Kiburi kimeua mahusiano ya watu wengi kuliko usaliti

Kiburi kimeua mahusiano ya watu wengi kuliko usaliti

Hadi nimechapia nkaandika ole badala ya ile 😂😂😂
jf ukiwa na moyo mdogo hutoboi
Kabisa 😁😁

Be positive tu

Sio Kila comment Huwa tuna maanisha it's just a chitchat
 
hana kiburi ila hakupendi mwanetu, muache aende
Ni ngumu watu kukubali kua hapendwi ama lah anapendwa ila hana maajabu , hana story za kufurahisha au anaboa ndio maana hatafutwi.

Kama ana simu usidanganyike kua haishiki mara kwa mara ni vile hupendwi na huna maajabu.
 
HIcho kiburi anakipata wapi mkuu? Mwanamke akikupenda haoni anakuwa kama kipofu Kazi kwako kutimiza majukumu kama mwanaume
Ndio mnavyojidanganya😁😂, women are very dangerous people, always wana plan B , mwanaume akishiba ugali na mbususu usiku anakoroma tuu mpaka apigwe tukio
 
Mahusiano ya watu wengi yanakufa kwasababu ya kiburi , unakuta mtu anasema atanitafuta tu halafu mwisho wa siku imetoka hiyo , au mwengine anataka atafutwe yeye kwanza ana kiburi cha kujiona bora sana kuliko mwenzake sasa watu wengine hawana uvumilivu na watu wa aina hiyo anatafuta replacement fasta
NAWEZA TETEA HAPO, SIO KIBURI BROO
KUNA MWANAMKE UNAKUWA NAE KWENYE MAHUSIANO UKIMTAFUTA TU INAKUWA SHIDA YAANI ANAKUWA VERY COLD KAMA KAMWAGIWA MAJI, NA UNANITAHIDI KUMELTA KWENYE MOOD MNAISHIA KUGOMBANA TU

NA KUNA MWANAMKE HAKUTAFUTI AKIAMINI ME NIKO DESPERATE SANA NA YEYE KILA SIKU NAMCHEKI TU

NA KINGINE KUNA MWANAMKE UKIMTAFUTA KILA MUDA ANAKAUONA FALA AU UNAMCHUNGUZA

MAHUSIANO BORA YABALANCE PANDE ZOTE🙌🙌🔥
 
Haina noma mwanetu endelea kujiamlia mambo maana mpaka sahii naamin huna mume au mchumba anaeeleweka...

NAWEZA TETEA HAPO, SIO KIBURI BROO
KUNA MWANAMKE UNAKUWA NAE KWENYE MAHUSIANO UKIMTAFUTA TU INAKUWA SHIDA YAANI ANAKUWA VERY COLD KAMA KAMWAGIWA MAJI, NA UNANITAHIDI KUMELTA KWENYE MOOD MNAISHIA KUGOMBANA TU

NA KUNA MWANAMKE HAKUTAFUTI AKIAMINI ME NIKO DESPERATE SANA NA YEYE KILA SIKU NAMCHEKI TU

NA KINGINE KUNA MWANAMKE UKIMTAFUTA KILA MUDA ANAKAUONA FALA AU UNAMCHUNGUZA

MAHUSIANO BORA YABALANCE PANDE ZOTE🙌🙌🔥
Haujakosea kk , watu wa aina hiyo hawafai kabisa uache kupambana na maisha uanze kutumia nguvu kubwa kum impress mwanamke ? Huo utakuwa ufala
 
Ndio mnavyojidanganya😁😂, women are very dangerous people, always wana plan B , mwanaume akishiba ugali na mbususu usiku anakoroma tuu mpaka apigwe tukio
JIdanganye wote tukishiba ugali na mbususu usiku full kukoroma. Mwanaume analala siku akifa
 
Back
Top Bottom