upinzani

  1. Vugu-Vugu

    Hii Combination baina ya Mzee Kinana na Shaka ni dhahiri huu ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani Tanzania

    👇👇 Tazama siasa inayopigwa na hawa mabwana then njoo uniambie nafasi ya Upinzani iko wapi kwa sasa. 👇👇 KINANA NA SHAKA WATEMBELEA SHAMBA LA MBEGU BORA ZA MAHINDI WILAYANI MISENYI Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana ametembelea...
  2. Mwanamakunda

    Tozo hazina maumivu makali, Wanasiasa uchwara mnatafuta kiki za kisiasa, mnashugulika na Mwigulu kwajili ya speculation za 2030

    TUACHE UNAFIKI, TOZO HIZI HAZINA MAUMIVU MAKALI, WANASIASA WALIOFELI WANATAFUTA KIKI ZA KISIASA Nasoma vitimbwi vya wanasiasa waliostaafishwa siasa na wananchi mwaka 2020, wanadhani tumesahau uhuni wao, wanadhani wananchi ni wajinga. Kwa taarifa yenu enyi wanasiasa mnaokesha mitandaoni...
  3. Lady Whistledown

    Angola: Upinzani wawasilisha pingamizi la kisheria dhidi ya matokeo ya uchaguzi Mkuu

    Chama Kikuu cha upinzani UNITA, kimewasilisha pingamizi la kisheria dhidi ya matokeo ya uchaguzi Mkuu wa Agosti 24 wa wiki iliyopita na kusema kuwa Uchaguzi huo ulikuwa na dosari Chama tawala cha MPLA - ambacho kimekuwa madarakani tangu 1975 - kilitangazwa kuwa mshindi wa Uchaguzi huo kwa...
  4. kagoshima

    Mdude Nyangali ni mpinzani anayechafua taswira ya upinzani

    Watu wa aina ya Mdude Nyangali wa CHADEMA wapo sana kwenye jamii na tabia zao mara nyingi huwa zinakereketa na kujenga mtizamo hasi. Siasa za Mdude Nyangali sio za kiuanaharakati, sio za kistaarabu, sio za kushindana kwa hoja. Siasa za huyo jamaa wa CHADEMA ni za kishari, mihemko na kutukana...
  5. BARD AI

    Uchaguzi Angola: Chama Tawala chashinda, Upinzani wagomea matokeo

    Chama Tawala cha Marxist People's Movement for the Liberation of Angola (MPLA) kimepata ushindi wa 51.17% baada ya kura zote kuhesabiwa kikifuatiwa na National Union for the Total Independence of Angola (UNITA) kilichopata 43.95%. Kiongozi wa UNITA, Adalberto Costa Junior amekataa matokeo hayo...
  6. B

    Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi

    Imekuwa kawaida kusikia watanzania wakiwaita watanzania wenzao kuwa ni waoga (cowards). Maajabu ya Mussa. Kwani hao wanaowaita wenzao kuwa cowards utaifa wao si ni huu huu au wao ni walamba asali? Uhalisia wa mambo ni kuwa wanaowaita hivyo wenzao, nia yao ni kutokuwepo mstari wa mbele...
  7. Jerlamarel

    Tozo zimechukua nafasi ya upinzani

    𝕋𝕆ℤ𝕆 ℕ𝔻𝕀𝕆 ℕ𝕁𝕀𝔸 ℙ𝔼𝕂𝔼𝔼 𝕐𝔸 𝕂𝕌ℤ𝕀𝔹𝔸 𝔾𝔸ℙ𝔼 𝕃𝔸 𝕋𝔸𝕊𝕂 𝔽𝕆ℝℂ𝔼 ℤ𝔸 𝕁ℙ𝕄? 𝙽𝚊 𝚃𝚑𝚊𝚍𝚎𝚒 𝙾𝚕𝚎 𝙼𝚞𝚜𝚑𝚒. Ukiniambia niishauri Serikali yangu kuhusu Tozo nitawashauri kwa haraka kama ifuatavyo. Rais Samia Sio muumini wa task Force kama zile za Magufuli za kupambana na matajiri pamoja na wafamya Biashara kwenye...
  8. B

    Magumu yetu Viongozi wa Upinzani mkwepe lawama vipi?

    Tufike mahali tutoleane uvivu wenyewe kwa wenyewe. Tufike mahali panya wamfunge paka kengele. "Enyi viongozi wetu madarakani, mliochagua kukaa kimya na kututelekeza kondoo wenu, tokeni madarakani washike wenye kudhamiria." Ikumbukwe wavumao baharini papa lakini na wengine wapo. Imekuwa...
  9. mavya

    Vyama vya Upinzani toeni kauli juu ya tozo hizi

    Kwa sasa Taifa la Tanzania linapitia wakati mgumu sana, kila kona mjadala ni Tozo. Mpaka mda huu hakuna chama chochote ambacho kimeita media kwa ajili kukemea unyanganyi huu unaofanywa na mama Mwakatozo akishirikiana na Baba Mwakatozo. Na isitoshe haya matozo yako Bara tu Visiwani hakuna haya...
  10. OffOnline

    Je, tumfikirie Shaka kwenye nafasi ya juu? Huenda ndio kijana mwenye ushawishi zaidi Tanzania

    Wasalaam, Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje? === Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana huyu aondoke
  11. M

    Shaka: Rais Samia ametoa fursa za mikopo kwa Vijana, wanawake na walemavu wote hata kwa wale wa kambi za Upinzani

    Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka akiwa katika mwendelezo wa ziara zake kanda ya Magharibi amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari akisema " Chama cha Mapinduzi hakitatazama Itikadi katika kuwanufaisha vijana, wanawake na wenye ulemavu kutoka katika fursa mbalimbali...
  12. maganjwa

    Upinzani Tanzania Kama hauhitajiki na CCM ufutwe tu

    Wadau habari ya jioni. Mimi napata taabu sana jinsi wanavyosumbuliwa na serikali. Hakuna tume huru polisi wanasaidia kuhakikisha ccm inashinda. Haya Mambo Ni kupotezea muda na kuzeeshana bila sababu. Yaani Kwa sisi thinkers huu ni uhuni na uhalifu mkubwa. Haya Mambo siyo ya kufurahia kabisa...
  13. BARD AI

    Afrika Kusini: Upinzani kuwasilisha ombi la kutokuwa na imani na Rais Ramaphosa

    Vyama vya Upinzani nchini humo vimesema kuwa vitawasilisha ombi la kutokuwa na imani na Rais Cyril Ramaphosa kutokana na tuhuma za Utekaji Nyara na Utakatishaji Fedha. Madai hayo yametolewa na Mkuu wa zamani wa Ujasusi Arthur Fraser, ambaye amedai kuwa Rais alificha takriban Tsh. Bilioni 9.3...
  14. M

    Upinzani hapa kwetu jifunzeni kitu: Ukishindwa usitafute sababu ya kususa ambayo haipo

    Wale makamishina wanne wa tume ya uchaguzi ya kenya wametoa sababu kwa nini hawakubaliani na matokeo yaliyotangazwa na mwenyekiti wa tume yao. Raila ametumia hoja ya makamishina hao kama msingi wa kutokuyatambua matokeo yaliyotangazwa. Tuangalie kwa karibu sababu za kususia matokeo hayo: 1...
  15. L

    Utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia umedhoofisha upinzani Tanzania

    Ndugu zangu Kuna kipindi fulani ilikuwa ukisikia kuwa kesho katibu mkuu wa Chadema Mh. Dr Slaa atakuwa na mazungumzo muda fulani, ni kama nchi ilikuwa inasimama. Vyombo vyote vya habari vilikuwa vinafika hata kabla ya muda husika, kila mtanzania alikuwa anatega sikio kusikia nini kitakacho...
  16. T

    Ubunge EALA ni Vita kali CCM. Mpaka sasa ni makada 64 tayari wamevuta fomu

    Makada 64 CCM wapigana vikumbo ubunge Afrika Mashariki Wiki moja baada ya kufunguliwa kwa pazia la ubunge wa Afrika Mashariki (EALA), wanachama 64 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejitokea hadi leo Alhamisi, Agosti 4, 2022 kuomba ridhaa ya kuwania nafasi hiyo. Idadi hiyo inaashiria mchuano...
  17. CM 1774858

    Shaka Hamdu Shaka atamba CCM kuusambaratisha rasmi Upinzani mkoani Mbeya, asisitiza Kinana ni gwiji la Siasa za nje na ndani ya Tanzania

    SHAKA AMMWAGIA SIFA KINANA, ATAMBA KAZI ZA MAENDELEO KUUFUTA UPINZANI MBEYA Demokrasia ya vyama vingi nchini imekuwa na lengo la kuharakisha maendeleo kwa wananchi. Ikiwa chama kinachoongoza serikali kinaifanya kazi hiyo kwa weledi wananchi hawana haja ya kujaribu vyama vingine vya kisiasa...
  18. GENTAMYCINE

    Natafuta Watu 'Serious' niwape 'Strategies' na waunde Chama 'Strong' cha Upinzani Tanzania kwani vilivyopo sasa viko ICU vinasubiri Kufa na Kuzikwa tu

    Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi. Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na...
  19. J

    Ukweli mchungu kama UVCCM tu wanaweza kukusanya maelfu haya kwenye ngome za Upinzani hali ni mbaya zaidi 2025

    Hebu angalia kwa makini video hizi kisha ufikirie Uchaguzi ujao wa 2025 katika angle ya Upinzani kupata hata jimbo moja tu, Huyu ndio Crde Kenani Kihongosi Mkt wa UVCCM taifa huko Mkoani Geita,
  20. Superbug

    Nauliza swali NEC na Polisi kuhusu utekwaji wa wagombea wa upinzani katika chaguzi

    Naomba kuuliza hili swali ambalo huwa silielewi linashuhulikiwa vipi na sheria zetu. UTEKWAJI wa WAGOMBEA wa UPINZANI wanaoonekana Wana nguvu kuliko WAGOMBEA wa chama tawala kwanini wanatekwa na kunyanganywa fomu au hata kupigwa hii inakuwaje? Na hizi kesi zinaishaje? Kwanini wanaotekwa au...
Back
Top Bottom