Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.
Mwanasiasa/mwanaharakati chunga sana mdomo wako, chama chako/hao wafadhiri wako ni wadogo sana kuliko nchi ya Tanzania.
Tanzania ni kubwa kuliko chama chako kabla hujaongea jua kuwa Kuna Sheria, kama vile Sheria cybercrime act, 2015 na nyingine nyingi ambazo zipo kwaajili ya kulinda maadili...
Dah enzi zetu kila mtu alitamani kuwa na blog iliapige pesa za matangazo blogger ikatubeba tukimtazamia michuzi blog kama vile kioo
Sikuhizi hata bongo5 sidhani kama watu wanafungua tena maana hata BBCswahili holla
Vp huko mnapitiaga?
Katika hali inayoonyesha kwamba mkuu wa majeshi nchini Uganda Jenerali Muhozi Kainerugaba ambaye pia ni mtoto wa rais wa nchi hiyo Bw. Yoweri Museveni, ndiye kwa sasa anaiongoza nchi ya Uganda, ameamua kumpatia dhamana kiongozi mkongwe wa upinzani wa Uganda Bw. Kizza Besigye.
Juhudi za kutafuta...
Kwa jirani zetu Uganda, mikwara, vituko na vitimbi kemkem vya "CDF" wao Muhoozi Kainerugaba, vimekuwa ni jambo la kawaida sana.
Anasifika kwa kuwaminya wapinzani mpaka basi.....
Lakini, Leo kaja kivingine... Kamtoa Besigye kwa ajili ya "mazungumzo" Tanzania, inawezekana hii kweli? Najiuliza tu
Kuna wakati nilikuwa napenda sana kuangalia taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia ITV. Sasa HIVI Nina miaka mitano au sita hivi sifuatili taarifa hizo kupitia TV.
Mimi ni kuangalia mpira na tamthilia kidogo . Habari zangu nyingi nazipata mtandaoni. Tena napata habari ghafi kabisa...
Nakumbuka mwezi Julai mwaka huu, kiongozi mmoja pamoja na mtumishi wa kiwanda maarufu cha saruji jijini Dar es Salaam walijitokeza kuzungumzia kupanda kwa bei ya saruji. Wakati huo, mzalishaji mkuu alidai kuwa hajapandisha bei na hakuwa na ufahamu kuhusu chanzo cha ongezeko hilo.
Soma: Twiga...
Moja ya kitu kikubwa nilicho jifunza mwaka huu ni kuacha kujijumuisha na watu wasio na mtazamo wangu, hasa katika life goals.
Nimejikuta sina rafiki, ila watu wote walikuwa kwenye maisha yangu walikuwa kama distractions tu.
Unajua kuwa you are the average of 5 people you sorround yourself...
Mchungaji Mondo Mugisha ameibua mjadala mpya kuhusu kifo cha mfanyabiashara na aliyekuwa mpenzi wa Zari The Bosslady, Ivan Semwanga, baada ya kudai kuwa bilionea huyo hakufariki dunia kama ilivyoripotiwa mwaka 2017, bali bado yuko hai na amejificha.
Kupitia video iliyosambazwa kwenye mtandao wa...
Wanawake na wasicha walio tolewa bikra zao chini ya miaka 20 huwa wanajitetea hakuna mwanamke bikra mwenye umri zaidi ya miaka 15.
Sasa , wasichana na wanawake wanaojitunza, jiheshimu na kumjua Mungu wapo, ndio hawa unawaona kwenye ndoa!
Ambaye baba yake alipoteza maisha siku kama ya leo.
Ana umri wa kama miaka 4 hivi kwa sasa.
Ndugu zake hawajulikani.
Mama yake nae alifariki katika majambo haya haya na wala wote hawakuwa wahusika kwa namna yeyote ile.
Kila ninapopita kwenye kile ki ''short kati'' na kumuona roho yangu...
Kuna watu ambao maisha yao huanza kuwa magumu baada ya kukua, lakini wapo ambao wanalazimika kukutana na uhalisia wa maisha wakiwa bado wadogo, wakati ambao walipaswa kuwa na jukumu moja tu: kusoma na kujenga msingi wa maisha yao ya baadaye.
Mimi ni mmoja wa watu hao.
Ninapoamua kuisimulia...
Mimi ni mkazi wa Kinondo, Mabwepande. Katika eneo langu tumekaribia kutimiza wiki mbili bila maji. Kinachoumiza zaidi ni kwamba bado tunasubiri zamu, halafu hata zamu ikifika baadhi yetu hatupati huduma. DAWASA itueleze: mgao huu una mwisho lini, na maji yatafika lini kwa wale ambao zamu zao...
Katika siku yake ya kwanza tu sokoni, ripoti kutoka kote duniani zimeonesha Iphone Duo ina changamoto nyingi kushinda za washindani wake, hasa katika Display na Hinge.
Wakuu habari za wakati huu.
Naandika uzi huu nikiwa kwenye wakati mgumu wa kifikra kuhusu namna ya kusimamia fedha zangu. Kila nikijaribu kufanya saving (akiba) nashindwa. Sielewi hela naipeleka wapi, na mwisho wa siku hakuna kitu cha msingi cha maana ambacho nimefanya au nimefanikiwa...
Asante mungu atimae nimemaliza recording bado video production tu naachia ngoma zangu mbili, nadhani KAZI itabaii kwenu kusambaza mziki yangu Kuna wamiliki wa online media hapa pliz tushikane wakuu, page za insta fb nk
Ripoti ya Uwajibikaji wa Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2024/25, iliyoandaliwa na WAJIBU na Policy Forum kwa kutumia ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG
Mwenendo wa Uwajibikaji Katika Ununuzi wa Umma kwa Kipindi cha Miaka Mitatu 2022/23 hadi 2024/25. Uchambuzi wa ripoti za...
UJUMBE KWA VIONGOZI WETU — ULYANKULU INAHITAJI MAENDELEO YA KWELI
Kwa heshima kubwa kwa viongozi wetu wa Serikali, Mkoa wa Tabora na Wilaya ya Uyui, tunaomba suala la barabara ya Ulyankulu na upatikanaji wa maji lipewe kipaumbele.
Ulyankulu inaendelea kukua na kuwa eneo muhimu kwa shughuli za...
Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS.
Matukio ya Rais wa...
bado
hana
huyu
kimya
kutumia
maadili
mawakili
mbona
mpya
ofisi
ofisini
rais
rais wa tls
shutuma
tls
tuhuma
tunataka
uchaguzi
uchaguzi wa rais
uchunguzi
vurugu
wakati
watanzania
Watanzania wa October 29 waliifundisha dunia namna ya kufungua vichwa na masikio ya viongozi vilaza wasiotaka kusikiliza Kero za wananchi masikini.
CCM wakiendeleza ukilaza wa kuwalea ccm mtandao basi mwaka 2030 itakuwa mara 20 ya kinachoendelea Ufaransa na Ulaya yote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.