===
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) Tanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika hotuba yake Mkoani Mara yalikofanyika maazimisho ya miaka 45 ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) kitaifa,
Pamoja na mambo mengine Rais Samia Suluhu Hassan amekiri CCM...
Hivi huu Mwamba Mwamakula kanisa lake kwa hapa Dar lipogo wapi na ibada ni saa ngapi?Maana anaonekana zaidi kwenye matukio na mihadhara ya siasa ya vyama upinzani kuliko Kanisani.
Yaani kuna watu Mwamakula wakimuona tu,kinachowajia kichwani ni Siasa za upinzani,wala si neno la Mungu.
Kwa mfano...
Police wana uwezo wa kudetect uvunjifu wa amani iwapo vyama vya Upinzani wanataka kuitisha mikutano lakini mikusanyiko ya CCM na kwenye masoko hawawezi.
Miaka ya hivi karibuni masoko yamekuwa yakiungua mara kwa mara mfano Mwanjelwa Mbeya, Kariakoo, Karume n.k, lakini hutakuta wakitoa...
Ukisha kuwa na fikra mbadala nchini mwetu basi utachukiwa sana na wakalia kiti cha enzi na vibaraka wao.
Utafanyiwa fitina, manyanyaso, dhihaka na ubaya wa kila aina ndiyo maana kila mtawala wa CCM akingia madalakani chakwanza huanza ku-dill na Wapinzani.
Ona sasa Hoja ya KATIBA MPYA iliyo...
Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani.
Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa...
Serikali ya Ethiopia imesema itawaachia Viongozi kadhaa wa Upinzani, ikiwa ni jitihada za kuleta maridhiano ya kitaifa na kuhamasisha amani.
Imeelezwa, Viongozi wa Tigrayan People's Liberation Front (TPLF) watakuwa miongoni mwa waliopata Msamaha huo. Vikosi vya Serikali vimekuwa vikipigana na...
Kwanza nianze na chama tawala CCM, kwa hali ilivyo hadi sasa si shwari ndani ya chama cha CCM, kuna mpasuko mkubwa ,mpasuko huu umesababishwa na kutofautiana kiitikadi na misimamo. Kundi la kwanza ni lile lililokuwa kinyume na JPM, hili kundi lilikuwa halikubaliani na sera ya kujitegemea ya JPM...
Maisha hayatabiriki. Maisha yana mambo mengi ya ajabu na yenye kutoa majibu.
Maisha yanakwenda kasi sana. Job Yustino Ndugai, Mbunge wa Kongwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yamemfika.
Yamemkuta na amefikishwa kwenye ukuta. 'Ameropoka'; akajitetea, akaomba radhi lakini...
Wadau vipi ?
Ndugai akitangaza kujiunga na Chama kikuu cha upinzani mtampa tiketi ya kugombea Uraisi hapo kama ikifika 2025,katika uchaguzi Mkuu?
Bora ajiunge na Chadema, kwani kwa 2025 watakuwa hawana mgombea mazubuti atakae weza kupambana na Samia kama CCM watampitisha Samia kugombea...
Nimemsikiliza kwa makini Rais Samia Suluhu Hassan, akimpa "za uso" Spika Ndugai, kuhusu kile alichotufunulia ni kuwa ni mbio za Urais wa 2025, angalau kimebatizwa jina na hao mahasimu wake kuwa ni deni la Taifa linalohatarisha usalama wa nchi yetu kupigwa mnada.
Hoja pekee na ya nguvu...
Kwasababu upinzani haupo bungeni spika amejibadilisha na kuwa mpinzani fake. Tatizo lake wale wabunge wake wa upinzani hata yeye hawamuungi mkono kwasababu hawana mapenzi naye zaidi ya pesa wanayopata.
Spika huyu hana support ya wasomi baada ya kumfitini Prof Assad, upinzani baada ya kumnyima...
Wakati ule Dk Slaa alikuwa vizuri na sisi tulikubalika na ilikuwa lazima tukate Dola maana Ccm ilikuwa haikubaliki kabisa.
Kwa namna ya njaa ya siasa yake Zitto alitumika na Ccm kuivuruga Chadema ili CCM izidi kukamata dola.
My Take: Huyu mnafiki anapaswa kupigwa mawe hadharani. Kibaraka wa Ccm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.