Tulikutana behind anonymous usernames, urafiki ukawa halisi, lakini leo hatujui walipo wala kama kuna siku tutasikia habari zao tena💔

Tulikutana behind anonymous usernames, urafiki ukawa halisi, lakini leo hatujui walipo wala kama kuna siku tutasikia habari zao tena💔

Mi nilipotezega buzi langu humu.

We kaka wewe nakumbuka jinsi ulivyokuwa ukinisomesha vitabu na magazeti ili uhakiki sauti yangu!!!
namiss yale ma dolali na na mapicha ya kunitamanisha ulaya huku mwenzio nikiwa sina hata passport

Miss u sana shoga angu sikupati kwenye simu, chimbo letu la kahawa na maua hujahudhuria sasa ni muda ukipita hapa nitqfute
Khaaaaa..!! 😹😹😹😹
Ila leo dada umejua kunichekesha, yani toka umeanza kucomment umekua na vituko sana..!!

Em tag hilo ex buzi shem kwanza aje kujitetea hapa..!!
 
Katika maisha kila kitu kinapita. Hata jua litazimika, dunia itafikia mwisho.

Ukielewa hili unakubali tu yanayofikia mwisho yamefikia mwisho.
Kuna member uko juu kamjibu eti akili za nyege hizo..!! 😹
 
We yule hakuwa na swaga hizo bwana.....
Yeye hana maneno mengi hapa angekuwa yeye tungeenda pm minyegeshano sana inafuatiwa na namba niende western union kuchukua muamala hana uswahili

Halafu kwenye ndoa tulikuwa bado hatujafika.
😹😹😹 Naomba nialike pm kwako nije kusoma minyegeshano yenu dada..!!
 
Ewe mrembo mkali wa kitanga sijakusahau Kamwe, you taught me to pick my self up at my lowest

Ulinipa nuru ndani yangu japo kuwa I was young to you but I caught feelings for you.

NAJUA MAREKANI IMEKUPENDA ZAIDI, mpka ukasahau ID yako, but I do miss you so fuckn bad. Natamani leo tuongee nikushukuru kwa how supportive you were into my life...

I do go back and read the conversations, na aki na smile tu, ila yote kwa yote I'm so grateful kwa kubadilishana mawazo na experiences nawe...

Much love marckles daughter💜
Chiwawa ulivyo serious watu watajua kweli kumbe unaimiss id yako nyingine uliyoitelekeza miaka hiyo iliyokua inaishi America..!! 😹😹
 
Bado tunakutana , tunapeana michongo ya kimaisha , tunakula bia pamoja , ila tukiwepo humu kila mtu kivyake tu , na huko ninkukomaa tu kiutu uzima
Huo uongo hamna ukweli kabisaaa 😹
 
Back
Top Bottom