Tulikutana behind anonymous usernames, urafiki ukawa halisi, lakini leo hatujui walipo wala kama kuna siku tutasikia habari zao tena💔

Tulikutana behind anonymous usernames, urafiki ukawa halisi, lakini leo hatujui walipo wala kama kuna siku tutasikia habari zao tena💔

Nature sometimes inapelekea hivyo.
Sahihi ila ina inauma sana

Back then, tulikuwa na real love, hakuna fake vibes wala hidden agendas, ilikuwa ni urafiki wa ukweli kutoka moyoni

Nowadays, kila mtu ana hustle zake, everybody tryna make it in life, tunapiga deals na tunatafuta maisha, but deep down, ile bond ya utotoni?

Daaah, hiyo connection huwezi kurecreate, no matter how much life changes
 
I feel you mkuu.👊🏾
 
Mi nilipotezega buzi langu humu.

We kaka wewe nakumbuka jinsi ulivyokuwa ukinisomesha vitabu na magazeti ili uhakiki sauti yangu!!!
namiss yale ma dolali na na mapicha ya kunitamanisha ulaya huku mwenzio nikiwa sina hata passport

Miss u sana shoga angu sikupati kwenye simu, chimbo letu la kahawa na maua hujahudhuria sasa ni muda ukipita hapa nitqfute
Nilidhani ni mimi, ila nilipoona ilo neno nikagundua sio mimi
 
Tuishi kwa upendo na Amani.

Sometimes naamini Nature huwa inakuletea watu wa aina fulani

Mfano ukiwa na huzuni inakuletea mtu wa kukufariji after a time anaondoka bila hata wewe ku notice.
Bro ni bia tu umeacha? Au na dini umechange umekua msabato???

Yani kuna namna Kuna namna flani hivi yani ni namna flani ambayo kinamna flani aaaaah au basi
 
Back
Top Bottom