Umenikumbusha Depal na I love you yake! Ukweli ni kuwa wengi wa akinamama katika mwanzo wa mawasiliano huwa wana ka ego, hivyo mwanaume lazima uwe upande wa I love you na yeye I love too. Ila baada ya kutunukiwa huwa mnabadili pande. Hiyo ni nature. Ndiyo maana kabla ya mechi mwanaume husaidia kuvua chupi ya bibie ila wakati wa kuivaa….Ila haya Mambo ya kusubiriana haya dah... Guys if u love love unconditionally... It is either you do it or you don't!
Sometimes it doesn't make sense kuwa na mtu ambaye unajiuliza umtafute au usimtafute.... Hata kama uwe busy vipi utapata tu muda katika masaa ya ubize wako ya kujuliana Hali. Ukiona uko na mtu na unamtegea basi hapo mnacheza mchezo wa seek and hide a.k.a kombolela Ila hamhusiani kabisa. Ndio Yale Yale ya kuambiwa uwe upande wa 'I love you too' badala ya 'I love you'.
Get well soon my special man and my favorite 😍 person.