kiburi

Kiburi-ji (来振寺) is a Buddhist temple in Ōno, Gifu Prefecture belonging to the Chisan sect of Shingon Buddhism. The temple claims to have been founded as the Hossō sect temple of Shinpuku-ji by the wandering priest Gyōki in 715 AD. It was burned down by Oda Nobunaga in 1560 and subsequently rebuilt with the support of Toyotomi Hideyoshi, Tokugawa Ieyasu and the Toda clan of Ōgaki Domain during the Edo period.
The temple possess a Heian period set of five scroll painting depicting the five Myō-ō (Fudō Myō-ō, Gōzanze Myō-ō, Gundari Myō-ō, Daiitoku Myō-ō, and Ususama Myō-ō which is a National Treasure of Japan.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Kiburi na jeuri ya Chama Dola sio vyombo vya Dola kama wanavyodai ni mali Yao Bali ni Kodi na tozo za wananchi maskini wanazikusanya

    Vyombo vya Dola haviwezi kujiendesha bila Kodi na Tozo za wananchi maskini Serikali haiwezi kujiendesha bila tozo na Kodi kutoka Kwa wananchi maskini Kwa wananchi ndo wenye MAMLAKA ya mwisho juu ya hatima ya Taifa lao sio vyombo vya Dola Wala majeshi Watawala waovu wanachoweza kufanya ni...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kiburi chake kinampoza sasa, anaomba poooo

    Habari za Muda huu waungwana. Mwaka 2018 niliingia kwenye mahusiano na mwanamke wa kinyakyusa, mwisho wa siku ya kawa ya kupika na kupakua,nimebahatika kupata naye watoto 2 inshaallah. Kuishi na hawa wanawake wa kinyakyusa inahitaji kujitoa kweli lasivyo utapoteza uwanaume wako ndani ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa Samia kautengeneza kwa kiburi chake mwenyewe

    Samia tumejua ana vitu 5 vikubwa 1. Ni mtu wa visasi angalieni tu alivyomfanyia Nchimbi na Ndugai pamoja na kustaafu! 2. Hajawahi kuomba msamaha kwa lolote 3. Anapenda kusifiwa hata kwa unafiki aka machawa. Hizo PHD mchara 4. Mwoga sana wa kila mtu ushahidi kwa Lissu, Nchimbi, Ndugai na wengine...
  4. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Inchi bado imevimba acheni kiburi mapokezi ya miss grand wanainchi hawana habari

    Kuna usemi wa kiswahili unasema kibaya chajitembeza kizuri cha jiuza haya angalia hayo mapokezi unaona watu wa tabaka moja hatuoni wale wenzetu wasio na viatu unga unga mwana walisukumwa na tukio zaidi tunaona kundi furani liliotoka nyumbani likavaa na kupendeza ajiri ya tukio maana yake nini ni...
  5. K

    JamiiForums Tanzania A Fool Thinks Himself to Be Wise, But a Wise Man Knows Himself to Be a Fool": Je, Siasa za Tanzania Zinatekwa na Kiburi cha "Wajuaji" au Zinaongozwa n

    Picha:Taswira ya Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania: Je, mijadala na maamuzi yetu ya kitaifa baada ya uchaguzi yanaongozwa na maridhiano na hekima ya pamoja, au yanaathiriwa na kiburi cha kifikra cha wajuaji Mwandishi mashuhuri wa michezo ya kuigiza wa Uingereza, William...
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya kishirikina vinavyowapa kiburi wapemba na baadhi ya mashehe na maustadh

    Ni-declare interest mimi sio muislamu bali ni mtu ambaye ni curiocity wa mambo mengi yaliyopo duniani 👇👇👇👇👇 Turudi kwenye uzi Watu wamekuwa wakiwaogopa wapemba na moja ya sababu kubwa ni kwamba ukimess na mpemba basi anakufanya kitu kibaya Ninini kinawapa kiburi wapemba Kinachowapa kiburi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Biblia inavyosema kuhusu kiburi

    Biblia inavyosema kuhusu kiburi Kiburi siyo dhambi unayofanya kwa njia sawa na kuiba au kusema uwongo. Ni mtazamo wa moyo na njia ya kufikiria. Huwezi kuona upepo, lakini unaweza kuona athari za upepo, na ni sawa na kiburi. Huwezi kuona kiburi, lakini unaweza kuona matokeo yake. Kimsingi...
  8. passioner255

    JamiiForums Tanzania ukiona farao anajaa kiburi ujue anguko lake lipo karibu

    Mambo yanayoendelea TANZANIA ni kwa sababu Farao amejaa kiburi kaona liwalo na liwe mfano kutumia vyombo vya kimaamuzi kuwatesa watu.Ni suala la muda huyu FARAO kuanguka na litakuwa anguko kubwa na la aibu kwa sababu ya laana aliyojitengenezea.tuwe na Subira.
  9. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Kiburi na Kaburi

    Sifa, Kiburi, Jeuri. Umekumbatia Boksi la Mbao kiboya sana Unakumbatia Jokufu la baridi kiboya sana. Unadhani watakukumbuka? Haha . Mandela alikua ana akili akua na ubishi wa kingese mbele ya watu wema. Tulikuambia nenda malizana nae ukajiona mjanja. Sawa mwanetu ( Ropo ropo) GM- Summy Russia
  10. Etwege

    JamiiForums Tanzania Ewe mtoto mwenye kiburi, ipo siku utatuonyesha ulikomficha Humphrey Polepole

    Historia ya watoto wa Mobutu Sese Seko, Muammar Gaddafi na Saddam Hussein ina somo moja kubwa: watoto wanaporithi mamlaka ya baba zao bila kuwajibika kwa sheria, huanza kujiona warithi wa taifa badala ya raia wa taifa. Lakini mamlaka ya baba yalipoanguka, kinga yao pia ilianguka. 1. Watoto wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kama DPP anaweza kukaidi kutoleta mashahidi kesi ya Lisu, je sisi kwangu pakavu tia maji, si ni vifo vinatusubiri jela/mahabusu!

    Nimetafakari sana kitendo cha DPP/Katuga for that matter kutoleta shahidi/ mashahidi. Kama wanaweza kudharau a bench of three Judges, je sisi ambao hatuna watetezi si tutafia jela/ màhabusu. Masaju amekomalia briefing za mawakili viunga vya mahakama! Concen yake ilibidi iwe JUSTICE DELAYED...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuache ukatili na kiburi kwa kusema mtoto akikua atanitafuta. Watibeli tunasema hatutakutafuta

    WANAUME TUACHE UKATILI NA KIBURI KWA KUSEMA MTOTO AKIKUA ATANITAFUTA. WATIBELI TUNASEMA HATUTAKUTAFUTA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mimi kama Mtibeli, mwanaume, Baba, na Kaka. Nafahamu kuwa wapo watoto ambao wanapatikana kama ajali. Mwanaume ametafuta kisichana wakaamua kufanya ufuska...
  13. venchwa

    JamiiForums Tanzania Heshima ikierejeshwa tu naacha kupost ila mkiendelea na kiburi acha niitwe limbukeni na heshima ntachukua kwa lazima

    Wale haters naona wamepungua kwa posts na nyuzi zangu Sikutaka kuwa napost haya! Ila wale wajinga waliosema nakaa kwa shemeji nikasema anhaa hadi wakimbie nyuzi zangu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pesa haimpi kiburi Mwanamke bali humpa uwezo wa kutovumilia ujinga

    Pesa hazimpi mwanamke kiburi kama ambavyo wengi hudhani, bali humjengea uwezo wa kujitambua na kuthamini nafasi yake katika jamii. Mwanamke anapokuwa na uwezo wa kifedha, anaweza kufanya maamuzi yake bila kutegemea wengine, jambo linalompa uhuru wa kweli wa maisha. Uhuru huu humfanya awe na...
  15. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kiburi kimeua mahusiano ya watu wengi kuliko usaliti

    Mahusiano ya watu wengi yanakufa kwasababu ya kiburi , unakuta mtu anasema atanitafuta tu halafu mwisho wa siku imetoka hiyo , au mwengine anataka atafutwe yeye kwanza ana kiburi cha kujiona bora sana kuliko mwenzake sasa watu wengine hawana uvumilivu na watu wa aina hiyo anatafuta...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Heri uishi na mke mchafu au mwenye kiburi?

    Na wengi wao huwezi kuwajua kabla ya ndoa, Drama inaanza baada ya ndoa
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wosia wa Spika Mstaafu Samweli Sita. Zanzibar wakijifanya kiburi, wazimieni Umeme

    Hayati Samwel Sitta alivekuwa Spika Mstaafu. alidokeza kwamba Zanzibar hawana mito na umeme wote Unatoka Tanganyika. MY TAKE; Je, kwa mauaji ya 29 Oktoba 2025, kwanini Zanzibar tusiwakatie Umeme? Sikutegemea Wazanzibari watuue bila Huruma. Kumbuka Abdul Hafidh Samia Suluhu, Issa Khatibu wote...
  18. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania Naweza Vipi Ku-deal na Mwanamke Mwenye Kiburi cha Pesa na Tabia ya Ubinafsi?

    Wadau naomba ushauri wenu. Nimekutana na mwanamke ambaye kiukweli yuko vizuri kifedha kuliko mimi. Tatizo linalonichanganya ni kwamba ana tabia ya kujiangalia yeye tu na wakati mwingine anaonesha dharau kidogo. Nina interest naye na natamani kuingia naye kwenye mahusiano, lakini najiuliza: Je...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Steven Wasira acha kiburi, dharau, kejeli ya madaraka. Kuna siku utazitaja dhambi zako you committed against humanity!

    Msikilize hapa dharau, kejeli, masimango ya kiburi cha madaraka HARAMU
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Watanzania: Achananeni ya kebehi na kiburi cha CCM na Kihongosi wao. Nguvu zetu tuwekeze ICC. Siku si nyingi wataanza kutoa milio

    Wito kwa Watanzania. Achaneni na huyu mpuuzi Kenan Kihongosi anayewakilisha kiburi cha Taasisi anayotoka ( ccm) na kebehi za chama chao kwa Watanganyika baada ya kutuua na kumwaga damu zetu kikatili sana. Achaneni na Waigizaji wote na CCM na madalali wao ambao muda huu wanalipwa kuleta maigizo...
Back
Top Bottom