BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,799
- 9,892
Wapi nimeandika kwamba kuna vitabu vya makombora?Vitabu vya makombora viko maabara mkuu, maarifa yanatumika na tunaona Makombora halisi yakiua watu huko Gaza, Ukraine n.k
Hayo makombora yenu yanafanya kazi wapi Ili kuthibitisha?
Comment yangu mimi nimekataa kuwa hivo sio vitabu vya makombora hata mimi najua vitabu vya makombora sio hivo.
Wewe unaniuliza tena kitu nilichokikataa mkuu.!!!!!