upinzani

  1. Getrude Mollel

    Tanzania hakuna upinzani, vyama vyote ni CCM

    Ukweli sio kama ni mbaya au mchungu kama wasemavyo wahenga, ila uchungu na ubaya wake huja kulingana na maandalizi ya kuupokea. Ukitayarisha akili yako kupokea ukweli wakati wowote wala haitokuwia ugumu kuukubali na kuendelea na maisha yako. Tatizo ni pale tu ukweli unapokuja kisha hukuandaa...
  2. sky soldier

    Mwinyi alileta upinzani uliofutwa, Samia anaenda kuileta katiba mpya, Kwa hili inabidi niweke hisia zangu pembeni kwa wazanzibari

    Yes, mimi kiukweli ni mmoja wa watu ambae huu muungano sijawahi kuupenda hata kidogo hasa pale ninapoona uongozi wa bara tunachangiana na wazanzibar lakini huko kwao ni wao wenyewe wanajiongoza, huwa inaniuma mno. Ila kuna kitu nimetafakari hapa juu ya mchango wa hawa wenzetu wanaposhika...
  3. K

    Kwanini Ngorongoro?

    Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika...
  4. M

    Hivi hawa Act wazalendo wana nia thabiti ya kuimarisha upinzani? Au ndio wanatumika kudidimiza ? Kila siku purukushani zisizoeleweka.

    Mara hawagati kwanza katiba mpya. Mara wanataka tume kwanza mara wanataka vyote
  5. CM 1774858

    Huenda huyu akawa ni mtu hatari Zaidi kwa Upinzani wa Tanzania

    Aina ya Siasa anayofanya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka ni kete muhimu sana kwa CCM na anguko la Upinzani Tanzania ==== HEBU ANGALIA SHAKA AKISHIRIKI NA WANAWAKE WA MTWARA WALIOMPA TUZO MAALUMU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Wanawake mkoani Mtwara wamemkabidhi tuzo...
  6. CM 1774858

    Huenda huyu akawa ni mtu hatari Zaidi kwa Upinzani Wa Tanzania

    Aina ya Siasa anayofanya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka ni kete muhimu sana kwa CCM na anguko la Upinzani Tanzania, ==== HEBU ANGELIA SHAKA AKISHIRIKI NA WANAWAKE WA MTWARA WALIOMPA TUZO MAALUMU RAIS SAMIA. Wanawake mkoani Mtwara wamemkabidhi tuzo maalumu Rais...
  7. B

    Upinzani wakimtumia kada mwenye mvuto kutoka CCM, njia ya kuingia Ikulu itakuwa rahisi kwao

    Ukweli ni kwamba Watanzania wengi wamekichoka Chama cha Mapinduzi, lakini ni ukweli pia nje ya Chama cha Mapinduzi hakuna chama mbadala, kwa sasa upepo umebadilika, baada ya kifo cha Magufuli kuna kundi kubwa la wanyonge ambao kwa wingi wao walikuwa ni wafuasi wa mwenda zake, kwa sasa hili kundi...
  8. S

    Vyama vya upinzani vimekufa, vimelala au vinasubiri Uchaguzi Mkuu?

    Vyama vya upinzani vimekufa au vimelala au vinasubiri uchaguzi mkuu utangazwe? Ndio wazuke na kudai tume huru na Katiba mpya, ile kasi imeenda wapi? Mwisho wa siku mtaambiwa siku hazitoshi kwani uchaguzi unakaribia. Tunahitaji muamko sio mgawanyiko katika madai husika ya Tume huru ya uchaguzi...
  9. kavulata

    Vyama vya siasa vya upinzani jifunzeni njia tofauti za kuomba maji ya kunywa na kupewa

    Unaweza kupewa glasi iliyojaa maji ya kunywa kwa njia tofauti. Unaweza kuomba au kuagiza upewe maji, unaweza kubembeleza au kufoka upatiwe maji ya kunywa ukapewa, na unaweza kuyachukuwa mwenyewe bila kuomba ukayapata. Njia zote hizi zina lengo moja tu la kupata maji glasi moja tu ukate kiu bila...
  10. GENTAMYCINE

    Sasa ni rasmi nathibitisha hakuna 'Upinzani' Tanzania bali kuna 'CCM Upinzani' tu Tanzania kwa sasa

    Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania. Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa...
  11. J

    Magufuli hayupo lakini vyama vya Upinzani vinazidi kusahaulika, sasa hawana wa kumsingizia!

    Nafuatilia kwa karibu ziara ya Katibu mkuu wa CCM Komredi Chongollo akikagua miradi mbalimbali huko Shinyanga Sijaona benders.ya Chadema.wala ACT wazalendo.kwemye kijiji chochote hii maana yake Upinzani unazidi kudorora kila uchwao Kumbe siyo kweli Magufuli alikuwa anawabana wapinzani.ila...
  12. R

    Hivi ni Demokrasia gani inayopiganiwa na vyama vya Upinzani? Sioni Chama cha kukipa Nchi

    CCM ni Chama ambacho kina misingi na utaratibu wa namna kinavyojiendesha ndio maana utaona viongozi wanaachiana madaraka kwa taratibu hizo. Utasikia mtu kapita kwa asilimia 100, bila kupingwa etc.. ni taaratibu zao na Wanachama wao wanazipenda. Huku kwetu upinzani Mtu akishaanzisha Chama au...
  13. Azizi Mussa

    Hatimae sasa hoja zote za upinzani zinajibika ‘With high confidence and logic’ ikiwemo suala la Katiba

    Ujue tatizo la hoja ni kwamba haifi hadi amma ijibiwe, au ikubalike na kufanyiwa kazi. Huo ndio uzuri au ubaya wa hoja.Hoja haifi kwa kumpiga ngumi mtoa hoja. Nyuma hapo, kuna kipindi ambapo yalikuwa yanajitokeza mambo ambayo kwa mtu mwenye busara na akili ya wastani tu, kusimama hadharani...
  14. N

    Tatizo hamtaki kukubali ukweli, Tanzania hakuna upinzani ni njaa tu zinatusumbua

    Hakuna hata mpinzani mmoja anayeweza kukaza na msimamo akipewa mlungula, Si Ajabu hata huyo mwenyekiti wa Kudumu anakula meza moja na watawala nyie mnahangaika na keyboard Nani angeamini kama Mdee angekua msaliti? Nani angeamini kama Waitara angesaliti? Kipindi cha JPM nadhani mliona...
  15. Lycaon pictus

    Vyama vya upinzani vinawezaje kuepuka kuonekana vina sura ya kidini?

    Hili suala halisemwi lakini lipo. CUF kilikuwa cha kizuri na tishio cha upinzani. Shida yake kilionekana kama kina sura ya kiislamu. CDM kukawa vizuri sana lakini kikawa kama kina sura ya kikristo. Imekuja ACT wazalendo lakini kinaonekana kama cha Zanzibar na Pwani kwa waislamu. Chama kuwa na...
  16. Lycaon pictus

    Vyama vya upinzani Tanzania vinaongozwa na madikteta

    Hawa watu ukiwaangalia bila bias utaona ni madikteta wakubwa sana. Cha kushangaza wafuasi wao hawaoni hilo kuwa ni tatizo. Moja ya sifa kuu ya udikteta ni kung'ang'ania madaraka. Cheki wanavyofanya. 1. Mrema ni mwenyekiti wa TLP toka 1999-leo. Miaka 23 2. Zitto amakuwa kiongozi wa ACT toka...
  17. CK Allan

    Mliokuwa mnafurahia wabunge wa Chama kimoja, Chadema ife, upinzani ufe ibaki CCM tu nadhani Sasa akili zimerudi

    Awamu iliyopita ilifanya Kila mbinu, kushawishi, kutishia, kuhonga n.k kuhakikisha nchi nzima inakuwa KIJANI. Na hata wale waliojaribu kukataa kuunga mkono waliona Cha mtema Kuni. Hatimaye mwaka 2020 nchi ikawa kijani na wabunge 99% wakawa wa Chama kimoja! Sasa wote tunaona Bei ya mafuta ikiwa...
  18. B

    Watumishi Mliosema upinzani wa kazi gani Tanzania natumai mmeona wabunge wa CCM wanavyowapigania Bungeni.

    Kuna mtumishi mmoja analalamika kwanini upandishaji mishahara umekuwa wa hisani ya Mhe. Rais nikamwambia akamuulize Mbunge wake aliyempeleka Bungeni. Nimemjibu hivyo Kwa sababu awali enzi ya JK alikuwa anawaona wapinzani Bungeni kama watu wasio na uchungu na nchi hii na wasiofaa kuwepo. Baada...
  19. J

    Kunani CCM, mbona Chaguzi za matawi zimepamba moto kiasi hiki? Je, huu sasa ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani?

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Cde Shaka Hamdu Shaka amejumuika pamoja na wanachama wa Tawi la CCM Buyu Pwani, Mkoa wa Magharibi, Wilaya ya Dimani, Ndg Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika uchaguzi wa kuwachagua Mwenyekiti wa shina No 4 na wajumbe wa kamati ya Uongozi...
  20. Peter Madukwa

    The Royal Tour: Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA ampongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kazi nzuri

    Aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini kupitia CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa amempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kazi uzuri na ubunifu wa Filamu maarufu ya kitalii ya THE ROYAL TOUR. Kiongozi huyo wa CHADEMA wa nyanda za juu kusini amesema kuwa inawezekana labda kuna mapungufu madogomadogo...
Back
Top Bottom