Nafurahishwa sana na utangazaji wa watangazaji EATV habari

Nafurahishwa sana na utangazaji wa watangazaji EATV habari

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
11,915
Reaction score
28,284
Pamoja na kwamba wanatumia camera za zamani sana kurekodi taarifa Yao huku watangazaji wakiwa hawaonekani vizuri ama kuonekana wanene kuliko kawaida lakini Samsoni Charles na jopo lake wanahabarisha kwa weledi mkubwa

Hali hii imepelekea wao kuwa vinara wakiwapiku wenzao wa ITV,Channel Ten,Star tv na Tbc wenye teknolojia kama Yao

Waendelee hivyo hivyo na kuondoa ule utangazaji wa zamani wa kubana miguu na kusimama wima
 
Back
Top Bottom