Inchi bado imevimba acheni kiburi mapokezi ya miss grand wanainchi hawana habari

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,283
Reaction score
11,558
Kuna usemi wa kiswahili unasema kibaya chajitembeza kizuri cha jiuza haya angalia hayo mapokezi unaona watu wa tabaka moja hatuoni wale wenzetu wasio na viatu unga unga mwana walisukumwa na tukio zaidi tunaona kundi furani liliotoka nyumbani likavaa na kupendeza ajiri ya tukio maana yake nini ni watu walioandaliwa ajiri ya tukio

Misafara inapita haisimani kuona tukio waimbe yani hatq parade za simba ya Yanga zimezidi ubora

Grishoni na bashite ujumbe mmeupata
 
ok.
but punguza makasiriko gentleman na itapendeza zaidi 🐒
 
Hakuna makasiriko acheni chezea pesa kwa mambo ambayo wanainchi wanawesa yafanya kwa mapenzi yao si mpaka waziri au nani awepo kwani matukio haya si mageni yalikuwepo na jamii iliyasapoti sana pale jamii ilipokuwa sawa hakuna kutekana tekana uwana uwana
 
Tuko busy Mitandaoni na Ops Katiba Mpya na Free Tundu Lissu.

Wegesa anatandika Mikutano hata saa 12 alfajiri na Nyomi Ni la kutisha na makundi yote yanahudhuria.
Alijua Kura zilitoka Tz?
 
Hakuna makasiriko acheni chezea pesa kwa mambo ambayo wanainchi wanawesa yafanya kwa mapenzi yao si mpaka waziri au nani awepo kwani matukio haya si mageni yalikuwepo na jamii iliyasapoti sana pale jamii ilipokuwa sawa hakuna kutekana tekana uwana uwana
acha porojo gentleman plz,
mbona nchi imetulia na waTanzania wanasonga mbele kwa umoja na amani tu?:1Head:
 
Kuna usemi wa kiswahili unasema kibaya chajitembeza kizuri cha jiuza haya angalia hayo mapokezi unaona watu wa tabaka moja hatuoni wale wenzetu wasio na viatu unga unga mwana walisukumwa na tukio zaidi tunaona kundi furani liliotoka nyumbani likavaa na kupendeza ajiri ya tukio maana yake nini ni watu walioandaliwa ajiri ya tukio

Misafara inapita haisimani kuona tukio waimbe yani hatq parade za simba ya Yanga zimezidi ubora

Grishoni na bashite ujumbe mmeupata
Hata kama nchi ingekuwa imejaa furaha unakwenda Airport kufanya nini?

Uliwahi kuona wapi hapa duniani mshindi wa ulimbwende eti apokewe Kitaifa?

Mapokezi yanahusu zaidi timu za football ndio mchezo unaokusanya watu wengi kama wanarudi na kombe.
 
Back
Top Bottom