyao na Ofisi za Utawala.
Kumbe Jeshi jeshi washapapiga bei.

Ilikuwa kambi kubwa ya Mizinga. 2009 ilipolipuka mizinga Mbagala walitafutana.. Siku yanalipuka nilikuwa nimekaa Mgeni nani nacheza Draft.. Mzinga kidogo unitoe roho nikalala chini.
 
Kumbe 671 KJ imeshauzwa. Mara ya mwisho nimeenda Pale Wakati Makonda anakagua maendeo ya Ujenzi wa barabara ya Mwendo kasi kipindi hicho akiwa mkuu wa Mkoa.

Ile sehemu Wachina walikodi kuweka vifaa vyao na Ofisi za Utawala.
Kumbe Jeshi jeshi washapapiga bei.

Ilikuwa kambi ubwa ya Mizinga. 2009 ilipolipuka mizinga Mbagala walitafutana.. Siku yanalipuka nilikuwa nimekaa Mgeni nani nacheza Draft.. Mzinga kidogo unitoe roho nikalala chini.
Pameuzwa Toka mwaka Jana ..mabomu yalihamishwa Toka kipindi hicho cha balaa
 
Chalamila hawezi kuwagusa. Anapiga tu kelele Malori yamejaa Mjini, lakini Malori yanakuja Mjini kushusha na kupakia mizigo kwenye ICD.

Na Wamiliki wa wa ICD nnddo hao wanachangia Kampeni za CCM. Hakuna wa kuwagusa, Chalamila atabaki kupambana na Madereva tu.
‘Bandari kavu zina mizizi kwa wafadhili wa CCM na vigogo wa Serikali’

Waziri Kivuli wa Ujenzi, Miundombinu na Uchukuzi kutoka ACT Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, ameyasema haya leo Agosti 30, 2026, kupitia mkutano na vyombo vya habari uliofanyika makao makuu ya chama hicho, Dar es Salaam.

FYI: Wale wanaouliza ICD ni nini?

ICD inasimama maneno ya Kiingereza Inland Container Depot, na kwa Kiswahili inaitwa Bandari Kavu.

Hili ni eneo maalum lililotengwa nje ya eneo kuu la bandari ya baharini, ambalo linatumika kuhifadhi, kupokea, na kushughulikia makontena na mizigo.

Kazi Kuu za ICD (Bandari Kavu) ni Kupunguza msongamano Bandarini hasa Pale Meli inapokuwa inashusha au kupakia Mizigo.

Inasaidia kupunguza msongamano wa mizigo na makontena ndani ya bandari kuu.

Kurahisisha ushuru na forodha: Mizigo huhamishwa kutoka bandarini kwenda huku ili taratibu za kulipia kodi na ukaguzi wa forodha ziweze kufanyika kwa urahisi.

Kuharakisha utoaji wa mizigo: Inawapa wafanyabiashara urahisi wa kuchukua mizigo yao karibu na maeneo ya mji au nje ya eneo lenye shughuli nyingi za meli.

Malengo ya Nchi ilikuwa kujenga ICD nje ya Mji na Eneo lililotengwa ni Kwala. Ila watu wanaosimamia Sheria ndo wanahusika na ICD, Matokeo yake ICD zimejengwa nje ya Mageti ya Bandari(Temeke hasa eneo la Kurasini.

Kumbuka; Kata yote ya Kurasini imenunuliwa na wale wanaomba CCM mbele kwa mbele. Kisha wakaigawana kuweka ICD zao.

HOTUBA KAMILI NDEFU IKIANGAZIA KIINI CHA UTITIRI WA ICD NA MSONGAMANO WA MALORI UNAOTISHIA HUDUMA ZA BANDARI PAMOJA NA UCHUMI WA TAIFA

30 August 2026

Bw. Mtutura Abdallah Mtutura waziri Kivuli wa Ujenzi, Uchukuzi na Miundombinu, aliyewahi pia kuwa mjumbe mstaafu wa bodi ya wakurungezi wa Mamlaka ya bandari TPA, mtaalamu wa transport na logistics UN umoja wa Mataifa kwa miaka 8, TANESCO miaka 15, mbunge wa Tunduru n.k muda huu anazungumza na jopo zito la waandishi makini wenye maswali dodoso tunduizi :

View: https://m.youtube.com/watch?v=1SxrSbqjbno
Waziri Kivuli wa Ujenzi, Uchukuzi na Miundombinu wa ACT Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, Akizungumza leo tarehe 30 Agosti 2026 na waandishi wa habari

Mtutura ameitaka Serikali kuchukua hatua za haraka kwa kusitisha utoaji wa vibali vipya vya Bandari Kavu, kufanya mapitio ya maeneo yote yenye

ACT Wazalendo wa kutumia takwimu za serikali yafuatayo yamebainika
  • DP World haijaleta mchango wenye mguso ktk ongezeko la shehena
  • DR Congo baada ya kutoka kususia bandari za Tanzania
  • Uchumi wa nchi za Zambia, Malawi, Rwanda, Uganda
  • Kuporomoka idadi ya makontena ya futi 20
  • Bandari ya Tanga inayoendeshwa na TPA imeipiku bandari ya DSM inayoendeshwa na DP World
  • Meli kusubiri muda mwingi hivyo kushindwa kukidhi viwanda vya bandari kimataifa na TBS
  • Serikali kupata mgao kiduchu kutoka DP World
  • Ufanisi wa bandari ya Dar es Salaam kukabwa na kampuni lukuki za ICD zisizo na viwango
  • Demurrage charges kuongezeka is the failure to abide by the rules agreed to in a charter agreement, such as to load or discharge the ship by an agreed time.
  • Tozo kibao ikiwemo kugharamia miundo mbinu mipya ya bandari PID
  • PID - a new Port Infrastructure Development (PID) fee, the Tanzania Ports Authority (TPA) has deferred its implementation to
  • Ufanisi wa viwango vya chini Bandari ya DSM, kichocheo cha ughali wa maisha mitaani na nchini
  • TAFFA - the Tanzania Freight Forwarders Association
  • CapitalPay vs TAFFA
  • Government Notice GN. 83 / 2026 about CapitalPay
  • TCAMS (TANZANIA CLEARING AGENT MANAGEMENT SYSTEM) and Confidentiality vs CapitalPay
  • Tanzania Customs Agents Association (TACAS)
  • Wizara ya Uchukuzi wakae na TACAS , TRA, TPA
  • N.K Sikiliza video nzima upate picha kubwa sahihi tofauti na press conference za wasemaji wa serikali
TOKA MAKTABA

04 AUGUST 2026

TRC RELI NA MAMLAKA YA BANDARI, TANGA PORT, RELI YA MKOLONI MGR KUIMARISHWA

View: https://m.youtube.com/watch?v=aXiSL7ytvvU
Shirika la Reli Tanzania (TRC) la pokea vipande 17,006 vya reli pamoja na vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya takribani U$S dola za Marekani milioni 56, uwekezaji huo utaongeza ufanisi wa usafirishaji wa mizigo kutoka bandarini kuchochea biashara na kukuza uchumi wa mkoa wa Tanga, kanda ya kaskazini , Taifa na kikanda kwa ujumla eneo hili la Afrika Mashariki, Maziwa Makuu pia kusini mwa Afrika .....
 
Cc: funaku Stuxnet .

images - 2026-08-15T021551.165.jpeg
 
Chalamila hawezi kuwagusa. Anapiga tu kelele Malori yamejaa Mjini, lakini Malori yanakuja Mjini kushusha na kupakia mizigo kwenye ICD.

Na Wamiliki wa wa ICD nnddo hao wanachangia Kampeni za CCM. Hakuna wa kuwagusa, Chalamila atabaki kupambana na Madereva tu.
‘Bandari kavu zina mizizi kwa wafadhili wa CCM na vigogo wa Serikali’

Waziri Kivuli wa Ujenzi, Miundombinu na Uchukuzi kutoka ACT Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, ameyasema haya leo Agosti 30, 2026, kupitia mkutano na vyombo vya habari uliofanyika makao makuu ya chama hicho, Dar es Salaam.

FYI: Wale wanaouliza ICD ni nini?

ICD inasimama maneno ya Kiingereza Inland Container Depot, na kwa Kiswahili inaitwa Bandari Kavu.

Hili ni eneo maalum lililotengwa nje ya eneo kuu la bandari ya baharini, ambalo linatumika kuhifadhi, kupokea, na kushughulikia makontena na mizigo.

Kazi Kuu za ICD (Bandari Kavu) ni Kupunguza msongamano Bandarini hasa Pale Meli inapokuwa inashusha au kupakia Mizigo.

Inasaidia kupunguza msongamano wa mizigo na makontena ndani ya bandari kuu.

Kurahisisha ushuru na forodha: Mizigo huhamishwa kutoka bandarini kwenda huku ili taratibu za kulipia kodi na ukaguzi wa forodha ziweze kufanyika kwa urahisi.

Kuharakisha utoaji wa mizigo: Inawapa wafanyabiashara urahisi wa kuchukua mizigo yao karibu na maeneo ya mji au nje ya eneo lenye shughuli nyingi za meli.

Malengo ya Nchi ilikuwa kujenga ICD nje ya Mji na Eneo lililotengwa ni Kwala. Ila watu wanaosimamia Sheria ndo wanahusika na ICD, Matokeo yake ICD zimejengwa nje ya Mageti ya Bandari(Temeke hasa eneo la Kurasini.

Kumbuka; Kata yote ya Kurasini imenunuliwa na wale wanaomba CCM mbele kwa mbele. Kisha wakaigawana kuweka ICD zao.
 
Attachments

  • 1000024076.jpg
    1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 10
Bandari ya Tanga inayoendeshwa na TPA imeipiku bandari ya DSM inayoendeshwa na DP World

MCHANGO WA BANDARI YA TANGA

19 August 2026
Tanga, Tanzania

TANGA IMEKUWA KIMBILIO KUTOKANA NA UFANISI MKUBWA, INGAWA HAWANA MWEKEZAJI KUTOKA NJE, NI WAZALENDO TU NDIYO WANAIENDESHA

View: https://m.youtube.com/watch?v=kiusAcouFPQ
Meli yenye urefu wa meta 199 sawa takriban na viwanja viwili vya mpira imetia nanga katika bandari ya Tanga ikitokea nchini China ikiwa na mizigo mchanganyiko malori, nondo, coil bundle malighafi za viwanda vya kutengeneza mabati n.k

Sasa bandari ya Tanga inahudumia bidhaa za nchi jirani za Rwanda, Uganda, Kenya pia, Congo, Malawi na hadi nchi ya Zimbabwe wanaitumia bandari ya Tanga ya leo.

Toka nafasi za vibarua wa ajira za siku kutoka 6,000 hadi 17,000 huku maajenti wa forodha wakiongezeka toka 32 tu hadi kampuni 508 huku ma pilot wa tugboats na marine service, wafanyakazi wa TRA kukusanya kodi wakiongezeka hivyo sasa bandari ya Tanga inazidi kuchangamsha uchumi wa mkoa wa Tanga

Toka kutumia matishari mainstream kuhudumia meli kwa gharama kubwa hadi 2019 kuwekeza mlango wa meli wa kina mita 13 na ujenzi za gati kuwezesha meli kuegesha ktk gati za kisasa hivyo meli nyingi kuingia bandarini moja kwa moja kuegesha ktk bandari ya kisasa
 
Kumbe 671 KJ imeshauzwa. Mara ya mwisho nimeenda Pale Wakati Makonda anakagua maendeo ya Ujenzi wa barabara ya Mwendo kasi kipindi hicho akiwa mkuu wa Mkoa.

Ile sehemu Wachina walikodi kuweka vifaa vyao na Ofisi za Utawala.
Kumbe Jeshi jeshi washapapiga bei.

Ilikuwa kambi ubwa ya Mizinga. 2009 ilipolipuka mizinga Mbagala walitafutana.. Siku yanalipuka nilikuwa nimekaa Mgeni nani nacheza Draft.. Mzinga kidogo unitoe roho nikalala chini.
Nimecheka sana mkuu😀
 
Chalamila hawezi kuwagusa. Anapiga tu kelele Malori yamejaa Mjini, lakini Malori yanakuja Mjini kushusha na kupakia mizigo kwenye ICD.

Na Wamiliki wa wa ICD nnddo hao wanachangia Kampeni za CCM. Hakuna wa kuwagusa, Chalamila atabaki kupambana na Madereva tu.
‘Bandari kavu zina mizizi kwa wafadhili wa CCM na vigogo wa Serikali’

Waziri Kivuli wa Ujenzi, Miundombinu na Uchukuzi kutoka ACT Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, ameyasema haya leo Agosti 30, 2026, kupitia mkutano na vyombo vya habari uliofanyika makao makuu ya chama hicho, Dar es Salaam.

FYI: Wale wanaouliza ICD ni nini?

ICD inasimama maneno ya Kiingereza Inland Container Depot, na kwa Kiswahili inaitwa Bandari Kavu.

Hili ni eneo maalum lililotengwa nje ya eneo kuu la bandari ya baharini, ambalo linatumika kuhifadhi, kupokea, na kushughulikia makontena na mizigo.

Kazi Kuu za ICD (Bandari Kavu) ni Kupunguza msongamano Bandarini hasa Pale Meli inapokuwa inashusha au kupakia Mizigo.

Inasaidia kupunguza msongamano wa mizigo na makontena ndani ya bandari kuu.

Kurahisisha ushuru na forodha: Mizigo huhamishwa kutoka bandarini kwenda huku ili taratibu za kulipia kodi na ukaguzi wa forodha ziweze kufanyika kwa urahisi.

Kuharakisha utoaji wa mizigo: Inawapa wafanyabiashara urahisi wa kuchukua mizigo yao karibu na maeneo ya mji au nje ya eneo lenye shughuli nyingi za meli.

Malengo ya Nchi ilikuwa kujenga ICD nje ya Mji na Eneo lililotengwa ni Kwala. Ila watu wanaosimamia Sheria ndo wanahusika na ICD, Matokeo yake ICD zimejengwa nje ya Mageti ya Bandari(Temeke hasa eneo la Kurasini.

Kumbuka; Kata yote ya Kurasini imenunuliwa na wale wanaomba CCM mbele kwa mbele. Kisha wakaigawana kuweka ICD zao.
Ni kweli kabisa! Mimi mmojawapo wa waathirika wa hapo kurasini. Daa Mungu anawaona nyie ccm
 
29 August 2026
Mombasa, Kenya

Mombasa port faces congestion risk over higher customs threshold

View: https://m.youtube.com/watch?v=hSuuorkph54
The Port of Mombasa is facing the risk of severe container congestion after traders reportedly halted the clearance of imported cargo, particularly consignments from China, following an increase in the customs clearance threshold for consolidated cargo.

The new threshold, which took effect on August 21, 2026 has raised the cost of clearing consignments from KShs2.5 million to KShs 3.2 million, adding to the financial burden on traders.

Traders and consolidators, who handle the collection of cargo on their behalf, say protests against the increase will continue until the Kenya Revenue Authority (KRA) reviews and reduces the new charges

KRA clarifies KShs 3.2 million consolidated cargo threshold amid traders’ concerns​

According to KRA, the minimum yield is a risk‑management reference used to simplify the clearance of goods imported through cargo consolidation.
On other hand The Kenya Revenue Authority (KRA) has clarified that the new Sh3.2 million minimum yield for consolidated cargo is not a fixed tax charge, following concerns raised by small‑scale traders over the revised threshold.

According to KRA, the minimum yield is a risk‑management reference used to simplify the clearance of goods imported through cargo consolidation.

Cargo consolidation allows small‑scale traders to combine their shipments, making it easier and more affordable to clear their goods while reducing the administrative burden of processing numerous small consignments individually.
 
Mkurupuko wa RC Albert Chalamila umejibiwa vizuri kwa data pia changamoto zake mtambuka na mh. Mtutura Abdallah Mtutura jana 30 August 2026 na leo 31 Agosti 2026 uongozi wa TASAC imeunga mkono changamoto zilizoibuliwa na ACT Wazalendo kupitia waziri wa kivuli mh. Mtutura
 
Back
Top Bottom