Kukauka Midomo na kutoka viganda

Kukauka Midomo na kutoka viganda

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,625
Reaction score
3,014
Wadau nina mtoto wa miaka 5, akiwa na miuaka 3 midmorning yake ilianza kutoka kutoka viganda. Hospitali walimuangalia na kumpa dawa ya kuongeza madina ( hawakusema madini gani). Hadi sasa midomo inakauka na kutoa viganda. Haumwi wala nini, isipokuwa hii midomo inanishangaza maana inakuwa hivi kipindi chose ( baridi au joto).

Ninampaka mafuta ya mgando lakini bado.

Mwenye kujua au aliewahi kukutana na changamoto hii tupeane utaalamu wa kuondokana na tatizo hili


IMG_20261101_214422.jpg
 
Lip balm au Vaseline vitasaidia,aoshe mdomo(lips) kabla hajapaka, common sana nchi zenye baridi kama Europe or US
 
Back
Top Bottom