Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Weka vitu vyenye viwango utawekwa hata kwenye interstellar voyages kama Chuck Berry, nini NYC tu hapa.Sawa mkuu, sasa usini bully tu mkuu, nikitoa hio ngoma Fanya kuipush basi hapo NYC mkuu america hata kwenye vi club viwili vitatu
Unamjua Chuck Berry?