Ukifuatilia siasa za upinzani za nchi hii utaona NCCR Mageuzi ilianza kama chama mahiri cha upinzani Tanzania kikapotea katika ramani kisha CUF ikafuatia kama chama kikuu cha upinzani nacho kikapotea katika ramani ikafuatia CHADEMA ambayo imekuwa chama kikuu cha upinzani kwa karibia miaka 15...
Andiko langu litakua fupi sana, ni imani yangu hamjambo wana JF.
Husika na somo tajwa hapo juu chama cha Chauma ndani ya siku chache kinaweza kwenda kuwa chama kikuu cha upinzani .
Hii itaenda kuwa kama ACT ilivyokuzwa na CUF .
Nahisi ujinga unaofanywa na kundi ALFA NA OMEGA ukiongozwa na...
Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!!Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return….
Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi kubali upate hasara!!Show moja ya CC EM...
Wanabodi,
Makala yangu kwenye Nipashe ya Jumaoili ya Leo。
Leo Tarehe 12 January 2025, imedondokea siku ile ile ya Januari 12, 1964, ilikuwa ni siku ya Jumapili. Leo Tanzania inaadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wakati Wazanzibari wengi wanashereheka kuyapongeza Mapinduzi...
Magufuli alikuwa na nafasi nzuri sana ya kuweza kuua upinzani lakini akatumia nguvu ndio maana yake akashindwa.
Samia kaingia kwenye mfumo katika kipindi ambacho upinzani/wapinzani wameshakuwa sugu . Kipindi ambacho wapinzani waliishiwa hofu
Katumia akili kidogo tu anakaribia kuummaliza...
Happy new year .
Leo napenda kutoa ushauri mdogo Kwa vyama vya siasa hasa Chadema ambao wamekuwa wakipambana na kujaribu kuingia madarakani.
Katika siasa kinachohitajika zaidi sio Good plan pekee bali na good strategies .
Mbinu nzuri na mipango mizuri , kila uchaguzi huwa nafatilia na...
Wanachama Wawili wa Chama cha Wananchi CUF wa Kijiji cha Mabama Wilayani Uyui mkoa wa Tabora Husseni Hammis Kwabi Aliyekuwa Mjumbe mkutano mkuu CUF Wilaya Uyui na Mashaka Said Lintu Aliyekuwa Mjumbe kamati tendaji, Mkurugenzi wa Fedha na Meneja Kampeni wa Chama cha CUF Wilayani Uyui wametimkia...
Fouintain gate ni singida big stars ya mwigulu nchemba doto ya singida black stars hili nalo ni tawi jingine la yanga wala hawezi pata upinzani ni maelekezo na simu moja kutoka kwa mwenye timu hivyo ni yanga kijizolea point na kocha kupanga kikosi cha wachezaji wa akiba tutegemee magoli ya...
👉🏾Katika ulimwengu wa siasa, ambapo nguvu za madaraka mara nyingi hujificha nyuma ya pazia la kusadikika na wanaharakati wanajitokeza kama nyota za mwangaza katika giza la mang’amung’amu. Wakiwa na dhamira isiyoyumbishwa, wanapambana na vikwazo vya kisiasa, kiuchumi, na kijamii, wakijitolea kwa...
Ukikaa na Watanzania utagundua ni watu waoga sana, ni watu wanao taka wasemewe yaani watetewe wakiwa wamekaa raha mustarehe.
Watanzania wanataka wapiganiwe sio watoke front line hapana wapiganiwe wao waki wamelala au wako kwenye keybord.
Ni Tanzania ndio wageni wanakuja kutunyanyasa ndani ya...
Habari za mapumziko mabibi na mabwana.
Jambo moja nataka watanzania wafahamu ni kwamba hii CHADEMA ya sasa inayoongozwa na FAM imechokwa na watawala hivyo watawala wapo Kazini kubrand Chama cha ACT Wazalendo kuwa Chama kikuu cha upinzanzani.
Najua mtauliza kwa namna gani watawala wanataka ACT...
Watu wanao taka Lisu awe Kiongozi ni kwa kutaka awaandamaie wao wenyewe wakiwa wamekaa kwenye Tv.
Kenya kinacho wafabya wakina Raila Odinga na wengineo watambe ni Raia wa Kenya.
Wakenya hata usiku wa manane ukwaamusha ukawaambia tuingie Barabarani wanaingia. Mikutano ya hadhara Kenya haihitaji...
Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na maswali ya waandishi wa habari aliyoyajibu leo ni masterclass ya siasa za upinzani katika nchi yetu. Kuongoza upinzani sio oya oya kama wengi wanavyodhani, kunahitaji utulivu akili, uvumilivu, maturity na busara kubwa sana.
Baada ya...
Mbowe ili uendelee kuwa Greatest of all time , usigombee Cheo chochote hapo Chadema.
Taifa litakukumbuka Kwa Mambo mengi.
Linda heshima yako usikubali kudanganyika .
Umri wako
Heshima yako
Financial status
Haya mambo yote yapo vizuri Sana kwako jaribu kuruhusu akili Mpya kuiongoza Chadema...
Kuna wavaa magwanda wa miaka mingi sana lakini ndani ni wa kijani na wanafanya kazi kwa faida ya kijani
Je kijani halisi na kijana wavaa magwanda wataruhusu TL awe Mwenyekiti?
Je tumshauri au nini tunaweza fanya nini wapenda mabadiliko?
Kwa mazingira ya sasa na Katiba yake Upinzani kushinda Urais ni ngumu sana ! Na wanalijua Hilo,
Ila utashangaa kwanini baadhi wanakomalia madarakani?
Faida za kuwa mwenyekiti wa Chama cha Upinzani Tanzania ni Kama ifuatavyo
1. Ruzuku kwa vyama vya upinzani ambazo haziwi audited
2. Unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.