upinzani

  1. E

    JamiiForums Tanzania Lema ajue CHADEMA haimiliki siasa za upinzani Tanzania, wanaharakati wana haki ya kumkosoa

    Mfumo wa vyama vingi ulirejeshwa Tanzania mwaka 1992 kwa shinikizo la Mwalimu Julius Nyerere, lakini Katiba haikufanyiwa mabadiliko ya kutosha kuhakikisha ushindani wa kisiasa wenye usawa. Ibara ya 3 ilitambua mfumo huo, lakini mamlaka makubwa ya Rais, usimamizi wa uchaguzi na mazingira ya...
  2. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania CCM imechoka, upinzani umetepeta! Hii ni turufu kwa chama nitachoasisi ili kushika dola 2035!

    Mwaka mmoja na nusu umepita baada ya kuandika uzi wangu huu-- ' Hekaya za George Soros na Utabiri wa Anguko la CCM,' kwenye jukwaa hili adhimu! Mwenendo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) haujaboreka, bali umeendelea kuzorota na kufifia! Hii inafanya ile 'narrative' ya 'CCM haijabakisha maisha marefu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu kwa Wachaga katika siasa za upinzani umeshuka sana, viongozi wachache wanafanya wengi waonekane wanathamini fedha kuliko misingi ya harakati.

    viongozi wachache wanaponza wachaga wote kuonekana kila kitu pesa mbele Cv ya wachaga inaendelea kugalagazwa matopeni kwa haya matukio ya wanasiasa wake wa upinzani kuvigeuza vyama kuwa mitambo ya kupiga deal na kuwa madalali wa siasa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya ni injini ya siasa za upinzani Tanzania. Walichokosa ni chama chenye mizizi Mbeya na kiongozi CHADEMA, lakini harakati na hamasa, hawana mfano

    Ukiondoa Dar es Salaam, mkoa uliofuata kwa Mo29 ulikuwa ni Mbeya, wilaya nne za Mbeya Mjini, Mbeya Vijijini, Uyole na Kyela maandamano yalifanyika kwa kiwango kikubwa. Kwa upande wa mikoa kama Mwanza na Arusha, maandamano yalijikita zaidi katika maeneo ya mijin, kwa mkoa wa Mara maandamano...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Wa kagema aliliwa kichwa Uganda, wa Museveni yupo gerezani kwa uhaini,wa Samia nae yupo gereji kwa uhaini mnao bakia upinzani spoko za moto zinawausu

    Kiiza Besigye awala wa mke wa Museveni yupo gerezani,kisa uhaini Lissu mpinzani mkuu wa Samia yupo gerezani uhaini Kagame yeye,hataki shida wake amemla kichwa mapema na amezikwa paspo kichwa. Mnao bakia upinzani Tanzania mwafaka nini? Nina hakika ile tume itatoa mstakabali wa upinzani...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa Samia kautengeneza kwa kiburi chake mwenyewe

    Samia tumejua ana vitu 5 vikubwa 1. Ni mtu wa visasi angalieni tu alivyomfanyia Nchimbi na Ndugai pamoja na kustaafu! 2. Hajawahi kuomba msamaha kwa lolote 3. Anapenda kusifiwa hata kwa unafiki aka machawa. Hizo PHD mchara 4. Mwoga sana wa kila mtu ushahidi kwa Lissu, Nchimbi, Ndugai na wengine...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna namna yoyote JPM anaweza kusamehewa na historia kwa kufuta upinzani wa kweli Tanzania?

    Nimepanda SGR kutoka Dar kwenda Morogoro nimefurahia usafiri wa starehe wa bei nafuu ila kila nikikumbuka Jiwe ndiye aliua upinzani bungeni akatuachia matutusa tu bungeni na kuligeuza bunge kuwa jumuiya mojawapo tu ya chama tawala au tawi la serikali kuu nashindwa kumsamehe kabisa. Hivi...
  8. Scars

    JamiiForums Tanzania Upinzani pembeni: Itakuwa ni kumkosea heshima Messi bila ku-appreciate uwezo wake kwenye soka. Thank you for everything Messi the 2nd greatest ever.

    Hatimaye, dunia inashuhudia mwisho wa enzi kule Amerika Kusini. Lionel Messi ameamua kutundika daruga zake rasmi kwenye ngazi ya timu ya taifa ya Argentina. Kama wapenzi wa soka wa kweli na wale ambao tunajua vizuri maana ya misuli, mazoezi magumu, na kufanya kazi kiume hatuna budi kusimama na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya Kina: Je, Harakati za Mange Kimambi Zinalijenga Taifa au Ni Mkakati wa "Gawa Utawale" Kudhoofisha Upinzani?

    Ndugu wana-JamiiForums, Katika ulimwengu wa sasa wa siasa za kidijitali, mipaka kati ya uanaharakati wa kweli na propaganda za kimkakati imekuwa nyembamba mno. Mojawapo ya sauti kubwa mtandaoni nchini Tanzania imekuwa ya Mange Kimambi. Kwa muda mrefu, wengi wamemchukulia kama sauti inayosaidia...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Itachukua miaka mingi sana ijayo Tanzania kua na kambi rasmi ya upinzani bungeni tena.

    Kwasababu, vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania havikubaliki na wananchi kwasababu havina agenda zenye ushawishi, mashiko au maslahi mapana ya wananchi. Lakini baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kua vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kumedumaza pakubwa kuaminika kwa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Bungeni hakuna kambi rasmi ya upinzani, tuko 11 tu

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema bunge la sasa halina kambi rasmi ya upinzani kwa sababu wabunge wa upande wa wachache ni 11 tu, sawa na asilimia tatu. Alitoa kauli hiyo jana katika mkutano wa hadhara wilayani Tandahimba, kata ya Kitama, mkoani Mtwara. Ado alisema mwaka 2015...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani hapa Tanzania vinazirotesha upatikanaji wa demokrasia

    Vyama vya upinzani hapa Tanzania vinazirotesha upatikanaji wa demokrasia hapa Tanzania kwa kukosa utaalamu na uzoefu wa siasa Kughaili kushiriki uchaguzi sio njia ya kirafiki ya kupigania demokrasia. Inataka muda kwa mtu yeyote kuachia usukani. Inataka mkakati wa kiiufundi. Ni safari ndefu...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyama vya upinzani havishindi, na hata vikishinda havishindi?

    Vyama vya siasa vya Ulaya na Marekani vinapokezana kuongoza nchi zao sio kwa bahati mbaya tu, bali kuna mambo ya msingi ya nchi vimekubali yabaki kuwa hivyo yalivyo kama yalivyoamuliwa huko nyuma na watangulizi wao. Mfano, Pale UIngereza vyama vyote lazima visiiguse familia ya kifalme, ubepari...
  14. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hivi vyama vya upinzani vikifutwa alafu ikabaki CCM tuu. Na raia wote tukiunga mkono

    Nawaza tuu au wanapingana wao kwa wao? Campaign za uchaguzi hakuna Msemaji wa chama hakuna Uhaini lazima uwepo lakini Utekaji lazima uwepo lakini Rushwa lazima iwepo Haki za binadamu Ubadhirifu utakuwepo
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni upi hasa mchango wa vyama vya vya siasa hususani vya upinzani katika ustawi wa demokrasia, utawala wa sheria na utawala bora Tanzania?

    Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania, kumekuwepo na mageuzi na mabadiliko mengi sana makubwa ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa. Kama mdau wa muhimu na wa heshima sana wa JF, unadhani ni upi mchango wa vyama vya siasa vya upinzani katika...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani vyama vya upinzani Tanzania vinakosa nini hasa hata kutegemea na kuvizia matukio ili kua relevant katika medani ya kisiasa?

    Je, ni kwasababu Tanzania hakuna changamoto kubwa sasa ambazo zinaweza kua agenda kuu kwa vyama vya siasa hasa vya upinzani kuzisimamia? Au ni uwezo mdogo wa viongozi wa upinzani katika kupanga, kubuni na kuibua mipango na agenda zenye mashiko ili kuwafanya kua relevant all the time kwenye...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Afrika hakuna nchi vyama vya upinzani vimeleta nafuu kwa wananchi vikifika Ikulu

    Huwa nafuatilia sana siasa za dunia na Afrika. Afrika yote ni kama vile inaongozwa na Rais mmoja, bunge moja, mahakama moja na baraza la mawaziri moja. Hali yetu inafananafanana kwa kila kitu. kiuchumi, siasa, na huduma za jamii. Huduma na maendeleo yetu yako chini relatively kulinganisha na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Pompom za Magufuli hadi Vita na CHADEMA: Mange Kimambi Anapigania Mabadiliko au Anavuruga Upinzani?

    Mange Kimambi ni mmoja wa wanaharakati wa mtandaoni wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini Tanzania, ambaye safari yake ya kisiasa imepitia mabadiliko makubwa—kutoka kuwa kada na mpambanaji wa dhati wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hadi kuwa mkosoaji mkubwa wa serikali. Ili kuuelewa uanaharakati wa...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Upinzani Mpya Dhidi ya CCM Imara ya Samia

    By December, huenda tukawa na chama kipya cha upinzani. Acha matapeli na madalali wagawane fito na kumalizana wenyewe. CCM ya Samia imefanya political rejuvenation ya hatari. Kwa kasi hii, wapinzani watahitaji miaka 100 mingine kuiondoa madarakani. Siku moja mtatambua kwamba sisi chawa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa Tanzania: Je, Mnajua Mnachokitaka?

Back
Top Bottom