Tulikutana behind anonymous usernames, urafiki ukawa halisi, lakini leo hatujui walipo wala kama kuna siku tutasikia habari zao tena💔

Tulikutana behind anonymous usernames, urafiki ukawa halisi, lakini leo hatujui walipo wala kama kuna siku tutasikia habari zao tena💔

Mla Bata

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
8,461
Reaction score
19,779
Wasalaam,

Maisha ni fumbo lisilo na majibu ya moja kwa moja, leo tunakutana na watu, tunajenga ukaribu wa mda mrefu, lakini kesho hatujui njia zetu zitatupeleka wapi. Wengine huwa sehemu ya maisha yetu kwa muda mfupi, lakini alama wanayoacha mioyoni mwetu hudumu kwa miaka.

Wakati mwingine, kinachouma zaidi si kupoteza mawasiliano na mtu, bali ni kutokujua kama yuko salama, anaendeleaje na maisha yake, au kama kuna siku mtapata nafasi ya kuzungumza tena.

Perhaps one day, you will log in hoping to find a familiar username, only to realize that someone who was once part of your daily conversations has become a distant memory, with no way of knowing where life has taken them.

Ndiyo maana ni muhimu kuthaminiana tunapopata nafasi. Maana nyuma ya kila username kuna binadamu mwenye hisia, changamoto na maisha yake binafsi.

Special shout-out kwa wale tuliokutana hapa JF, lakini urafiki wetu ukavuka mipaka ya jukwaa hili. Kwa wale ambao hadi leo tunawasiliana, tunakutana na kunapeana updates za maisha, tunashauriana na kuendeleza ujamaa wetu nje ya anonymous usernames.

Some friendships begin anonymously, but leave memories that last a lifetime.

Paula Paul


Wasalaam,

Mla bata

München, Deutschland 🇩🇪.
 
Mi nilipotezega buzi langu humu.

We kaka wewe nakumbuka jinsi ulivyokuwa ukinisomesha vitabu na magazeti ili uhakiki sauti yangu!!!
namiss yale ma dolali na na mapicha ya kunitamanisha ulaya huku mwenzio nikiwa sina hata passport

Miss u sana shoga angu sikupati kwenye simu, chimbo letu la kahawa na maua hujahudhuria sasa ni muda ukipita hapa nitqfute
 
Siku zote akili inatamani kukutana na kitu kipya, likewise hata kwenye kuhusiana, unafurahi kuonana na experience mpya, mtu mgeni hujawahi kumuona, mtu wa mtandaoni. Lakini end of the day watu ni walewale, tabia ni zilezile na wakati.mwingine hata utamu unaopata ni uleule.

Think of your classmates, watoto mliokuwa pamoja huko vijijini. Once mlikuwa karibu sana, ona leo hata ukiingia kwenye social networks mpo pamoja ila ninkama hamna connection tena! I've seen it kwa classmates wa o level, a level na hata chuo. No connection anymore.
 
Mi nilipotezega buzi langu humu.

We kaka wewe nakumbuka jinsi ulivyokuwa ukinisomesha vitabu na magazeti ili uhakiki sauti yangu!!!
namiss yale ma dolali na na mapicha ya kunitamanisha ulaya huku mwenzio nikiwa sina hata passport

Miss u sana shoga angu sikupati kwenye simu, chimbo letu la kahawa na maua hujahudhuria sasa ni muda ukipita hapa nitqfute
Pole sana mrembo, nilibadili namba baada ya ishu fulani kukaa vibaya upande wangu ila soon narudi Tz kwa ajili ya kutimiza ndoa jambo ambalo tulikuwa tunalitamani kwa muda mrefu sana.

Nitumie namba pm ili nikuchek wasap babe
 
Mi nilipotezega buzi langu humu.

We kaka wewe nakumbuka jinsi ulivyokuwa ukinisomesha vitabu na magazeti ili uhakiki sauti yangu!!!
namiss yale ma dolali na na mapicha ya kunitamanisha ulaya huku mwenzio nikiwa sina hata passport

Miss u sana shoga angu sikupati kwenye simu, chimbo letu la kahawa na maua hujahudhuria sasa ni muda ukipita hapa nitqfute
I feel you & i can imagine.
 
Back
Top Bottom