Studio session rasmi imeisha leo kwa mara ya kwanza napost picha zangu, bado videos

Studio session rasmi imeisha leo kwa mara ya kwanza napost picha zangu, bado videos

Alexido jz instagram

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2026
Posts
4,686
Reaction score
10,018
Asante mungu atimae nimemaliza recording bado video production tu naachia ngoma zangu mbili, nadhani KAZI itabaii kwenu kusambaza mziki yangu Kuna wamiliki wa online media hapa pliz tushikane wakuu, page za insta fb nk
 

Attachments

  • 20261024_110528.jpg
    20261024_110528.jpg
    558.7 KB · Views: 14
  • 20261024_110519.jpg
    20261024_110519.jpg
    566.9 KB · Views: 16
  • 20261024_110450.jpg
    20261024_110450.jpg
    486.3 KB · Views: 10
Nauliza,kwasababu ulisema wewe ni unashida ya usiku,,inakuwaje wakikuwekea bit ambalo si nzuri!?
Yeah na shida ya kusikia, ila nasikia kiasi sikio Moja miyeyusho ila Moja liko active, beat kuisikia ni simple mana sauti inakua juu pia karibu sana na sikio tofauti ikiwa mbali ndio changamoto huanzia hapo
 
Asante mungu atimae nimemaliza recording bado video production tu naachia ngoma zangu mbili, nadhani KAZI itabaii kwenu kusambaza mziki yangu Kuna wamiliki wa online media hapa pliz tushikane wakuu, page za insta fb nk
Jaribu kupunguza:

mhemko

hali ya kupandwa na hasira au hamu kubwa


Hii hupelekea kuwa na:

papara

bila ya makini; kwa harakaharaka

 
Back
Top Bottom