ramli nonsense kama hizi zinaweza kuwatisha washirikina pekee gentleman,Msikilize hapa dharau, kejeli, masimango ya kiburi cha madaraka HARAMU

Namwombea kwa Mola siku hizo zisikawie kufika kwake,ili jina lake litumkuzwe kama sasa na hata milele!
Kmmk zako.ramli nonsense kama hizi zinaweza kuwatisha washirikina pekee gentleman,
hakuna gaidi atavumiliwa hata kwa sekunde moja tu Tanzania eti aachwe tu apore watu, aumize watu, aharibu miundombinu au kulipua vituo vya mafuta, nyumba za wanananchi au ofisi za umma,
na kubwa zaidi,
hakuna uhaini utakaofanikiwa Tanzania hata ufadhiliwe na mabwenyenye kutoka magaharibi na mashariki kupitia vibaraka wao waropokaji tu humu nchini![]()
Duh ...!Msikilize hapa dharau, kejeli, masimango ya kiburi cha madaraka HARAMU