Hivi unajua ya kua neno BUZA limetoholewa kutoka kwenye neno BUDDHA?

Hivi unajua ya kua neno BUZA limetoholewa kutoka kwenye neno BUDDHA?

AXIOM APEX VERBOSE

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
13,769
Reaction score
23,676
Aaaha Wakuu,

Ni hivi na wewe ulikua unajua hii? Kwamba;

Sijui km unajua na km ulikua haujui basi leo ngoja nikujuze na utakua umejua na ninajua ulikua haujui basi leo umejua hili neno Buza kwa Mama Kibonge, Buza kwa Mpalange, Buza Kanisana, Buza kwa Lulenge, Buza limetokana na neno Buddha.


View: https://m.youtube.com/watch?v=9J4VZsYwrOs&pp=0gcJCbgCo7VqN5tD

Oya wee achia kamba hio!
 
Unaota wewe,

Buza kwa mama bonge mbona hakuna temple?

Huko ndo kumejaa wanawake wauzaji, hakuna cha u Buddha wala nini
 
Back
Top Bottom