upinzani

  1. Keynez

    Ni lini maandamano ya upinzani yaliruhusiwa?

    Sekeseke la kisiasa limeanza kuibuka tena baada ya mikutano ya kisiasa ya hadhara kuruhusiwa. Moja ya mambo ambayo hayaepukiki katika siasa na ambayo ni mbinu nzuri ya uhamasishaji ni maandamano ya amani. Ukiacha yale maandamano yanayoibukaga tu baada ya mkutano wa hadhara hasa kipindi cha...
  2. S

    CCM na Upinzani zingatieni amani

    Ni Msimu Wa siasa ndivyo tunavyoweza kusema, tangu mikutano ya hadhara ipigwe marufuku ni muda mrefu Sana. Lakini sasa busara imetumika kuruhusu siasa za majukwaani kuanza. Nasukumwa na uzalendo kuwaomba Wanasiasa Wa upinzani na chama tawala kuendesha siasa zenye tija na weledi ili Tanzania...
  3. F

    Nitakuwepo hapa kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM kwa lengo la upotoshaji. Wapinzani jiandaeni maana nimejipanga vya kutosha

    Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara. Historia inaonesha majukwaa ya kisiasa huwa yanatumiwa kutengeneza siasa za chuki na upotoshaji na kwa kufahamu hilo sitamani...
  4. K

    Rais Samia: Muda wa siasa za uhasama umekwisha

    Leo, Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo katika sehemu ya hotuba yake amewasisitiza vijana wa UVCCM kuachana na siasa za kuchokozana na ugomvi na hata ikitokea watakosolewa basi wajibu kwa hoja. "Zama za...
  5. Mystery

    Kwanini baadhi ya wasaidizi wa Rais Samia walimshauri asifanye maridhiano na CHADEMA?

    Kama tulivyomsikia majuzi, wakati anakutana na viongozi wa vyama vya siasa nchini huko Ikulu, Rais Samia Suluhu Hassan, alitoboa Siri kuwa haikuwa rahisi kufikia Maridhiano na chama kikuu Cha upinzani nchini Cha Chadema, Kwa kuwa pamoja na nia yake njema ya kuleta Maridhiano ya kisiasa nchini...
  6. J

    Dkt. Slaa amshutumu Magufuli kwamba zuio la mikutano ya hadhara lilikuwa batili na haramu

    Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio. Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo. Msikilizeni Dr hapa chini.
  7. Carlos The Jackal

    Mwaka 2025, Upinzani utajinyakulia viti vya kutosha Bungeni kama ilivyokuwa 2015, Endapo tu Samia atalazimisha Kusimama !!!

    Huku Kwa ground , mambo hayaendi, watu wana njaa ya Pesa, watu hawajaliwi Tena kwenye Taasisi za Umma, ongezeko kubwa la ujalifu mtaani, Viongozi wamekua na dharau zilizopitiliza, Ufisadi ukishamili. Kibaya zaidi kwenye Siasa, Makamba anawaponda Walokufa, kwamba Walokufa, Wana Roho mbaya, wao...
  8. ASIWAJU

    MWL. J. K. Nyerere kuhusu vyama vya upinzani

    Habari za saa wanachama wote natumai ni njema . Kama kichwa cha mada kisemavyo "Mwalimu nyerere kuhusu vyama vya upinzani”. Ningependa kuwa karibisha wadau wote kutoa maoni na michango huru kutokana na mazungumzo mafupi katika video hii nilio weka hapa ikumuonesha Mwalimu Julius Kambarage...
  9. M

    Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani ni nani? Nina barua yake

    Wakuu heshima kwenu! Bila kuwa chosha ninaomba kujua Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani wa Bunge letu la sasa. Nina barua ambayo inapaswa kumfikia. Ninaomba msaada wa kumfahamu niweze kumfikishia.
  10. T

    Jambo la CCM linateka attention ya nchi yote kuwa upinzani ni kupoteza muda na malengo

    Kama Kuna mtu unadhani uahitaji kuleta mabadiliko kwenye nchi hii Kwa kupitia uongozi wa kisiasa basi ufikirie kufanya hivyo kupitia CCM. Mimi si muumuni sana wa vyama ila ni muumuni wa uwezo wa mtu hivyo ninaamini kwamba mtu akiwa na uwezo mkubwa, akapata jukwaa kubwa ni rahisi sana kutekeleza...
  11. K

    Ushauri: Rais Samia kata deal mapema na upinzani kabla ya mazito kuja!

    Nilishauri haya mwaka jana lakini naona kama Raisi anachukulia ukarimu wa Mbowe vibaya na kumweka kwenye wakati mgumu kwa kukaa mwaka mzima bila kuanza mchakato wa katiba. Jaji Mutungi hakuna mtu hata mmoja anamwamini !! Raisi Samia msifanye watu watoto ! Je Mnataka katiba au mnataka kufanya...
  12. N

    Vyama vya upinzani vimekubali maendeleo hayana chama

    Wafuasi wa vyama vikuu vya upinzani nchini CHADEMA na ACT Wazalendo Mkoani Lindi wameungana na wenzao wa CCM pamoja na wananchi katika mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anaendelea ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Wafuasi hawa wanajua ya...
  13. MamaSamia2025

    Hata kikishika dola bado CHADEMA kitaendelea kuwa chama cha upinzani

    Je, CHADEMA ni CCM B? Hili ni swali nimejiuliza kwa siku kadhaa baada ya kutokea tukio la udhalilishaji huko Mara. Tukio lenyewe ni kada wa CHADEMA aitwaye Chacha Heche kumshurutisha kwa maneno ya hovyo mzee mmoja aliyekuwa akifanya kibarua kwa ndugu Chacha kwamba avue shati la CCM. Lilikuwa...
  14. B

    Upinzani haipo Katiba Mpya bila kutoleana uvivu

    Nani asiyejua umuhimu wa katiba mpya? Nani anaweza kuthubutu kujipa jukumu hilo peke yake na kuwasusa wengine kwa sababu zozote zilizokwisha pita? Misahafu inasema ni furaha kuu mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja akitubu. Hivi hata ya waungwana hatuyasikii? Nini tofauti ya ya chawa uchwara...
  15. Idugunde

    Taifa linapokuwa na chama cha upinzani kama CHADEMa ni wastage of money and resources. Wastage at full capacity.

    Wanahadaa umma kuwa wao ni strongest opposition party. Wanachangisha michango ya kila namna. Kidigital na ya kimanual. Wanakula mapato ya wananchi. Taifa lipo na matatizo lukuki. Wanaamua kulamba asali. Hawafai kabisa maana sio watetezi wa taifa letu. Haya lambeni asali sasa.
  16. S

    Mungu Fundi; Baada ya kuwanyima wapinzani majukwaa, sasa CCM ndio wanafanya kazi ya upinzani na wanaofanya mpaka 2025

    Wao waliamini wakiwazuia wapinzani kufanya mikutano ya siasa na kukutana na makundi mbalimbali ya jamii, basi wao watakuwa salama kisiasa na upinzani utakufa/utadhhofika. Hata hivyo, kwa jinsi Mungu aliyokuwa Fundi, kapundia meza/mkeka kama walivyofanya Yanga kule Tunisia hivi karibuni. na...
  17. Msanii

    Vyama vya upinzani anzieni hapa kuelekea kushika dola 2025+

    Kutokana na uhalisia wa kwamba Chama.Cha Mapinduzi kujikita kwenye siasa zenye malengo ya kuimaliza nchi ishindwe kuwa na uwezo wa kupata maendeleo ya kweli. Nimewaza sasa kutoa ushauri kwa vyama vya siasa hususani vya upinzani kuwapa mbinu za kufikia kutwaa dola kwenye chaguzi zijazo za...
  18. Carlos The Jackal

    Ni chama gani cha Upinzani kitakachoweza kuendesha vema nchi hii?

    Kama itakuja Kutokea, sio Kwa sababu Kuna Upinzani wenye wanasiasa Bora, La hashaaa!!. Itakua ni sababu Watanzania kutaka tu kuona Upinzani wataongozaje na kwa mantiki hiyo, DOLA, hautokaa kuliruhusu hili. (Upinzani wa Kusubiri vijitukio vidogodogo ndo usikike, Sahizi wanamjadili KIJANA...
  19. JanguKamaJangu

    Senegal: Kiongozi wa upinzani afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za ubakaji

    Ousmane Sonko, mwenye umri wa miaka 48, amefikishwa katika Mahakamani Jijini Dakar huku wakili wake akiitaja kesi hiyo kuwa ni njama yaSerikali na inapaswa kutupiliwa mbali. Mwanasiasa huyo aliyeshika nafasi ya tatu katika uchaguzi wa Rais Mwaka 2019, ameshaweka wazi nia yake ya kugombea Urais...
  20. peno hasegawa

    Tetesi: CCM wanaoutamani urais 2025 Wakinyimwa kugombea kutimkia upinzani na kujaza fomu za kugombea Urais

    Kuna wimbi limeanza kujinadi kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia CCM na kundi hilo linakubalika. Iwapo fomu ya kugombea Urais kupitia CCM itatolewa fomu moja ni wazi kuwa wagombea hao wataamua kuchukua fomu za kugombea urais kupitia upande wa pili. Wananchi walio wengi wamekumbwa na...
Back
Top Bottom