Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
I am like "This better be good".Huyu hajaweka songi Bado?
Isije kuwa mambo ya "Civilian Coin" tu hapa 😂😂
Anatulisha pilau kwa maneno, maana hata si kwa harufu.
I am like "This better be good".Huyu hajaweka songi Bado?
Mkuu tuvumilie Jana ndio nimemaliza recording, wiki ijayo video nashuti alafu natoa kwa pamoja nyimbo na video yake kaka, Kila kitu kinaenda poa usiwazee kaka utafurahiHuyu hajaweka songi Bado?
kumpeleka mjiniKusikia au kusikiliza melody😁
Kwenye video hapo NDIO patamu.Mkuu tuvumilie Jana ndio nimemaliza recording, wiki ijayo video nashuti alafu natoa kwa pamoja nyimbo na video yake kaka, Kila kitu kinaenda poa usiwazee kaka utafurahi
Hapana nimeweka picha kuonesha ni jinsia Gani mambo ypo serious, gharama na toa mwenyewe hivo napeleka mambo polepole kaka, sababu budget yangu hairuhusu kukimbiaI am like "This better be good".
Isije kuwa mambo ya "Civilian Coin" tu hapa 😂😂
Anatulisha pilau kwa maneno, maana hata si kwa harufu.
Factkumpeleka mjini
😅😅 Tutasikiliza tu ivo ivo. Ila kwa alivotuandaa, ajitahidiI am like "This better be good".
Isije kuwa mambo ya "Civilian Coin" tu hapa 😂😂
Anatulisha pilau kwa maneno, maana hata si kwa harufu.
Nilipanga nitumie AI ila nimeogopa italeta shida kunitamblisha ni Bora nianze really kwanza badae AI, pia budget yangu ndogo alafu najisimamia mwenyewe kaka hivo naenda polepoleKwenye video hapo NDIO patamu.
Bongo waambie mambo ya kuisusa,finyia Kwa ndani,aaah utatoboa,Kuna wengi tu mtaani wameimba kuhusu uzalendo hata show ya uchochoroni hawana
Usijali kaka, nataka nipate shows hivo tatembelea potpote, tawapa wahuni Moja na wastaarabu moja😅😅 Tutasikiliza tu ivo ivo. Ila kwa alivotuandaa, ajitahidi
Mapenzi na mizagamuano kwisha kabisa umewamalizaBongo waambie mambo ya kuisusa,finyia Kwa ndani,aaah utatoboa,
Hata Civilian Coin aliweka picha.Hapana nimeweka picha kuonesha ni jinsia Gani mambo ypo serious, gharama na toa mwenyewe hivo napeleka mambo polepole kaka, sababu budget yangu hairuhusu kukimbia
Labda mjini mangharibi znz😁,akapige show TOT.kumpeleka mjini
Sana kaka, ila Kila mtu ana sababu zake huenda ye alikua na hesabu zake tofautHata Civilian Coin aliweka picha.
Unamjua Civilian Coin?
Ney wa mitego Bado yupo?Mapenzi na mizagamuano kwisha kabisa umewamaliza
Changamoto zipi, ushindani au kupokea ngoma zangu sababu ngoma zangu zote mbili nimeset kwa international standard sio local mkuu, na ngoma inaitwa forever sorry, ni ya kimataifa kakaKila la heri japo tegemea kukabiliana na changamoto kwa Gen z
Yupo kwani we haupo bongo?Ney wa mitego Bado yupo?