Studio session rasmi imeisha leo kwa mara ya kwanza napost picha zangu, bado videos

Ndio meneja lazima uwe na sasampa japo si sana mana huo ni kama mtaji tu, ukiwa kichwani vizuri Haina haja ya pesa nyingi japo pesa muhimu ila nawe utaanzia kutengeneA hela kupitia huyo msanii, mfano, kuandaa show, dili za matangazo hapo pia ubalozi nk inachukua chako msanii unampa chake inategeneana na makubaliano yenu , mana msanii anahitaji kurecord nyimbo, kushoot nk je hela anatoa nani kama anatoa msanii Ina mana we unakua umeajiriwa na msanii muda wowote anakutimua, mfano Ali kiba alimtimua meneja wake
Nguo nk😁🙌
 
Mtaji million Moja,nguo mtumba classic,show tunaanzia bar Kila wekeend
Inawezekana ila huwezi ukanzia show hujamtengeneza msanii, unatakiwa kwanza usambaze KAZI zake kwenye vituo vya redio na tv, kufanya interview alafu unaanza kufight nyimbo zipigwe baada ya hapo unaanza kutafuta show, nyimbo ziki hit unatafutwa inalipwa anaenda kufanya show hivo Yani sio KAZI rahisi inahitaji ufaham wa mchezo mfano kutengeneza kiki ili msanii wako afahamike,, unaweza zusha msanii alexido anamtongoza zuchu wawe WA penzi , jambo liki vuma mnapitia hapohapo, Yani inahitaji mtu mzoefu
 
Wabongo kwasasa hawataki kiki😁,,wanataka mziki vitendo.
 
Ni kweli lakin, amini usi amini, wabongo wanasujudia skendo kuliko mziki wenyewe, mfano app ya mange ilikua inauza kuliko app za mziki zilizo tengenezwa hapa bongo Kwa nini? Wasanii ni wengi wanao fahamika kuzidi hata nyimbo zao naweza kukutajia msanii mMoja ukamjua ila nyimbo yake huijui
 
Labda nikutajie wasanii ninayo wajua na nyimbo zao
 
Next time usilete uzi humu, JF kila mtu professional, Watakukosoa hadi Ulimi
 
Back
Top Bottom