Samia tumejua ana vitu 5 vikubwa
1. Ni mtu wa visasi angalieni tu alivyomfanyia Nchimbi na Ndugai pamoja na kustaafu!
2. Hajawahi kuomba msamaha kwa lolote
3. Anapenda kusifiwa hata kwa unafiki aka machawa. Hizo PHD mchara
4. Mwoga sana wa kila mtu ushahidi kwa Lissu, Nchimbi, Ndugai na wengine
5. Ni mdini na mpendeleaji hasa waislamu na wanzanzibari nendeni kaangalieni waajiriwa wa Ikulu na wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa zanzibar muone.
Huyu ni mtu ambaye 2021-2022 karibu kila mtu alikuwa anampenda