upinzani

  1. britanicca

    Ipo siku mtakuja kunielewa kuwa CHADEMA sio chama halisi cha upinzani na top layer ya viongozi wa upinzani ni wa kwetu CCM

    PENGINE LISSU AMESHITUKIA HILO LIMCHEZO KONGWE NA ATATAKA SASA KUKIFANYA KIWE CHA UPINZANI HALISI CDM walioganda na Mbowe na kuona Lissu kugombea ni kama usaliti wajitafakari sana uelewa wao wa demokrasia ya kweli na kama wapo kwenye kundi la wadai katiba Mpya ya Tanzania basi Wakumbuke Kuwa...
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Labda miaka 40 mbele ndio upinzani wanaweza kupata mpenyo wa kuchukua Dola kama ilivyotaka kutokea 2015

    Wengine hapa nchini hatuna majina lakini tuna macho ya rohoni (third eye) . Tangu nipate akili timamu za kiutu uzima na kujitegemea Mimi sijawahi kuwa mdau wa CCM. Nina kadi ya CCM na CHADEMA ndani. Ya CHADEMA niliikata mwenyewe 2015 na CCM nimeletewa tu mwaka huu. Kwa ufupi Mimi sina chama...
  3. Bob Manson

    Pre GE2025 Upepo wa kisiasa unavuma upinzani, je hii ni ishara njema kwa chama tawala kuelekea 2025?

    Ukweli ni kwamba kwa sasa upepo wa siasa unavuma CHADEMA, macho na masikio ya wengi yameelekea huko. Chama tawala ni kama wamesahaulika kwa muda, je hii ni ishara njema kwao kuelekea 2025? Nini sababu ya chama tawala kupoteza ushawishi katika kipindi hiki kifupi? Je ni mbinu hafifu za kisiasa...
  4. Richard

    Hatimaye Ushauri wangu kuhusu upinzani kujitambua umesikika. Tundu Lissu ndiye kiongozi sahihi wa upinzani. Vyombo vya usalama vimuache afanye siasa

    Bila kupiga chenga naingia kwenye mada na leo nazungumzia kujitambua kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA. Mara kadhaa nimekuwa hapa JF nikiuponda upinzani khasa CHADEMA kwamba wapo kuisindikiza CCM kwenye siasa tangia mwaka 1992 upinzani ulipozaliwa rasmi kwa maana ya vyama vingi vya siasa...
  5. Nehemia Kilave

    Nikisema Tundu Lissu, Mbatia na Slaa waunganishe nguvu pale NCCR MAGEUZI tupate Chama makini na imara nitakuwa nimekosea?

    Habari jf , baada ya mwaka 2022 Mbatia kusimamishwa NCCR MAGEUZI , May 2024 mahakama ilimsafisha na kuamuru Selasini amlipe milioni 80 Mbatia kwa kumchafua . Vivyo hivyo kwa Dr slaa , mazingira ya kuondoka kwake CHADEMA yaligubikwa na sintofahamu nyingi sana . Tundu lissu baada ya kutangaza...
  6. R

    LGE2024 Ni furaha mtaa ninaoishi kuongozwa na chama Cha upinzani

    Hellow!! Leo mtaani kulikuwa na shamrashamra za kutosha wakati Mwenyekiti wa mtaa Mteule katika mtaa ninaoishi alipoitisha kikao kuwashukuru wananchi Kwa kumchagua. Sasa umati uliojitokeza ndio Hasa umenipa kufurahi maana wananchi wameitika Kweli Kweli Kwa kuacha KAZI zao kumpokea kiongozi...
  7. Kididimo

    Nakubali Tundu Lissu awe Mwenyekiti na Mgombea Urais wa kambi yote ya Upinzani. Anza na kazi hii. Rudisha kundini kina Mdee na Wenzake.

    Ukweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
  8. S

    imekuaje ngome ya upinzani imenyoosha mikono

    kwa Tanzania kuna jamii ya watu X hawa jamaa walikua ni wapenda mabadiliko since day one reflection yake ni kweli kwenye uchumi wao binafsi somehow ndo wanaongoza /wapo vizuri. cha kushangaza miaka ya hivi karibuni ni kama wame surrender na kuunga mkono juhudi za CCM . nilitamini sana...
  9. BLACK MOVEMENT

    Shida ya Nchi hii sio vyama vya upinzania wala viongozi wa upinzani, shida ni Watanzania hatuna Spirt ya mapambano.

    Bongo madhaifu yetu tunataka kuyaficha au kutupia vyama vya upinzani na viongozi wao kwamba ndio sababu ya upinzani kulegalega. Hii sio kweli hata siku 1. Ukiiangalia Kenya utagundua mafanikio yao hayajatokana na upinzani bali spirti binafisi ya Wakenya. Wakenya wana personer spirt ya...
  10. U

    Uzi maalumu wa kuweka nukuu za muhimu za kukumbukwa za Viongozi wakuu wa vyama vya upinzani hapa Afrika Mashariki

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Karibuni tupeane Raila Odinga: "Young people now begin the day checking the phone battery and data bundles. Something to wear, something to eat and a place to sleep come much later. Battery, bundles and the phone are the new basic needs"...
  11. Tlaatlaah

    Aikaeli Mbowe kaonesha chuki dhidi ya alivyoviita vyama 14 vya siasa

    Friends, ladies and gentlemen. Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu? Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa. Kitendo cha...
  12. Waufukweni

    Pre GE2025 Mchungaji Msigwa: CHADEMA kimepoteza mvuto, hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani

    Akizungumza na wanahabari Disemba 09, 2024; Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa adai kuwa CHADEMA ni Chama ambacho kimepoteza mvuto hivyo hakistahili tena kujiita Chama kikuu cha upinzani. "Wamepoteza dira, wamepoteza misingi ya chama chao, wamepoteza mvuto na kujiita chama cha upinzani kikuu...
  13. G

    Jeshi la Israeli limechukua udhibiti wa kilele cha Mlima Hermoni upande wa Syria bila pingamizi, eneo la kimkakati linalotazama Lebanon na Syria

    Ni eneo la kimakati lililowaumiza Israel vichwa kwa muda mrefu, kilele cha mlima Hermon kiliwapa advantage kubwa Syria na Hezbollah kuichunguza na kuishambulia Israel. Israel imetwaa eneo hili bila pingamizi katika kile kinachodhaniwa "hakuna kitu cha Bure", Israel waliweza kutoa msaada mkubwa...
  14. Mindyou

    Rais wa zamani na kiongozi wa chama cha upinzani ashinda kiti cha Urais Ghana

    Wakuu, Katika tukio la kihistoria la uchaguzi mkuu wa Ghana, John Mahama, Rais wa zamani na kiongozi wa chama cha upinzani cha National Democratic Congress (NDC), amerejea madarakani baada ya kushinda uchaguzi uliofanyika Jumamosi, Disemba 7, 2024. Mahama aliibuka mshindi dhidi ya Makamu wa...
  15. Nehemia Kilave

    Pre GE2025 Kama sio Tundu Lissu ni Mwanasiasa yupi unadhani anaushawishi kuwakilisha Muungano wa Vyama vya Upinzani 2025?

    Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua. Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
  16. GoldDhahabu

    Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni ni nani?

    Sifahamu mengi kuhusiana na bunge la sasa! 1. Nani kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni? 2. Nani mnadhimu wa kambi ya upinzani? 3. Kuna mawaziri vivuli katika bunge la sasa? Wamepatikanaje?
  17. S

    Lini CCM watatambua kuwa na upinzani imara nchini, Bungeni na katika serikali za mitaa, ndio chachu itakayoleta kasi ya maendeleo ya Tanzania?

    Kuna kufikiri ambako nakuona hakupo sawa ndani ya CCM, kuanzia raisi Samia kama mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Spika wa Bunge, mawaziri, wakuu wa mikoa nk, yaani uongozi wote wa nchi ulio chini ya chama tawala cha CCM. Hivi ni lini watarudiwa na akili na kutambua kwamba kuwa na upinzani...
  18. The Sunk Cost Fallacy 2

    LGE2024 Jaji Warioba: Wapinzani Waliniambia Wangeweza Kupata Ushindi Kwa 25% tu

    Swali. Kama hivi ndivyo,Kwa nini CCM mnakuwa wadogo wa madaraka wakati kiuhalisia Wapinzani hawana uwezo wa kushindana na kushinda? My Take Ni vyema CCM ikajifunza Namibia sio lazima ushinde Kila pointi ndio uhasabiwe umeshinda. Wapinzani wakishinda watangazwe Ili kuepusha chuki na sintofahamu...
  19. Abdull Kazi

    Pre GE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

    Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi. Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu ==== UPDATE JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na...
  20. DR Mambo Jambo

    LGE2024 Je, Vyama Vya Upinzani vinataka Kuungana pamoja Kuunda Umoja Unaitwa UDF (United Democratic Fronts)?

    Mliweswee! Mianyeyeee! Nawasalimu! Kama Mtakumbuka Miaka Kadhaa Nyuma Vyama Vya Upinzani Viliwahi Kujiunga Kipindi cha Bunge La katiba na Kutumia Muungano Huo kwenye Uchaguzi wa Mwaka 2015, Kwa Umoja uliokuwa Unaitwa UKAWA (Umoja wa Katiba ya Wananchi).. Na Kusimamisha Mgombea wa Urais...
Back
Top Bottom