MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Taamini vipi snap basi hata, kapicha ka dirisha mkuu.
Taamini vipi snap basi hata, kapicha ka dirisha mkuu.
Asante na nimefurahi sana comment bora tangu nimeanza kusoma ubarikiwe sana mremboHongera Alexido
Hayana soko hayo unayoyataka, mi NIMEINGIA gharama nataka hela yangu irudi mkuuHongera ila nakushauri imba hip hop fuga na uchebe
acha manyimbo ya mapenzi
ni hayo tu!
We mkuu wewe niandalie show basi hapo ulaya mkuu, au upo katoro🤣 natania mwaya
Huyo alidai alikua anaenda sehemu, akaona atachelewa ikabidi adandie boda, imuwahishe, tusije hapo sasa siku nyuma huyu jamaa alidai anaishi ujerumani swali nikajiuliza je ujerumani Kuna bodaboda?Jamani Kuna sehemu ambayo hakuna pikipiki!?😁
Asante mrembo, comment bora sana nimeifurahia pia🍻🍻🩷🩷🌷🌷Hongera sana, Ufanikiwe.
Itakuwa bajaji za huku ujerumani.Huyo alidai alikua anaenda sehemu, akaona atachelewa ikabidi adandie boda, imuwahishe, tusije hapo sasa siku nyuma huyu jamaa alidai anaishi ujerumani swali nikajiuliza je ujerumani Kuna bodaboda?
Kwa vile ni msanii mpya,naomba niwe meneja wako.We mkuu wewe niandalie show basi hapo ulaya mkuu, au upo katoro🤣 natania mwaya
Hii inshu ya kua meneja wangu wamekuja wengi humu jf na wote wazugaji tu wanaishia kukimbia, nikikaribia KUACHIA nyimbo tatangaza kupata meneja kwa ajili ya kufanya nae KAZI, na uhutaji sana wa huyo mtuKwa vile ni msanii mpya,naomba niwe meneja wako.
Nilipo hapa buguruni k wa a mnyamani.
Hahahhhh we mrembo wewe, ulidhan natania, nipo serious zaid ya hapo, nimetoa Kila kilicho changu seran, nifanye mzikiHivi kumbe upo serious hivi?🫢
Uwe meneja wake,mie niwe mbeba pochi wako.Hivi kumbe upo serious hivi?🫢
Meneja lazima uwe na sasampa?? Au kudandia tu?Hii inshu ya kua meneja wangu wamekuja wengi humu jf na wote wazugaji tu wanaishia kukimbia, nikikaribia KUACHIA nyimbo tatangaza kupata meneja kwa ajili ya kufanya nae KAZI, na uhutaji sana wa huyo mtu
Haya toa single tuone kazi yako!Hahahhhh we mrembo wewe, ulidhan natania, nipo serious zaid ya hapo, nimetoa Kila kilicho changu seran, nifanye mziki
Andika nitashukuru bro alex punguza pupatashukuru sana
Sio uwe vixen tupige pesa😎Uwe meneja wake,mie niwe mbeba pochi wako.
Ndio meneja lazima uwe na sasampa japo si sana mana huo ni kama mtaji tu, ukiwa kichwani vizuri Haina haja ya pesa nyingi japo pesa muhimu ila nawe utaanzia kutengeneA hela kupitia huyo msanii, mfano, kuandaa show, dili za matangazo hapo pia ubalozi nk inachukua chako msanii unampa chake inategeneana na makubaliano yenu , mana msanii anahitaji kurecord nyimbo, kushoot nk je hela anatoa nani kama anatoa msanii Ina mana we unakua umeajiriwa na msanii muda wowote anakutimua, mfano Ali kiba alimtimua meneja wakeMeneja lazima uwe na sasampa?? Au kudandia tu?
Andika nitatangaza bro alex punguza pupatatangaza kupata meneja