Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Kaa mbali wingaNaomba niwawakilishe tiaraei kukusanya kodi zao 😹

You know through the trials and tribulations that life brings,we lost some friends, incarcerated, some are gone foreverWasalaam,
Maisha ni fumbo lisilo na majibu ya moja kwa moja, leo tunakutana na watu, tunajenga ukaribu wa mda mrefu, lakini kesho hatujui njia zetu zitatupeleka wapi. Wengine huwa sehemu ya maisha yetu kwa muda mfupi, lakini alama wanayoacha mioyoni mwetu hudumu kwa miaka.
Wakati mwingine, kinachouma zaidi si kupoteza mawasiliano na mtu, bali ni kutokujua kama yuko salama, anaendeleaje na maisha yake, au kama kuna siku mtapata nafasi ya kuzungumza tena.
Perhaps one day, you will log in hoping to find a familiar username, only to realize that someone who was once part of your daily conversations has become a distant memory, with no way of knowing where life has taken them.
Ndiyo maana ni muhimu kuthaminiana tunapopata nafasi. Maana nyuma ya kila username kuna binadamu mwenye hisia, changamoto na maisha yake binafsi.
Special shout-out kwa wale tuliokutana hapa JF, lakini urafiki wetu ukavuka mipaka ya jukwaa hili. Kwa wale ambao hadi leo tunawasiliana, tunakutana na kunapeana updates za maisha, tunashauriana na kuendeleza ujamaa wetu nje ya anonymous usernames.
Some friendships begin anonymously, but leave memories that last a lifetime.
Paula Paul
Wasalaam,
Mla bata
München, Deutschland 🇩🇪.
Yeah a very humble and bright person. You are one of the best too. Uko pale juu kwenye list pia.She is one of the kindest and most caring people ever. I hope atakuwa salama.
I'm so lucky to have met her in person japo kwa dkk zisizozidi tano😍 Paula Paul
Good for you, maamuzi mazuri hayo. Ila sasa kila mtu anachagua njia yake.Mimi sitaki shobo na yoyote nimekuja jf kusoma nyuzi na kuchangia habari za kujuana NO
KumbeMi nilipotezega buzi langu humu.
We kaka wewe nakumbuka jinsi ulivyokuwa ukinisomesha vitabu na magazeti ili uhakiki sauti yangu!!!
namiss yale ma dolali na na mapicha ya kunitamanisha ulaya huku mwenzio nikiwa sina hata passport
Miss u sana shoga angu sikupati kwenye simu, chimbo letu la kahawa na maua hujahudhuria sasa ni muda ukipita hapa nitqfute
Walahi nakugawa. 😅😅Mi nilipotezega buzi langu humu.
We kaka wewe nakumbuka jinsi ulivyokuwa ukinisomesha vitabu na magazeti ili uhakiki sauti yangu!!!
namiss yale ma dolali na na mapicha ya kunitamanisha ulaya huku mwenzio nikiwa sina hata passport
Miss u sana shoga angu sikupati kwenye simu, chimbo letu la kahawa na maua hujahudhuria sasa ni muda ukipita hapa nitqfute
Hapo sijui nisemeje, kama kuna kaukweli flani ingawa kanaumaa!Mnajiendekeza
Atumie 'danga' au siyo?Walahi nakugawa. 😅😅
Buzi neno la zamani sana hili. 😃😃
Uko sahihi Mkuu. Na kama usemavyo hii ya kutokupata nafasi ya kuelewa kilichotokea ndo huwa inaumiza.Nakubaliana na wewe Kiranga , kila kitu kina mwisho. Ila nafikiri kuna tofauti kati ya kukubali kwamba kitu kimefika mwisho na kuelewa kwa nini kiliishia pale.
Wakati mwingine hatuumii kwa sababu hatukubali kuachilia, bali kwa sababu hatukupata nafasi ya kuelewa kilichotokea. Na pengine hapo ndipo kumbukumbu zinapoendelea kuishi hata baada ya watu kuondoka kwenye maisha yetu.
Nitunuku basMi nilipotezega buzi langu humu.
We kaka wewe nakumbuka jinsi ulivyokuwa ukinisomesha vitabu na magazeti ili uhakiki sauti yangu!!!
namiss yale ma dolali na na mapicha ya kunitamanisha ulaya huku mwenzio nikiwa sina hata passport
Miss u sana shoga angu sikupati kwenye simu, chimbo letu la kahawa na maua hujahudhuria sasa ni muda ukipita hapa nitqfute
Namm nilibadili IdMi nilipotezega buzi langu humu.
We kaka wewe nakumbuka jinsi ulivyokuwa ukinisomesha vitabu na magazeti ili uhakiki sauti yangu!!!
namiss yale ma dolali na na mapicha ya kunitamanisha ulaya huku mwenzio nikiwa sina hata passport
Miss u sana shoga angu sikupati kwenye simu, chimbo letu la kahawa na maua hujahudhuria sasa ni muda ukipita hapa nitqfute
Wewe nakujua hiyo id yako ulikua unaibebisha iko America ili unase wengine wajue una kitu kutoka America..!! Michezo mingi au sio? 😹😹😹Haya unafikiri huwa nachati na vikaragosi? 😂
Wasalaam,
Maisha ni fumbo lisilo na majibu ya moja kwa moja, leo tunakutana na watu, tunajenga ukaribu wa mda mrefu, lakini kesho hatujui njia zetu zitatupeleka wapi. Wengine huwa sehemu ya maisha yetu kwa muda mfupi, lakini alama wanayoacha mioyoni mwetu hudumu kwa miaka.
Wakati mwingine, kinachouma zaidi si kupoteza mawasiliano na mtu, bali ni kutokujua kama yuko salama, anaendeleaje na maisha yake, au kama kuna siku mtapata nafasi ya kuzungumza tena.
Perhaps one day, you will log in hoping to find a familiar username, only to realize that someone who was once part of your daily conversations has become a distant memory, with no way of knowing where life has taken them.
Ndiyo maana ni muhimu kuthaminiana tunapopata nafasi. Maana nyuma ya kila username kuna binadamu mwenye hisia, changamoto na maisha yake binafsi.
Special shout-out kwa wale tuliokutana hapa JF, lakini urafiki wetu ukavuka mipaka ya jukwaa hili. Kwa wale ambao hadi leo tunawasiliana, tunakutana na kunapeana updates za maisha, tunashauriana na kuendeleza ujamaa wetu nje ya anonymous usernames.
Some friendships begin anonymously, but leave memories that last a lifetime.
Paula Paul
Wasalaam,
Mla bata
München, Deutschland 🇩🇪.
Haya ni yako Mkuu.Atumie 'danga' au siyo?
Sisi wa miaka ya 2010's tupo na tuna group letu la whatsapp linaloitwa "JF Wastaarabu" tupo pamoja katika hali zote tukisaidiana katika shida na raha. Wengi wamekuwa sio active sana huku lakini kule wapo vizuri. London imekupenda zaidi, miss you so much RoninTrue, zamani ilikuwa rahisi sana kumeet up, lakini miaka ya hivi karibuni ngumu sana kumjua mwema nani adui nani, kiufupi JF ya sasa wengi tunaishi kimachale.
Unapenda sana drama wingaWewe nakujua hiyo id yako ulikua unaibebisha iko America ili unase wengine wajue una kitu kutoka America..!! Michezo mingi au sio? 😹😹😹
Jamani hadi napata aibu🙈🙈Yeah a very humble and bright person. You are one of the best too. Uko pale juu kwenye list pia.
Basi nilivyoandika hivyo kwa akili yako fupi ukajua natafuta mtwangio usiokuwa na nguvu wala pesa eti????Nitunuku bas