Iphone Duo matatizoni, Apple kwenye ulimwengu wa Foldable Phones bado sana

Iphone Duo matatizoni, Apple kwenye ulimwengu wa Foldable Phones bado sana

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,762
Reaction score
21,843
Katika siku yake ya kwanza tu sokoni, ripoti kutoka kote duniani zimeonesha Iphone Duo ina changamoto nyingi kushinda za washindani wake, hasa katika Display na Hinge.





Screenshot_20261025_092847_X.jpg


Screenshot_20261025_092739_X.jpg


Screenshot_20261025_092156_X.jpg

Screenshot_20261025_092055_X.jpg

​
 
Nimeona hizo video ila kilichonifurahisha ni comment section.

iPhone user wanasema kikawaida first generation yeyote sio ya kukurupuka kuinunua kwasababu ipo kwenye majaribio.
 
Bado nyumbu watanunua 😂

Anyway, n kweli sina pesa, ila hata kama nikiwa na pesa siwez kununua Foldable Phones yoyote ile.
 
Back
Top Bottom