radar

  1. Suley2019

    Mdude: Tanzania haina kifaa cha uokozi kwenye majanga ya Vifusi na maji (rescue radar)

    Hiki kifaa kinatumika wakati wa majanga ya watu waliofukiwa kwenye kifusi au maji ku-scan na kujua walipo. Hiki kifaa TZ haina na kinauzwa milion 10 tu. Ila Samia katoa milion 700 za pongezi kwa Taifa stars, halafu waokoaji Kariakoo wanakisia kutafuta wahanga walipo ili wawaokoe.
  2. MK254

    Mifumo ya Rada ya Iran ilidukuliwa kabla ndege za Israel kufika, ndio maana walijipigia walivyotaka na kugeuza bila tatizo

    Hiyo mifumo ilidukuliwa wakapoteana, ndege za Israel zikawa zinajipigia tu, sema tatizo ni kwamba walipiga kwa malengo, hakuna rubani aliyepiga sehemu hakupangiwa, ila ingekua lile agizo la kijeshi inaloitwa "fire at will", Tehran ingewaka moto, maana hilo agizo humaanisha kwamba mwanajeshi...
  3. G

    Marubani wa kike wameua wanajeshi 4 Iran, Hakuna ndege ya Israel imeguswa, Radar zimetunguliwa na viwanda vya makombora vimelipuliwa

    wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua. Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024...
  4. Komeo Lachuma

    Tunasema kwa niaba ya Iran; "Hiloooo sijaumia" Radar S300 na S400 za Iran zimepasuliwa

    Huku unamkuta Ritz na kimsboy na Webabu wanazomea.... "Hilooooooo sijaumia wala nini" aliyegongwa hawezi kukaa vizuri,hawezi kutembea vizuri. Unawatizama unasema "hiiiiiiii" israel walikuwa wanapiga kwa calculation.hawakuwa wanakipigia tu kuua Raia.
  5. MK254

    Kipigo cha F-35 za Israel husikika kama ndege zishajiondokea, hamna radar huzigundua

    Yaani ndege zinapaa na kushusha madude na kujiondokea, baadaye mnaanza kulipukiwa, mnatafuta ndege hazipo, zilishapiga. Huwa hazionekani kwa radar yoyote.... na ndio kilichowakuta magaidi wa uislamu, akina Houthi. ======================== The first of these advantages is stealth, the fact that...
  6. ChampN199

    Ni chuo kipi hapa Tanzania kinatoa Bachelor ya Electronics & Radar Engineering?

    Wadau na wana familia wa JF , naombeni msaada kwenye hili. Naomba kujua chuo gani hapa tanzania kinatoa kozi ya radar engineering ngazi ya degree.
  7. MK254

    Ukraine wapiga radar ya nyuklia ya Urusi, hapa kama wameenda mbali sasa

    Ukraine kwenye hili mumeenda mbali hata mimi shabiki wenu kindaki ndaki nimeingiwa na wasiwasi. Kupiga radar inayotumika na Urusi kujilinda dhidi ya mashambulizi ya nyuklia mtakua mumevuka mpaka, hivi Urusi mbona imekua legelege kiasi hiki, hawa ndio walitegemeaa na waarabu siku zone...
  8. T

    Gravitas: China exports faulty war machines, countries complain about defective jets, radar & ships

    Tukisema Ulaya na Nchi za magharibi ujasusi wao ni wakiwango cha kutisha muwe mnaamini. Ktk hili sitaki kuamini hata Tanzania huenda tumeshapigwa japo yaweza kuwa top secret. Siku chache baada ya Mchina kujifanya anapiga ban iphone majasusi wameamua kukinukisha kwa kuvujisha taarifa za Siri...
  9. The unpaid Seller

    Fuatilia hapa LIVE route - radar ya ndege SPAR19 iliyombeba Speaker Nancy akielekea Taiwan

    Leo ndio leo msema kesho mchawi, Zaidi ya watu laki tano wanaiouatilia roupe/safari ya Pelosi kuelekea Taiwan ambapo China imekemea vikalh hatua hiyo kwa kurusha ndege za kivita kuizunguka Taiwan huku U.S.A nao wakisogeza meli na manuari zao. Ungana na maelfu ya watu kufuatilia kitakachojiri...
  10. wakatanta

    Waziri na Bodi ya Nishati mlianza kwa kutupiga Tshs bilioni 65 kwa kufunga rada wakati hakuna umeme wa uhakika

    Waziri January Makamba ulipoingia wizarani baada ya kuunda bodi ya wakurugenzi haikupita muda mkaingia mkataba wa dola million 30 na kampuni ya kihindi ya Mahendra kwa ajili ya setelite. Huu ni wizi wa mchana kabisa tena wa mapema ukifumbiwa macho na utawala. 1. Kama miundo mbinu mibovu...
  11. FRANC THE GREAT

    STEALTH (LOW OBSERVABLE) TECHNOLOGY | Teknolojia ya ndege kutoonekana/kutotambulika na rada (RADAR)

    GTs na wadau wote wa JamiiForums kwa ujumla, habarini! Kabla ya yote, niombe ukaribu wenu hapa katika hiki ninachokwenda kukiwasilisha kwenu. Natumai tutakuwa pamoja kuanzia mwanzo hadi mwisho katika uchambuzi wa kina kuhusiana na teknolojia ya stealth ambayo imekuwa ikisifika hasa katika...
  12. BAK

    CUF waisakama serikali kuhusu Richmond, EPA, rada, ufisadi

    Date::8/28/2008 CUF waisakama serikali kuhusu Richmond, EPA, rada, ufisadi ..... Kizitto Noya na Saa Mohamed Mwananchi MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imekosa maadili ya uongozi kutokana na kutowachukulia hatua za...
Back
Top Bottom