Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Unataka kunizibia riziki au sio, watu wabaya sana 🙌Basi njoo kwa pm yangu na Maringo yako nione kama na fika dau.
Unataka kunizibia riziki au sio, watu wabaya sana 🙌Basi njoo kwa pm yangu na Maringo yako nione kama na fika dau.
Ila wewe ukiandika mara nyingi huwa ni kweli, huna story za kutungua.Ndege mwarabu mbona umeshangaa namna hiyo????
Sahihi kabisa mkuu, umeiweka kitaalam sana!You're right, Sometimes we chase the mystery of strangers while slowly becoming strangers to the people who once knew us best. The mind is always curious about the unknown mkuu.
Changamsha genge tu!!! hakuna loloteIla wewe ukiandika mara nyingi huwa ni kweli, huna story za kutungua.
Wala sijashangaa, nimeona ni-comment ili nizidi kuona notifications.
Bebe siku nikifurahi tukutane selfikaNibless kapicha, n muds mrefu sijakuona babe
Very well put 💯Ndiyo maana ni muhimu kuthaminiana tunapopata nafasi. Maana nyuma ya kila username kuna binadamu mwenye hisia, changamoto na maisha yake binafsi.
Kuna watu kadhaa nilishakutana nao humu wakanisaidia, wakanishauri na wengine tukatengeneza mawasiliano mazuri japo wengi hatujawahi kuonana ana kwa ana.Special shout-out kwa wale tuliokutana hapa JF, lakini urafiki wetu ukavuka mipaka ya jukwaa hili. Kwa wale ambao hadi leo tunawasiliana, tunakutana na kunapeana updates za maisha, tunashauriana na kuendeleza ujamaa wetu nje ya anonymous usernames.
Some friendships begin anonymously, but leave memories that last a lifetime.
Paula Paul
Wasalaam,
Mla bata
München, Deutschland 🇩🇪.
Wewe ni iongoni mwa membaz ninaowaaminu humu.Changamsha genge tu!!! hakuna lolote
Chiwawa mi na wewe hatuwezani kabisaaaa!!!!!! maana mimi nazeeka na tamaa ya kupenda pesa na kuomba pesa.... we nae na nyuzi zako za kuomba omba mi staki.Basi njoo kwa pm yangu na Maringo yako nione kama na fika dau.
Mmh!!!! sawaWewe ni iongoni mwa membaz ninaowaaminu humu.
Hili nalisema bila kutetereka.
Nakubaliana na wewe Kiranga , kila kitu kina mwisho. Ila nafikiri kuna tofauti kati ya kukubali kwamba kitu kimefika mwisho na kuelewa kwa nini kiliishia pale.Katika maisha kila kitu kinapita. Hata jua litazimika, dunia itafikia mwisho.
Ukielewa hili unakubali tu yanayofikia mwisho yamefikia mwisho.
Kazi nzuri sana.Mmh!!!! sawa
Selfika upuuzi mwingi, nakuja pm 😎Bebe siku nikifurahi tukutane selfika
Nina nyuzi gani ya kuomba? Hebu wacha dharau aiseeChiwawa mi na wewe hatuwezani kabisaaaa!!!!!! maana mimi nazeeka na tamaa ya kupenda pesa na kuomba pesa.... we nae na nyuzi zako za kuomba omba mi staki.
Aisee chalii taarifa za Paula imekuwa changamoto, mara ya mwisho kuwasiliana nae ilikuwa mwisho wa mwaka 2023 na ndio kipindi cha mwisho yeye kuchangia hapa jukwaani binafsi sikuweza kumsikia tena, naamini bado tupo nae na yumzima wa afya.Umenikumbusha Paula Paul moja kati ya member wa kike ambao ni very smart upstairs niliwahi kuwafahamu hapa JF.
I hope alipo yupo salama.
Aisee 🤣Very well put 💯
Mimi kuna watu kadhaa nilishakutana nao humu na tukatengeneza mahusiano mazuri japo wengu hatujawahi kuonana ana kwa ana.
Kuna mtu mmoja kutoka JF nilishawahi kuwa na ukaribu naye humu mpaka nisipoongea naye najisikia kama kuna kitu nimekikosa, hatukuwahi kuonana ila genuinely alinigusa. From time to time huwa namkumbuka, nina audio ya sauti yake aliacha kwenye voicemail huwa naisikiliza nikimkumbuka. Overtime mawasiliano yetu yalipungua na mpaka mwisho yakakata kabisa na sina namna ya kumpata tena. I hope all is well with them!
Pm huwa sijibu mpaka nione screenshot ya open chequeSelfika upuuzi mwingi, nakuja pm 😎
kwenye pita pita huwa naona unafanishwa na jamaa anayemiliki baraza la id mbalimbali.Nina nyuzi gani ya kuomba? Hebu wacha dharau aisee
We are here temporarily! AnonymouslyWasalaam,
Maisha ni fumbo lisilo na majibu ya moja kwa moja, leo tunakutana na watu, tunajenga ukaribu wa mda mrefu, lakini kesho hatujui njia zetu zitatupeleka wapi. Wengine huwa sehemu ya maisha yetu kwa muda mfupi, lakini alama wanayoacha mioyoni mwetu hudumu kwa miaka.
Wakati mwingine, kinachouma zaidi si kupoteza mawasiliano na mtu, bali ni kutokujua kama yuko salama, anaendeleaje na maisha yake, au kama kuna siku mtapata nafasi ya kuzungumza tena.
Perhaps one day, you will log in hoping to find a familiar username, only to realize that someone who was once part of your daily conversations has become a distant memory, with no way of knowing where life has taken them.
Ndiyo maana ni muhimu kuthaminiana tunapopata nafasi. Maana nyuma ya kila username kuna binadamu mwenye hisia, changamoto na maisha yake binafsi.
Special shout-out kwa wale tuliokutana hapa JF, lakini urafiki wetu ukavuka mipaka ya jukwaa hili. Kwa wale ambao hadi leo tunawasiliana, tunakutana na kunapeana updates za maisha, tunashauriana na kuendeleza ujamaa wetu nje ya anonymous usernames.
Some friendships begin anonymously, but leave memories that last a lifetime.
Paula Paul
Wasalaam,
Mla bata
München, Deutschland 🇩🇪.
Usipende kusikiliza maneno ya walimwengu, njoo kwa pm yangu tuweze kuyajenga mrembo...kwenye pita pita huwa naona unafanishwa na jamaa anayemiliki baraza la id mbalimbali.
Ivi uko kwasiku wanakuja wangapi?Pm huwa sijibu mpaka nione screenshot ya open cheque