The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Safisheni hiyo feni hapo Studio,
Hata hiyo Mic ni chafu sana.
Hata hiyo Mic ni chafu sana.
Kaka acha mambo Yako hii studio ni kubwa na umetengeneza hit song kibao, mastar wakubwa wamekanyaga humu mkuuSafisheni hiyo feni hapo Studio,
Hata hiyo Mic ni chafu sana.
Niache mambo gani hayo ambayo wewe unasema ni mambo yangu?Kaka acha mambo Yako
Sijaongelea performance ya hiyo studio wala historia ya hiyo studio,hii studio ni kubwa na umetengeneza hit song kibao, mastar wakubwa wamekanyaga humu mkuu
Utamponza msanii wetuToa wimbo Kwa ajili ya Oktober 29 mkuu
Sawa mkuu lakini studio ni safi simu Yako Ina shidaNiache mambo gani hayo ambayo wewe unasema ni mambo yangu?
Sijaongelea performance ya hiyo studio wala historia ya hiyo studio,
Nimeongelea Clearness,house keeping,
Kwahiyo kama imetengeneza hit song kibao ndio inakua ni halali au ni sawa hiyo Studio kua chafu kiasi hicho?
Jifunze kuisoma comment na kuielewa kwanza,kabla hujaamua kuijibu.
Avatar Yako tu inaonesha we ni mtu wa namna Gani, pepo shindwaMsanii maji taka
Jamaa anani tafutia matatizo, ilihali hata nauli ya kunifikisha Kenya kujificha sinaUtamponza msanii wetu
Huwezi kunielewa coz unaonekana umezowea mazingira machafu,Sawa mkuu lakini studio ni safi simu Yako Ina shida
Sawa mkuu ila unaharibu biashara ya mtu mkuu, Kuna member anaweza taka nae arekodi huoni unaharibu kakaHuwezi kunielewa coz unaonekana umezowea mazingira machafu,
Si ajabu ukawa unanishangaa kwa mimi kusema kua hilo feni na hiyo Mic ni vichafu sana,
When your environment is clean,you feel happy,motivated and healthy.
Studio chafu,hiyo,feni ni chafu,Mic chafu,Sawa mkuu ila unaharibu biashara ya mtu mkuu, Kuna member anaweza taka nae arekodi huoni unaharibu kaka
Tusafishe wakina nani mkuu? Mimi hapo ni mteja sihusiki nimeenda kurekodi tuStudio chafu,hiyo,feni ni chafu,Mic chafu,
Hakuna cha kuharibu biashara wala kutengeneza biashara kwenye ukweli,
Safisheni mazingira ya hapo ili kuwavutia watu na sio kuukumbatia uchafu.
Sasa ulichokua unakitetea toka mwanzo ni kipi? tena mpaka ukasema naharibu biashara?Tusafishe wakina nani mkuu? Mimi hapo ni mteja sihusiki nimeenda kurekodi tu
Sijawahi kusema mambo ya umri yana matter.Sawa mkuu ila kwa maisha ya sasa mambo ya umri hayamati sana mkuu
Ndio unaharibu biashara nadhani ungeniambia pm ingependeza, just imagine niku kute mbele za watu niseme kwa sauti mkuu makalio yapo wazi suruali Yako imechanika, utajifikiriaje?Sasa ulichokua unakitetea toka mwanzo ni kipi? tena mpaka ukasema naharibu biashara?
Mimi namheshimu mungu na Nina tambua uwepo wake nadhani una matatizo ya kisaikolojia inahitaji ushauri na nasahaSijawahi kusema mambo ya umri yana matter.
Mimi ndiye Kiranga The Unorthodox. Simuheshimu hata Mungu kwa ukubwa wake, so you are not telling me anything new here.
Lakini hilo halimaanishi madogo hawawezi kuzingua, wanaweza, kwa sababu mambo ya umri "hayamati".
Jenga hoja yako, usinilalamikie mambo ya umri hayamati wakati nishasema hapo juu kwamba hayamati.
Labda hujaona tu au hujui kusoma kwa ufahamu.
Huna akili.Ndio unaharibu biashara nadhani ungeniambia pm ingependeza, just imagine niku kute mbele za watu niseme kwa sauti mkuu makalio yapo wazi suruali Yako imechanika, utajifikiriaje?
Kwanza kabisa, huyo Mungu unayetambua uwepo wake huwezi kuthibitisha yupo.Mimi namheshimu mungu na Nina tambua uwepo wake nadhani una matatizo ya kisaikolojia inahitaji ushauri na nasaha
Sasa na mimi ndio nikifikiria hivo mana wanaume tunastiriana kaka,Huna akili.
Sawa mkuu, sasa usini bully tu mkuu, nikitoa hio ngoma Fanya kuipush basi hapo NYC mkuu america hata kwenye vi club viwili vitatuKwanza kabisa, huyo Mungu unayetambua uwepo wake huwezi kuthibitisha yupo.
Ningeweza kusema kutambua uwepo wa Mungu hivyo bila kuweza kuthibitisha yupo ndiyo tatizo la kisaikolojia hapa.
Lakini, tofauti na wewe, naelewa kuwa matatizo ya kisaikolonia ni mambo sensitive, mambo ya ugonjwa, mambo yanayohitaji kutunziwa faragha zake, na mimi kama mtu nisiyependa kunyanyapaa wagonjwa, sitataka kuongelea jambo hilo kama hoja.
Kwa sababu, hata kama una matatizo ya kisaikolojia, kutumia ugonjwa wako kukusimanga si ustaarabu.
Lakini pia, kwa sababu hiyo ya juu hapo, watu walio na qualifications za kuagua matatizo ya kisaikolojia, waliyoyasomea vizuri, hata kuyafuatilia tu, wanajua kuwa hawatakiwi kuagua matatizo hayo kwenye mitandao kama ulivyofanya wewe.
Yani ni hivi, hata kama kweli nina matatizo ya kisaikolojia kama unavyosema, kitu ambacho si kweli, ulichofanya ni kumnyanyapaa mgonjwa.
Kijana unazingua.
Chukua somo la bure hilo.
Usiwaambie watu mitandaoni "una matatizo ya kisaikolojia".
Utajionesha wewe ndiye una matatizo kuliko huyo unayemsimanga, hata kama kweli ana matatizo ya kisaikolojia.
Utajionesha kuwa umeshindwa kuwa na empathy kwa mgonjwa, umekosa ustaarabu, umekosa kujua kuwa wenye qualifications za kuagua matatizo ya kisaikolojia hawafanyi hivyo mitandaoni.
Na wanaagua matatizo ya kisaikolojia mitandaoni, hawana qualifications za kuagua matatizo hayo.
Dogo unazingua.
Chukua somo la bure.