MACKDONALD MUSHI
New Member
- Nov 1, 2026
- 1
- 4
Habari ,Mimi ni mpya hapa jamii forums,naendesha non profit organization ,ambayo ni charity hapa Tanzania na imesajiliwa.
Napenda kuina mawazo yenu,je taasisi zinazohusika na fundraiser ndani ya nchi, kwanini hazioni taasisi changa na kuzipa misaada ,hali inayopelekea taasisi hizi ziombe msaada nje ya nchi.