Tulikutana behind anonymous usernames, urafiki ukawa halisi, lakini leo hatujui walipo wala kama kuna siku tutasikia habari zao tena💔

Tulikutana behind anonymous usernames, urafiki ukawa halisi, lakini leo hatujui walipo wala kama kuna siku tutasikia habari zao tena💔

Siku zote akili inatamani kukutana na kitu kipya, likewise hata kwenye kuhusiana, unafurahi kuonana na experience mpya, mtu mgeni hujawahi kumuona, mtu wa mtandaoni. Lakini end of the day watu ni walewale, tabia ni zilezile na wakati.mwingine hata utamu unaopata ni uleule.

Think of your classmates, watoto mliokuwa pamoja huko vijijini. Once mlikuwa karibu sana, ona leo hata ukiingia kwenye social networks mpo pamoja ila ninkama hamna connection tena! I've seen it kwa classmates wa o level, a level na hata chuo. No connection anymore.
Yote uliyozungumza yapo perfet isipokua kusema kwamba 'utamu ni ule ule' hapo ndipo ninabishi.
 
Mi nilipotezega buzi langu humu.

We kaka wewe nakumbuka jinsi ulivyokuwa ukinisomesha vitabu na magazeti ili uhakiki sauti yangu!!!
namiss yale ma dolali na na mapicha ya kunitamanisha ulaya huku mwenzio nikiwa sina hata passport

Miss u sana shoga angu sikupati kwenye simu, chimbo letu la kahawa na maua hujahudhuria sasa ni muda ukipita hapa nitqfute
😂😂😂😂
 
Ukielewa hili unakubali tu yanayofikia mwisho yamefikia mwisho
The end is End!
Mkuu huwa nataman nikutane na wewe!
Navutiwa na we vile unawasilisha hoja unapinga hoja kwa utulivu na kwa ukomavu.

NB. Mwambie mtu ukweli angali anaweza kusikia. Na kwa upande wangu nimesema ukweli vile nakuchukulia
 
Mkuu,

Shukurani.

Nimepata kudadisi dadisi mambo mengi. Hiyo falsafa nimejiongeza na kujifunza sana kwa ma Buddhist.

Buddhists wana falsafa kubwa sana kuhusu maisha, na jinsi watu wanavyong'ang'ania mambo, na jinsi mambo yote yalivyo na mwisho, na jinsi tusivyotakiwa kung'ang'ania mambo yaliyofikia mwisho wake, tuweze kuishi kwa amani tu kwa kujua kila jambo lina mwisho.

Kuna kitu chao wanakipenda kwa Kiingereza kinaitwa equanimity. Yani unatakiwa kuwa katika mstari ule ule wa kuwa of keen mind, kutotetereka, ukiwa bilionea au ukiwa masikini wa kuparura majaani, ukiwa mfalme au kapuku, ukisifiwa sana au ukilaumiwa sana.

Equanimity.

Yani unatakiwa ujijue mpaka yale mawazo yako yakianza kutoka katika mstari ujue hapa natoka katika mstari unajirudisha.

Ukiielewa hii falsafa unaweza kuondokewa na watu muhimu sana, halafu badala ya kung'ang'ania kuwa nao, kulaumu kwa nini huko nao, ukafurahia tu ule muda uliokuwa nao, masomo uliyojifunza nao, mambo mazuri uliyofanya nao, halafu ukakubali tu kuwa kila kitu kina mwisho, huwezi kuwa nao milele.

Mshana Jr
 
Mkuu,

Shukurani.

Nimepata kudadisi dadisi mambo mengi. Hiyo falsafa nimejiongeza na kujifunza sana kwa ma Buddhist.

Buddhists wana falsafa kubwa sana kuhusu maisha, na jinsi watu wanavyong'ang'ania mambo, na jinsi mambo yote yalivyo na mwisho, na jinsi tusivyotakiwa kung'ang'ania mambo yaliyofikia mwisho wake, tuweze kuishi kwa amani tu kwa kujua kila jambo lina mwisho.

Kuna kitu chao wanakipenda kwa Kiingereza kinaitwa equanimity. Yani unatakiwa kuwa katika mstari ule ule wa kuwa of keen mind, kutotetereka, ukiwa bilionea au ukiwa masikini wa kuparura majaani, ukiwa mfalme au kapuku, ukisifiwa sana au ukilaumiwa sana.

Equanimity.

Yani unatakiwa ujijue mpaka yale mawazo yako yakianza kutoka katika mstari ujue hapa natoka katika mstari unajirudisha.

Ukiielewa hii falsafa unaweza kuondokewa na watu muhinu sana, halafu badala ya kung'ang'ania kuwa nao, kulaumu kwa nini huko nao, ukafurahia tu ule muda uliokuwa nao, masomo uliyojifunza nao, mambo mazuri uliyofanya nao, halafu ukakubali tu kuwa kila kitu kina mwisho, huwezi kuwa nao milele.

Mshana Jr
Well noted 🙌🏽🤝🏽👏🏽
 
Chiwawa ulivyo serious watu watajua kweli kumbe unaimiss id yako nyingine uliyoitelekeza miaka hiyo iliyokua inaishi America..!! 😹😹
Haya unafikiri huwa nachati na vikaragosi? 😂
 
Back
Top Bottom