Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
WANAUME TUACHE UKATILI NA KIBURI KWA KUSEMA MTOTO AKIKUA ATANITAFUTA. WATIBELI TUNASEMA HATUTAKUTAFUTA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Mimi kama Mtibeli, mwanaume, Baba, na Kaka. Nafahamu kuwa wapo watoto ambao wanapatikana kama ajali. Mwanaume ametafuta kisichana wakaamua kufanya ufuska. Uzinzi. Mara mimba imeingia. Mimba ya kifuska.
Hatimaye anatokea mtoto wa kifuska. Mtoto wa zinaa. Kizazi cha mbwa au chanyoka.
Nitatumia lugha ngumu kidogo. Bila kujali mada inanihusu mimi mwenyewe, wewe au mtu mwingine. Ukweli wenye kuumiza ndio wenye kubadilisha. Sasa utaamua ubadilike kuwa mshenzi zaidi au uwe mwema.
Niliwahi sema, binti kama kijana hajakuoa usijibebeshe mimba.
Wanaume tunachukia sana baadhi ya wanawake wakibeba mimba zetu. Nilisema huo ni ukatili.
Mimi Nina nyege zangu labda nawe unanyege zako. Sijakuoa. Kinachokufanya ubebe mimba nini. Mimi nimekutamani tuu wewe.
Mimi sikutaki wewe. Nataka nijimalize zangu nipite hivi. Tusijuane. Wewe unajibebesha. Huo ni ushenzi.
Mtoto uliyezaliwa katika hali ya ufuska. Zinaa. Kitoto cha mbwa. Kitoto cha Nyoka. Kuna njia nyingi ya kujitakasa na kujiweka sawa ili uondokane na hiyo hali.
Baadhi ya wazazi hasa kina Mama werevu wakishagundua wamebeba mimba za kifuska wao wenyewe ndio hufuata taratibu za kukitakasa kitoto tangu kikiwa tumboni, kisha ile miezi mitatu ya mwanzo hukitakasa pia ili kuondoa uchafu . Ni wazazi wachache hufanya hivyo.
Hii itakuwa mada ya siku nyingine. Msije sema Mtibeli unamaneno mengi na unachanganya Madera.
Mwanaume unapomwambia unamimba yake wakati hakukuomba na hakupendi. Anakasirika.
Anakereka.
Analaani.
Anachukia.
Anajuta.
Wengine hufanya hayo kwa sababu hakupendi.
Wengine hufanya hayo kwa sababu anakuona haumvutii, kwake ni aibu kubwa kuzaa naye. Ulifaa kwa matumizi tuu.
Wengine hufanya hayo kwa sababu hawana maisha mazuri. Wanafikiri watamleaje mtoto. Hali
Ngumu.
Vyovyote iwavyo. Baadhi huamua kuikataa Mimba. Kumkataa mtoto.
Kwa njia mbalimbali.
Wengine hukataa watoto live bila chenga wanakuambia hiyo mimba haitambui, mtoto amekuachia ni zawadi yako. Na matusi kibao.
Wengine hukata mawasiliano na kutokomea kusikojulikana.
Wengine hufanya hujuma mimba zitolewe au ikiwezekana kuua kabisa mtoto.
Hizo zote ni athari za michezo ya kifuska, zinaa, na michezo ya kinyoka Nooka.
Kama mliweza kufanya zinaa, kubebeshana mimba kihuni. Usishangae wanatoa mimba, wanaoua watoto, wanaotelekeza. Wote wapo kundi moja. Ni walewale. Hakuna aliyejuu ya mwingine. Wote ni wahuni tuu.
Unakuta mtu anamlaumu mtu kwa kumtekeleza mtoto. Lakini hajilaumu kwa kufanya zinaa na kubeba mimba. Wote nyie ni walewale. Michezo ya kuhuni ndio iko hivyo.
Huwezi leta sheria za maadili kwenye michezo ya kihuni.
Ukiamua kuzini. Basi jua matokeo yake hayafuati sheria za maadili. Lolote linatokea. Na michezo ya kihuni haitabiriki na hakuna Warranty.
Sasa tunarudi kwa Wababa na Wanaume.
Tayari ulimpachika Mimba binti wa watu. Ukasema hukukusudia. Haukuwa mpango wako.
Yeye amechuzea rafu na kujibebea mimba.
Ukaamua nawe ukacheza rafu nyingine kwa kukataa mimba na kumtelekeza mtoto.
Kwa ujeuri na kiburi ukasema kwamba Mtoto akikua atakutafuta. Hizo ni kauli na mifumo ya kuzimu, ushenzini.
Mtoto amekua hakutafuti.
Mtoto amekua hana Habari na wewe.
Mtoto amekua anasema Baba yake alishakufaga.
Mtoto huyo naye anaendeleza kile mlichoanza wewe na Mama yake.
Wewe ni mshenzi, na mama yake pia ni mshenzi. Washirika katika ushenzi. Sio kwamba Mamaake ni mwema kuliko wewe. Hapana.
Kwenye wahuni na uhuni hakuna Wema.
Kwenye uhuni watu wanaangalia tamaa na matakwa yao kuliko maadili wala kumjali yeyote.
Hukunilea. Sitakulea
Hukunitaka. Sikukutaka.
Ulinikimbia. Sitakukaribia.
Uliona pesa ya muhimu kuliko mimi. Nami naona vivyohivyo. Pesa ni muhimu kuliko wewe mzazi.
Laana uliianzisha wewe mwenyewe. Ubaya ubwela.
Kama ni kunizaa. Hata mimi nitakulipa kwa kuzaa. Zaidi nitajitahidi nisiwe kama wewe. Lakini kama laana yako inanguvu nikakurithi ushenzi wako. Hewala. Sitajali.
Ulisema nitakutafuta. Sitakutafuta.
Hivyo ndivyo mambo yanavyoenda.
Watibeli wa kuzimu ndivyo wanavyofanya. Sio kwamba Watibeli wapo peponi tuu. Watibeli wapo kila ulimwengu.
Kila rangi. Kila hadhi.
Kila Rika. Kila kabila, lugha na jamaa.
Anayetaka Neema apewe Neema ikiwa alikuja kwa unyenyekevu na sio kiburi na jeuri.
Atakaye Rehema mhurumie kama hana hila ndani yake.
Hivyo ndivyo Watibeli tulivyo. Na hatujifichi
Nimemaliza
Sabato Njema.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam