Studio session rasmi imeisha leo kwa mara ya kwanza napost picha zangu, bado videos

Aaagh kumbe ndio wewe dogo, hongera sana. Ila JF bana, unaweza kuwa unazinguana na mdogo wako bila kujua
Hapa mpaka wanetu tunapigana nao vikumbo.

Mtu umejiandikisha uanachama 2007 unapambana na dogo kazaliwa 2007.

Na hapo unajiandikisha uanachama ushamaliza degree ya kwanza umekaa mtoni miaka 10 tayari.

Huyo si mwanao hapo?

Mara nyingine nawaangalia tu wanabishabisha mambo, kibaya zaidi bila mantiki bora hata ukutane na dogo mbishi ana mantiki.

Hawa wengine hata ukiwatajia mantiki hawajui ni nini inabidi uanze kui define kwanza 😂😂😂
 
Unasema kweli, hivi ushawahi fikiria wale unao waona madogo wana maisha makubwa kuzidi watu wazima? Yani dogo kazaliwa 2007 lakini ana nyumba ana gari ana biashara ilihali wakongwe njaa tupu, hivo ukubwa wa pia si wingi wa makamasi
 
Nyumba na gari ni basic needs si maisha makubwa, ila ukiwa masikini ndiyo utaona maisha makubwa.

Aim higher.

Jifunze hilo dogo.
 
Back
Top Bottom