leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,871
- 19,204
Mi mwenyewe wa zamani .Walahi nakugawa. 😅😅
Umenikumbusha mbali na hili neno Buzi. 😃😃
Mabuzi si ndo spons siku hizi
Mi mwenyewe wa zamani .Walahi nakugawa. 😅😅
Umenikumbusha mbali na hili neno Buzi. 😃😃
Mdogo wangu ulivyo mmbea usijali naandaa uzi wa lover wangu ambaye hatukuwahi kuonana,, aliagaga jf akazua taharuki mwisho alijiua hapa kujua sina hakika sana.😹😹😹 Naomba nialike pm kwako nije kusoma minyegeshano yenu dada..!!
We kubali kunitunuku mambo mengine yatakuja mbele ya safariBasi nilivyoandika hivyo kwa akili yako fupi ukajua natafuta mtwangio usiokuwa na nguvu wala pesa eti????
Kazana kusubiri meli airportWe kubali kunitunuku mambo mengine yatakuja mbele ya safari
Nipo karume muda huuNimepoteza kipenzi changu nchini Tanzania.....
Nitarudi nitarudi cc Dr am 4 real PhD Supapawa mbamizwa mara ya mwisho nilimwacha mataa ya karume mwingine ni BICHWA KOMWE mbamizwa katumeni nilimpeleka kwa paroko msaidizi parokia ya mashahidi wa Uganda Magomeni
Hahaha usiandike kitu. Zamani ulishaandika usirudie utachoka.Jamani hadi napata aibu🙈🙈
Asante Chalii, kuhusu wewe nikianza kuandika hata wewe mwenyewe ukisoma mbele za watu unaweza ukalia. Wewe ni bora sana❤️
Unaniacha hoi.!😂 Hapo wanakuona mrahisi ila watashangazwa wakija PMBasi nilivyoandika hivyo kwa akili yako fupi ukajua natafuta mtwangio usiokuwa na nguvu wala pesa eti????
Wenyewe wanajua kabisa pm bila hela mimi sijibu. na wageni huko mi huwa sipati kabisa.Unaniacha hoi.!😂 Hapo wanakuona mrahisi ila watashangazwa wakija PM
Mbona tunachukuliana poa lakiniKazana kusubiri meli airport
Mambo yasiwe mengi, hutaki kua mshika pembe wa ID yeyote ya kike?Mimi sitaki shobo na yoyote nimekuja jf kusoma nyuzi na kuchangia habari za kujuana NO
Umejua kuna kitu ningekigusia kidogo😅😅😅😅😅Hahaha usiandike kitu. Zamani ulishaandika usirudie utachoka.
Usiharibu mada ya watu Baby DUmejua kuna kitu ningekigusia kidogo😅😅😅😅😅
Ujanja huo🤦🏻♀️🤦🏻♀️🤦🏻♀️🤦🏻♀️Usiharibu mada ya watu Baby D
Unajua siwezi kukufanyia ujanja bana.Ujanja huo🤦🏻♀️🤦🏻♀️🤦🏻♀️🤦🏻♀️
Haya ndio mambo tunayoyataka, kongole kwenu nyote 👏🏽👏🏽👏🏽Sisi wa miaka ya 2010's tupo na tuna group letu la whatsapp linaloitwa "JF Wastaarabu" tupo pamoja katika hali zote tukisaidiana katika shida na raha. Wengi wamekuwa sio active sana huku lakini kule wapo vizuri. London imekupenda zaidi, miss you so much Ronin
Husninyo rudi nyumbani, tumekukumbuka sana
Nasubiri kwa hamu 😹😹Mdogo wangu ulivyo mmbea usijali naandaa uzi wa lover wangu ambaye hatukuwahi kuonana,, aliagaga jf akazua taharuki mwisho alijiua hapa kujua sina hakika sana.
subiri xmass season ntaishusha hapa we jiandae kuunga code na dot.
Asante kiongoziMkuu,
Shukurani.
Nimepata kudadisi dadisi mambo mengi. Hiyo falsafa nimejiongeza na kujifunza sana kwa ma Buddhist.
Buddhists wana falsafa kubwa sana kuhusu maisha, na jinsi watu wanavyong'ang'ania mambo, na jinsi mambo yote yalivyo na mwisho, na jinsi tusivyotakiwa kung'ang'ania mambo yaliyofikia mwisho wake, tuweze kuishi kwa amani tu kwa kujua kila jambo lina mwisho.
Kuna kitu chao wanakipenda kwa Kiingereza kinaitwa equanimity. Yani unatakiwa kuwa katika mstari ule ule wa kuwa of keen mind, kutotetereka, ukiwa bilionea au ukiwa masikini wa kuparura majaani, ukiwa mfalme au kapuku, ukisifiwa sana au ukilaumiwa sana.
Equanimity.
Yani unatakiwa ujijue mpaka yale mawazo yako yakianza kutoka katika mstari ujue hapa natoka katika mstari unajirudisha.
Ukiielewa hii falsafa unaweza kuondokewa na watu muhimu sana, halafu badala ya kung'ang'ania kuwa nao, kulaumu kwa nini huko nao, ukafurahia tu ule muda uliokuwa nao, masomo uliyojifunza nao, mambo mazuri uliyofanya nao, halafu ukakubali tu kuwa kila kitu kina mwisho, huwezi kuwa nao milele.
Mshana Jr
Jichanganyeni mjuteIna raha yake kimtindo ukiwa hata na mtu mmoja unayejuana nae nje ya jf.