Vitabu vya kishirikina vinavyowapa kiburi wapemba na baadhi ya mashehe na maustadh

Vitabu vya kishirikina vinavyowapa kiburi wapemba na baadhi ya mashehe na maustadh

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Ni-declare interest mimi sio muislamu bali ni mtu ambaye ni curiocity wa mambo mengi yaliyopo duniani
👇👇👇👇👇
Turudi kwenye uzi
Watu wamekuwa wakiwaogopa wapemba na moja ya sababu kubwa ni kwamba ukimess na mpemba basi anakufanya kitu kibaya

Ninini kinawapa kiburi wapemba
Kinachowapa kiburi wapemba ni namna ya kutumia vitabu vya kishirikina a.k.a vitabu vya makombora na ni kama vifuatavyo:
  1. Shams al maarif
  2. Shams al-Anwar wa Kunuz al-Asrar al-Kubra:
  3. Manba' Usul al-Hikmah
  4. Al-Ajnas:
Hivi vitabu hapo juu cha kwanza shams al maarif kiliandikwa AHMED AL BUN (alikufa mwaka 1225) alizaliwa algeria ila alikulia misri mda mwingi wa maisha yake na kuanzia cha pili kushuka chini hakijaandikwa na AHMED AL BUN ila kimekuwa influence na yeye alikuwa ni mwanamahesabu (mathematician) na alikuwa ana elimu kubwa ya dini ya dini ya kislamu

KWA ASILIMIA KUBWA HIVYO VITABU VIMETUMIA HESABU SEMA HESABU YAKE NI TOFAUTI NA HII YA DARASANI

Uhusiano wa hivi vitabu na uislamu ni controversal na debate
uislamu unakataza ushirikina ila wanaosupport hivi vitabu na kivitumia wanavitetea kwa sababu zifuatazo
  1. Wanasema vinaelezea mambo ambayo kwenye quran kiundani mfano surat al jinn kwenye quran ni fupi sana kwa hiyo mtu hawezi pata clue kwa undani juu ya majini kwa hiyo ukitaka kujua namna ya kuita majini, kuwaondoa ndani ya mtu na kuwatumia kama silaha haya yote huwezi pata kwenye quran bali kwenye shams al maarif na wenzake
  2. Sababu ya pili ni kwamba kujua quran na hadith pekee haitoshi hasa ukitegemea mashehe, maimam wanahitaji kupata fedha sasa moja ya njia ya kupata fedha ni kuwa na uwezo wa kutumia shams al maarif kwa ajili ya kutatua changamoto zinazowakabili na hii inatoa room kwa mashehe na maimam kujipatia kipato kwa hiyo ni moja ya sababu kwa wanaotetea hivi vitabu
  3. Sababu ya tatu ni kwa vitabu hivi vinaelezea namna ya kutumia nguvu iliyopo nyuma ya majina 99 ya allah kitu ambacho huwezi kukikuta kwenye quran

Sifa kubwa ya hivi vitabu
  • Moja ya sifa ya hivi vitabu viko direct sana kama unataka kumtupia mtu jini vinakueleza njia za kufanya hivyo, kama unataka kumuita jini vinakupa maelezo viko direct sana, kama unataka kumfunga mtu vinakupa maelekezo kama nilivyosema viko direct na kwa wapemba hivi ndo vinawapa kiburi na kuwafanya watu wawaogope

Kwa mtu wa kawaida usitumie shams al maarif na wenzake kama huna mafunzo kwa sababu vinamiiko yake na namna ya kuvitumia

Makombora, vipapi, vifungo vipo ndani ya hivyo vitabu

WATU WANAULIZA KWANINI VISUTUMIWE KUONDOA UMASKINI
  1. Mwanzo kabisa waafrika wengi sana ni wajinga hapa duniani kila field inaelimu yake sasa maendeleo yana njia zake, na mambo ya kiroho yana njia zake, sasa kama unataka maendeleo kuna jia zake ambazo hazihusiani na huu uzi na maendeleo hayahusiani na hivyo vitabu
  2. Wengine wanasema kwanini havitumiki kumuua netanyau maisha sio marahis hivyo hivyo vitabu kuna maeneo kibao vinafeli na kuna maeneo vinafanikiwa kwa lugha nyingine hakuna kitu perfect duniani

VITABU HIVI VIMEPIGWA MARUFUKU NCHI ZA KIARABU NA KISLAMU BUT STILL VINATUMIKA SANA
 
Zamani watu walikuwa na akili sana, kulingana na watu wa sasa.
Kulikuwa na elimu kubwa ambayo imepotea.

ELimu ya uharibufu bado inafanya uharibifu

Nawaza tu baba na mama mkwe ndio wanaoruhusu uharibifu ufanyike ndani ya mtu

Haya maisha nimeanza kuyachukia mno. Tunaishi uongo mkubwa kuwahi kutokea, ni jambo la kusikitisha sana.
 
Ili mradi tu muonekane mnajua bila hata kufanya utafiti.
Hivi kweli ulichoandika hapo ndo vitabu vya makombora?
Una uhakika na ulichoandika ama umeambiwa tu?
Hapo hakuna kitabu cha kombora fanya tafiti vizuri hivo ni vitabu vya watoto.
 
Ili mradi tu muonekane mnajua bila hata kufanya utafiti.
Hivi kweli ulichoandika hapo ndo vitabu vya makombora?
Una uhakika na ulichoandika ama umeambiwa tu?
Hapo hakuna kitabu cha kombora fanya tafiti vizuri hivo ni vitabu vya watoto.
Vitabu vya makombora viko maabara mkuu, maarifa yanatumika na tunaona Makombora halisi yakiua watu huko Gaza, Ukraine n.k

Hayo makombora yenu yanafanya kazi wapi Ili kuthibitisha?
 
Ukiwa na YESU hiyo mikombora yao itateketea......... vibaya sana!
Kombora halisi kutoka maabara hata ukiwa na akina yesu 10 bado litakupata na utakufa. Labda hayo makombora yenu ya kufikirika
 
Kombora halisi kutoka maabara hata ukiwa na akina yesu 10 bado litakupata na utakufa. Labda hayo makombora yenu ya kufikirika
Yeah! sasa hayo niya kimwili mkuu, haya ya kiroho yanasambalatishwa kabla halijafika kwa mrengwa!
 
Back
Top Bottom