upinzani

  1. T

    LGE2024 ACT-Wazalendo: Waliowaengua wagombea wa upinzani wachukuliwe hatua

    Chama cha ACTwazalendo kimetoa wito kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, kusimamia maelekezo yake kuhusu rufani za wagombea ili kuhakikisha kuwa wagombea wa chama hicho waliotenguliwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji...
  2. K

    CCM wanataka kudanganya upinzani na serikali ya kitaifa

    Upinzani ni lazima waelewe huwezi kuwa na serikali ya kitaifa bila katiba kufanyiwa mabadiliko na hawa CCM hawatafanya mabadiliko. Yaani chama ambacho kinaengua wanakijiji mnafikiri watawapa kazi serikalini!. Habari za ndani ni kwamba wameanza kuongea na upinzani eti CCM na upinzani waunde...
  3. mwanamwana

    LGE2024 Kubenea: Hakuna uchaguzi, kuna uchafuzi. Vyama kuendelea kushiriki ni kuhalalisha uhuni, madhara yake yataonekana 2025

    Kupitia andiko hilo la leo, Jumanne Novemba 12.2024 Kubenea ambaye ni mwanahabari nguli nchini na Mkurugenzi wa kampuni ya habari ya Mwanahalisi amedai kuwa kitendo cha vyama vya upinzani nchini kuendelea kushiriki uchaguzi huo ni sawa na kuhalalisha 'uhuni' unaoendelea, na hivyo kutahadharisha...
  4. Mtoa Taarifa

    Gachagua adaiwa kuanza mazungumzo ya kuungana na Upinzani ili kupambana na Ruto mwaka 2027, asema Gen Z ndio silaha yao

    Kalonzo and Gachagua’s camps are reportedly meeting in secret to devise a formula to defeat Ruto in 2027. For Gachagua, winning a duel with Ruto would be sweet revenge against the President. Wiper Leader Kalonzo Musyoka and Deputy President Rigathi Gachagua. FILE A political marriage between...
  5. L

    LGE2024 Wagombea wengi wanaowekwa na upinzani ni makanjanja watupu, hawawezi kusaidia kuleta maendeleo ya nchi hii

    Zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa linaendelea na sasa hivi liko hatua ya uwasilishaji wa pingamizi, nimeona malalamiko mengi sana kutoka kwa vyama vyote vya siasa nchini ikiwemo Chama cha Mapinduzi.CCM imelalamika kule Arusha kuwa majina ya wagombea wao 9 yamekatwa, Chadema wamelalamika...
  6. Tlaatlaah

    Uvuguvugu wa siasa za upinzani nchini umewasababishia mawenge katika kila wanalofanya

    Hawaaminiki tena, hawaeleweki kabisa kwa wananchi, wamekosa na kupoteza uelekeo, ushawishi wa kisera na mipango mikakati kuelekea uchaguzi wa serikali za mtaa. Kanuni, sheria na katiba viko wazi kabisa kuhusu uchaguzi huu, lakini wanalilia hisani na kutegemea huruma za wananchi. Walianza kusita...
  7. K

    Hamasa kubwa kwa wananchi kujitokeza kupiga kura sanjari na zoezi la kuwaengua wagombea wa upinzani kwa fitina Je CCM inataka kuwaminisha nini Wadau

    Nimeshangazwa na hii style ya hiki chama Wanahamasisha sana watu kupiga kura Hali inayowafanya tuwaone kuwa wanataka kushindanishwa kwenye sanduku la kura Lakini ajabu ni kuwa wanawaengua washindani wao Tena kwa dhuluma tuu Sasa mie najiuliza na jibu nalitaka Hivi CCM wanataka...
  8. M

    Naona dhahiri vyama vingine vya upinzani vimetendewa haki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Tanzania tuna vyama vya siasa takribani 18 kama sijakosea. Vyama ambavyo vimekua vikilalamika tangu wakati wa uandikishaji wapiga kura nawaona CHADEMA, CUF NA ACT. Hii inadhihirisha kwamba wale wala ubwabwa na wenzake wamesimamisha wagombea na hawajakutana na changamoto yoyote. Na inasemekana...
  9. Nehemia Kilave

    Pre GE2025 Uchaguzi Serikali za mitaa 2024 na mkuu 2025 , CHADEMA na upinzani kwa ujumla hatujajipanga

    .nimepita mitaa mingi wananchi wanawaongelea na kuwajua wagombea wa CCM tu .mitaa mingi haina ofisi za vyama vya upinzani . CHADEMA tunafocus mambo hasi kama wizi ,wagombea kutokuwepo-wagombea ambao hata wananchi hatuwajui kuelekea uchaguzi baada ya kujikita katika zoezi zima . .Kwa nchi...
  10. JanguKamaJangu

    Tundu Lissu: Upinzani tumechanganya sana Watu, tunahitaji kiongozi ambaye akisema neno anaaminika

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akihojiwa na Kituo cha NTV cha Kenya amesema “Upinzani unahitaji kuwa na Uongozi wenye maono makubwa na yasiyokuwa na mawenge tofauti na ilivyokuwa hapo Katikati.” Aidha, Lissu amezungumza kuhusu nafasi ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA baada...
  11. B

    Israel kwafukuta. Natenyahu akabiliwa na upinzani kila kona!

    Haya ndiyo yanayomsibu Natenyahu huko Israel. Zipo gharama za kulipa kwa kutokuwasikiliza wananchi ambapo madaraka ni dhamana tu. Wenye nchi wananchi. Mara zote wasio busara hukumbuka wakiwa wamekwisha chelewa mno!
  12. Mwamuzi wa Tanzania

    LGE2024 Ikiwa CHADEMA au chama chochote cha upinzani kitapata mtaa au kijiji kwenye uchaguzi huu nipigwe ban milele

    CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake...
  13. S

    LGE2024 Tundu Lissu mbinafsi, hajajiandikisha kupiga kura awapigie wengine lakini 2025 atataka watu wampigie kura

    Tundu Lissu mbinafsi hajajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa awapigie wengine waliogombea lakini 2025 atataka watu wampigie kura Hii sio sawa. Ukitaka kupigiwa kura pia wapigie kura wengine. Kura yake muhimu yaweza badili matokeo Sababa kagoma 2025 na yeye anyimwe kura ndio...
  14. T

    Ni nini Siri ya wabunge wa upinzani haohao kudumu kwenye majimbo kwa miaka.?

    Tukianza na Sugu Lema Lisu Zito Mbowe na kama msigwa asingetoka na mdee kujichanganya basi walikuwa wanarudi vilevile. Nilitegemea kuona sura mpya baada ya miaka takribani 15 lakini hakuna dalili yoyote bado zitarudi sura hizohizo.
  15. Lady Whistledown

    Malawi: Kiongozi wa Upinzani ashtakiwa kwa Njama za Mauaji ya Rais Chakwera

    Patricia Kaliati (57) Mwanasiasa wa ngazi ya juu wa Upinzani na Katibu Mkuu wa chama cha UTM, amekamatwa na kushtakiwa kwa tuhuma za kupanga njama za kumuua Rais Lazarus Chakwera, huku Wanasiasa wengine wa upinzani wakidai kuwa mashtaka hayo yana msukumo wa Kisiasa. Kaliati, alifikishwa...
  16. K

    Vyama vya upinzani mnapaswa kujilaumu kwa wananchi kujiandikisha daftari badala ya kutumia kadi za kura

    Zoezi hili limekuwa la AIBU kubwa kwa nchi inayoongozwa kwa sheria, taratibu na kanuni. Iweje marehemu, watoto wenye umri wa chini ya miaka 18, walioachana na waume zao na hawapo kwenye eneo hilo mfano Wilaya ya Tarime waandikishwe?. Mimi niliitwa na CHAMA fulani kuwa niorodheshwe lakini...
  17. Dalton elijah

    Uganda Yawafunga Wanachama wa Chama Cha Upinzani Kwa ‘Uhaini’

    Mahakama ya kijeshi nchini Uganda siku ya Jumatano iliwahukumu wanachama 16 wa chama cha upinzani kifungo cha miaka mitano jela kwa kupatikana na vilipuzi kinyume cha sheria na mashtaka ya “uhaini”, wakili wao alisema. Timu ya utetezi inazingatia kukata rufaa, ikisema washtakiwa walikuwa...
  18. kipara kipya

    Viongozi wa upinzani wapewe ulinzi wa Polisi saa 24

    Amemkuta mwanamke kituoni, akalipa nauli ya anakoshuka ,nae akashuka, Akampigia boda boda, wakati anamsubiri kijana wa boda boda. Akaja mtu akamgusa bega akasema upo chini ya ulinzi akatokea yule mwanamke akamfunga pingu, gari likaenda wakawa wanapumzika wakanunua chips. Wakamuweka kwenye mti...
  19. JanguKamaJangu

    Viongozi wawili wa upinzani wauawa kwa risasi Msumbiji

    Taarifa ya Chama cha Podemos imeeleza kabla ya mauaji hayo, wauaji walifuatilia gari la Dias na Guambe kwa muda kisha kuwashambulia wahusika kwa risasi katika Mji wa Maputo MSUMBIJI: Watu wenye silaha wamesababisha vifo vya Wanasiasa wawili wa Chama cha Upinzani ambao ni Wakili Elvino Dias...
  20. Torra Siabba

    LGE2024 Kauli za kuupoteza Upinzani Nchini zinavyopoteza Wananchi kujiandikisha kupiga kura Tabora

    Wana JF hebu tujadili hili jambo la kujiandikisha maana naona kama limedoda kupita kiasi maana watu ni kama wamesusa hivi kujiandikisha Zimebaki siku mbili tuuu kabla ya kufungwa kwa zoezi la uandikishaji kwa wakazi kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa. Lakini juzi hapa Tabora nilienda...
Back
Top Bottom