Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Ndio nataka kuacha😔Kiburi si maungwana🤣
Ndio nataka kuacha😔Kiburi si maungwana🤣
Sio kweli 😃Safi waendelee hivyohivyo maana una hatihati ya kuzeekea kwenye ulevi!
Wewe si utanipiga kabisa😁Sa itakuwaje mi nilitaka nikutokee mbona unanitisha
We hayaaSio kweli 😃
Kama ni faraja ,kwa utamu huo lazima nipate kisukari 😃What if ikawa sio stress bali faraja?
Sasa itaupataje utamu kama unaususia?Kama ni faraja ,kwa utamu huo lazima nipate kisukari 😃
I wonderMrokole ni kitu gani ?
DuhMambo ya kupandishana sukari shindii 😁
Nipo Romantic sana nitakupa malavidavi kama yoteWewe si utanipiga kabisa😁
Si unajifanya mwamba🤣🤣Nikipewa sisuji shindii
View attachment 3593113
Noted broskiUkiona mtu anakuacha kisa humtafuti, shukuru Mungu kwa sababu amekuthibitishia kuwa hakuwa na muda na wewe tangu mwanzo.
Hapo sawa, nitajirekebisha🥰Nipo Romantic sana nitakupa malavidavi kama yote
[emoji23][emoji23][emoji23]
utajijua mwenyewe!Mrokole ni kitu gani ?
Usimkatishe tamaa jamaa, umejua the full storihana kiburi ila hakupendi mwanetu, muache aende
Me tooSiwapendi watu wa aina yako hivi kila kitu mtu akipost anajizungumzia