Kiburi kimeua mahusiano ya watu wengi kuliko usaliti

Kiburi kimeua mahusiano ya watu wengi kuliko usaliti

Hivi kwa nini huwa mkishatuonja huwa mnahama kuelekea I love you too? Ni kwamba mnakuwa hamjafikishwa, humujitaji tena, au ni ego tu ya atanitafuta?
Sinimesha kukula !

Mtu kuliwa tu tusumbuane utadhani una majukumu kama ya raisi wa nchi
 
U make me hate men... I hate revenge kwenye mapenzi
I hate fake people
Why umsumbue mtoto wa watu !? If you hate revenge try to be real ,

Sio mambo ya kusumbuana sumbuana utadhani mafwele ana apologize USA embassy ili aweze kuondolewa ban ya kwenda USA

Hiyo inakuwa sio sawa , Mtu mzima umependwa then una ombwa Chiu lakini haitoki mpaka tuzungushane kama vitoto vya shule like seriously!?
 
I once loved a person truly japo kwake yeye mwanzoni haikuwa that serious ila badae akajua and bond tuliyoweka haivunjiki Hadi kesho japo haikuwa meant Tuoane. Hadi kesho amekuwa rafiki mzuri sana.
Zingatia kiporo hatupashi.
Love people unconditionally
Kama hakuwahi kumsumbua he was suppose to love you

You gals mnapaswa kubadilika mapenzi ya kusumbua sumbua wanaume Yana umri wake mwanaume akishafika 30+ kichwa chake kina kuwa na mambo mengi hawezi kukaa na ku- intertain ujinga if anajitambua never
 
HIcho kiburi anakipata wapi mkuu? Mwanamke akikupenda haoni anakuwa kama kipofu Kazi kwako kutimiza majukumu kama mwanaume
 
Why umsumbue mtoto wa watu !? If you hate revenge try to be real ,

Sio mambo ya kusumbuana sumbuana utadhani mafwele ana apologize USA embassy ili aweze kuondolewa ban ya kwenda USA

Hiyo inakuwa sio sawa , Mtu mzima umependwa then una ombwa Chiu lakini haitoki mpaka tuzungushane kama vitoto vya shule like seriously!?
Are u having something personal....
Who told u I am not real?
Me kama nakuelewa tunaenda kikweli kweli sawa tu
 
Kama hakuwahi kumsumbua he was suppose to love you

You gals mnapaswa kubadilika mapenzi ya kusumbua sumbua wanaume Yana umri wake mwanaume akishafika 30+ kichwa chake kina kuwa na mambo mengi hawezi kukaa na ku- intertain ujinga if anajitambua never
We loved each other truly na sikuwahi kumsumbua kuna mazingira yalituweka mbali kill mtu akashika njia yake Ila sasa imebaki heshima na kusaidiana kwenye shida na raha
 
hana kiburi ila hakupendi mwanetu, muache aende
Kiburi ni tabia ipo sana,hata vitabu vitakatifu na hadithi za mababu zetu zimeongelea sana kuhusu kiburi, na kiburi mara nyingi ndio anguko la watu,na watu wengi wakishaona una kiburi wanakaa mbali na wewe
 
Are u having something personal....
Who told u I am not real?
Me kama nakuelewa tunaenda kikweli kweli sawa tu
Nope just a comment, naanzaje kukubuly mtoto mzuri , wakati Mimi mwenyewe ukinipa sikatai 😁😁
 
We loved each other truly na sikuwahi kumsumbua kuna mazingira yalituweka mbali kill mtu akashika njia yake Ila sasa imebaki heshima na kusaidiana kwenye shida na raha
Yeah watu wazima always tunaishi hivyo
 
game ya mahusiano imekuwa ngumu sababu ya vitu vingi ila kikubwa zaidi ni ubinafsi.
 
Back
Top Bottom