upinzani

  1. Sky Eclat

    UK: Mbunge adaiwa kuangalia ngono akiwa Bungeni

    https://www.independent.co.uk/news/uk/politics/tory-watch-porn-commons-phone-b2066545.html?amp Mbunge aliyekaa nae jirani aliona mbunge mwenzake akiangalia website ya ngono katikati ya kikao cha bunge huko Uingereza. Ofisi ya Kambi ya Upinzani imesema swala hili litachunguzwa na kamati huru ya...
  2. T

    Umoja Party kikiachana na tabia za upinzani wa sasa kitakuwa chama mbadala

    Muda mrefu hofu ya watanzania ni nani mbadala wa CCM kama CCM ikiondolewa? Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi niseme kweli nchi yetu bado haijashuhudia chama cha kuiondoa CCM hata kama CCM imechokwa sana bado wanaliona tumaini ndani ya CCM kuliko nje. Kuna tabia fulani fulani zilizokuwa...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi

    Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi. Nimekaa nimewaza juu ya mwenendo wa siasa za taifa letu. Nikirejea kwa hawa wenzetu chama tawala jinsi wanavyoenenda. Ni dhahiri inaonyesha hawana muda mrefu wataachia hili taifa mikononi mwa chama kingine. Sasa...
  4. bint white

    Wafuasi wa Hayati Magufuli wanakubalika kuliko upinzani na CCM

    Ukiachana na mihemko ya humu JF na Twitter kwa baadhi, ukweli ni kwamba kwa ground, SUKUMA GANG, wana mtaji wa watu wengi ambao ni tabaka la chini, kwa utafiti tu mdogo kati ya wananchi 10... wananchi 7 wanaamini maono na itikadi za Hayati JPM, huu ni ukweli ukitembelea wananchi kama mama...
  5. JanguKamaJangu

    Balozi wa Marekani akutana na Mbowe, asema upinzani imara ni afya ya demokrasia

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald J. Wright, leo Aprili 11, 2022 amepost picha akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe kisha akaandika: “Ni jambo zuri kukutana na Freeman Mbowe asubuhi ya leo. Upinzani mahiri wa kisiasa ni jambo jema kwa afya ya...
  6. F

    Tetesi: Luhanga Mpina kuhamia upinzani 2025. Lipo lengo maalumu linapangwa

    Habari zenu wadau wa JF siasa. Hali ni tete nchini, ndivyo unavyoweza kusema. Amini usiamini, Mbunge wa Kisesa Mh Luhanga Mpina atagombea Urais kupitia chama Kikongwe Cha upinzani 2025 Mpango na mikakati inasukwa kwa ustadi wa Hali ya juu na huenda mwezi June 2025 uanachama wake ndani ya...
  7. J

    Huu Mfumo wa Vyama Vingi ulitengenezwa na CCM kukidhi mahitaji ya wale Wananchi 20%. Ni mfumo uliozuia Rais kutoka Upinzani

    Ikumbukwe ni 20% tu ya wananchi ndio waliutaka mfumo wa vyama vingi huku 80% wakitaka CCM iongoze milele. Hakuna utafiti wowote umefanyika kuonyesha mafanikio ya mfumo huu ndio maana 2020 wananchi kwa kauli moja waliamua kuichagua CCM kwa 98% Kimaandishi Tanzania tumo kwenye mfumo wa vyama...
  8. M

    Taifa letu lingekuwa upinzani wa kweli CCM ingeg'olewa madarakani kiurahisi sana

    Vyama vya upinzani vilivyopo ni maswahiba wa CCM na hawana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani. Wananchi wameichoka CCM na wanataka mabadiliko. CCM ilishawadharau wananchi na kuwaona wajinga. Lakini wananchi walishabumburuka. Hakuna seriousness wa kupata Katiba Mpya itayozaa Tume Huru ya...
  9. kavulata

    Vyama vya upinzani mwacheni Rais Samia 2025 apite bila kupingwa ili awanyooshe mapito yenu 2030

    Kwa namna tume ya uchaguzi, Katiba na kanuni za uchaguzi zilivyo sasa hivi itakuwa kazi bure kama vyama vya upinzani vitashiriki chaguzi bila kufanyiwa mabadiliko muhimu ya kidemokrasia, ni kweli au uongo? Rais Samia ana exposure kubwa sana katika katika duru za kimataifa kuliko Rais yeyote...
  10. I

    Upinzani umezikwa rasmi Tanzania

    Ukishaona Serikali inakwambia eti kosoa kwa staha basi upinzani kwishney. Kukosoa siku siku zote hakuwezi kuwa kwa staha huo siyo ukosoaji. Ukosoaji lazimi uwe madhubuti na strong. Msitegemee tena madai ya katiba mpya maana huko ni kukosoa na kuleta vurugu ambapo Serikali imesema kosoa kwa staha!
  11. S

    Waziri Mkuu wa Sweden akataa wito wa upinzani wa kutaka Sweden ijiunge NATO, asema hilo litaleta machafuko na kuharibu amani

    Waziri Mkuu wa Sweden Magdalena Andersson amekataa wito wa upinzani wa kuitaka Sweden kufikiria jambo la kujiunga NATO. Waziri Mkuu huyo amesema kufanya maombi ya kujiunga NATO kwa sasa kutaleta taharuki zaidi ktk eneo la Europe na kuhatarisha amani zaidi. Sweden kwa mara ya mwisho ilikuwa...
  12. William Mshumbusi

    Kama bado tuna ushirikiano thabiti wa kidiplomasia na China na Urusi Basi kuwa mpinzani ni uhaini na upinzani hautakuwa huru kamwe

    Demokrasia ya kupokezana madaraka kwa wajamaa ni kitu kisichoeleweka kabisa. Ingawa kwa shinikizo za kimataifa angalau China mwaka 1980 waliweka ukomo wa urais kuwa vipindi viwili. Na Russia 1992 vilevile. Lakini anayeyapokea lazima atokee chama tawala na mtiifu kwa Rais aliyepita. Angalau...
  13. GENTAMYCINE

    Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

    1. Ni Majuha 2. Ni Wanafiki 3. Ni Waongo 4. Ni Waoga 5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi 6. Wana Uwendawazimu wasioujua 7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya...
  14. figganigga

    Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

    Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Freeman Mbowe Ikulu Mkoani Dar Es Salaam. Rais Samia amesisitiza kuwa kuna umuhimu wa kushirikiana ili kuijenga Tanzania kwa kuaminiana na kuheshimiana kwa misingi ya haki. Mhe...
  15. econonist

    Upinzani tusigeukane kwenye critical times baada ya Uchaguzi Mkuu

    Udhaifu wa vyama vya upinzani ni kugeukana kwenye critical times baada ya uchaguzi mkuu kupita. 1. Critical time ya kwanza ni 2015 baada ya kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar. Baada ya Tume ya uchaguzi Zanzibar kufuta matokeo ya uchaguzi chama Cha CUF kupitia Maalim Seif walipinga na...
  16. econonist

    Udhaifu wa upinzani baada ya Uchaguzi Mkuu

    Upinzani wa Tanzania huwa una udhaifu mmoja mkubwa hasa baada ya uchaguzi mkuu. Kugeukana na kumpa credit CCM kipindi ambacho mshikamano unahitaji. Tuchukue mifano mitatu mikubwa. 1. Mwaka 2015, baada ya uchaguzi mkuu Zanzibar matokeo ya urais na baraza la mawakilishi yalifutwa na tarehe ya...
  17. Lord OSAGYEFO

    CCM ina vyuo vya uongozi lakini viongozi wanatoka upinzani

    Wadau wote ni mashahidi CCM ina vyuo vya uongozi toka enzi ya hayati baba wa taifa. Vyuo hivyo ilikuwa ni kuandaa viongozi wa kushika nyadhifa mbalimbali kama vile u-DC n.K Siku hizi utaratibu huo haupo licha ya vyuo kuendelea kutoa wahitimu lakini hawapewi nyadhifa badala yake wanapewa...
  18. J

    Alichofanya Hayati Magufuli kwenye chaguzi za 2019 na 2020 ni udhihirisho kuwa kwenye Uchaguzi huru Upinzani wanaweza kushinda

    Nazungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 mbinu alizotumia Mwenyekiti pekee mwanasayansi kukipa chama chake ushindi kama asingezitumia CCM wangepoteana. Hivyo CCM isibweteke na kujiamini kwamba inapendwa na wananchi kwa 84% ni kweli katika uchaguzi wa kisayansi...
  19. kunta93

    Leo nimeyakumbuka maneno ya kiongozi wa Upinzani Uganda, Bobi Wine

    Mwaka 2016 Y.K Museveni alitanganzwa mshindi kwenye uchaguzi wa Raisi huku mpinzani wake Col Dkt kizza Besigye akiwa gerezani katika kipindi chote cha kuhesabu kura na utangazaji matokeo Baada Raisi Museveni kuapishwa kua raisi wa nchi hiyo na kuanza majukumu yake ndipo Col Dkt kizza besigye...
  20. Nyendo

    Ummy Mwalimu: Kuanzia sasa matibabu ya Joseph Haule(Prof. Jay) yatagharamiwa na Serikali

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu ya aliyekuwa Mbunge wa Mikumi Joseph Haule Profesa J anayetibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili hadi hapo atakaporuhusiwa kurudi nyumbani. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipofika Muhimbili leo...
Back
Top Bottom