Kiburi kimeua mahusiano ya watu wengi kuliko usaliti

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,682
Reaction score
6,638
Mahusiano ya watu wengi yanakufa kwasababu ya kiburi , unakuta mtu anasema atanitafuta tu halafu mwisho wa siku imetoka hiyo , au mwengine anataka atafutwe yeye kwanza ana kiburi cha kujiona bora sana kuliko mwenzake sasa watu wengine hawana uvumilivu na watu wa aina hiyo anatafuta replacement fasta
 
20260522_195654.jpg
 
Inaitwa ego hiyo kk kila mtu anajiona bora kuliko mwingine anajiona yy ndo victim wa mahusiano hayo anataka aanze kwanza yy kutafutwa au anapitisha mda kukujibu ni ubinafsi na utoto mda mwingine
 
Back
Top Bottom