Hatima mamlaka yajitokeza kumjibu waziri kivuli wa ACT Wazalendo mh. Mtutura Abdallah Mtutura
31 August 2026
MOHAMED SALUM - "UCHUMI wa NCHI YETU UNAKUA - TUNATEGEMEWA" - TASAC BAADA ya ZIARA ya CHALAMILA KUTINGA BANDARI KAVU
View: https://m.youtube.com/watch?v=vcRc6gKWXgY
Mkurugenzi mkuu wa TASAC Mohamed Salum azungumza na waandishi wa habari kuhusu changamoto za bandari ya Dar es Salaam zilizosababisha kuibuka kwa bandari kavu ndani ya jiji la Dar es Salaam
Ukuaji wa uchumi wa Tanzania unaimarika kwa kasi kupitia maboresho ya miundombinu ya bandari kavu (ICDs), huku nchi ikizidi kutegemewa na mataifa jirani kwa usafirishaji wa shehena.
Bandari ya Da es Salaam imeelemewa yaani port congestion na makontena kiasi DP World ilitaka kusitisha huduma zaidi.
Hivyo ICD kubwa kufunguliwa Mbagala, ICD HEKO Kigamboni, ICD Kilimanjaro na kupungiza msongamano ndani ya Bandari ya Dar es Salaam. Kilimanjaro ICD imewekeza zaidi ya shilingi bilioni 15 katika miundombinu ya zege na teknolojia ya kisasa kwenye eneo la mita za mraba 118,000, jambo linalofungua fursa nyingi za ajira na kukuza biashara
ICD hizi yaani bandari kavu ndiyo zimezusha gumzo kubwa kuhusu msongamano wa malori ..
Urasimishaji wa Bandari Kavu: Mkurugenzi kutoka TASAC alibainisha kuwa TASAC hilo tayari lishasimamia na kurasimisha takribani bandari kavu 29 nchini
ili kusaidia kupunguza msongamano wa malori na kuongeza ufanisi wa kupokea mzigo kutoka Bandari Kuu ya Dar es Salaam
TOKA MAKTABA :
27 August 2026
RC CHALAMILA AFANYA UKAGUZI BANDARI KAVU, ASISITIZA MAAGIZO YAKE KUFANYIWA KAZI
View: https://m.youtube.com/watch?v=p9zgjYDj_B0
14 August 2026
ELIMU YA UENDESHAJI BANDARI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO
View: https://m.youtube.com/watch?v=qrkoFqeo4dw
Chuo cha Bandari kufanya uchunguzi na utafiti ili kutoa ushauri mujarabu