upinzani

  1. Matulanya Mputa

    LGE2024 Viongozi wa CCM wa Kata wakishirikiana na madiwani wao wameanza kuzunguka usiku na kutoa pesa kwa watia nia wa upinzani wajitoe

    Hii tarifa ni sahihi na si muda mrefu tutaweka majina ya Viongozi ambao wanazunguka na pikipk za Samia kwa lengo la kuwarubuni watia nia wa upinzani wajitoe. Baadhi ya maeneo wameanza kufanikiwa hasa maeneo ya vijijini. Angalizo kwa vyama vya upinzani tafuteni wagombea ambao wanajielewa...
  2. Waufukweni

    Wabunge wa upinzani wavuruga kikao Albania

    Wabunge wa kambi ya upinzani nchini Albania wamevuruga kikao cha Bunge kupinga hatua ya kufungwa Gerezani Mbunge mwenzao kwa tuhuma za kusema uwongo. Wabunge hao wamesema kufungwa kwa Ervin Salianji ni hatua iliyochochewa kisiasa na wameitisha maandamano makubwa ya kuufunga Mji Mkuu, Tirana...
  3. Doctor Mama Amon

    Rais Samia: Sijawahi Kuua "Mtu" Bali Naua "Sisimizi" Walio Chimbuko la Nguvu Hasi ya Upinzani Dhidi ya Ccm na Serikali Yake

    "Mkiambiwa kwamba Mwenyekiti wa CCM na Rais wenu Samia ni mwuaji waambie ni kweli bila hofu. Ninaua Sisimizi wenye nguvu hasi ya Upinzani dhidi ya serikali ya CCM, ninaua Sisimizi waletao umasikini, ninaua Sisimizi wenye mambo hasi ya kuturudisha nyuma kiuchumi, ninaua Sisimizi waletao giza...
  4. Nehemia Kilave

    Pre GE2025 Zitto ashauri upinzani kuungana kwenye chaguzi kuing’oa CCM

    Dar es Salaam. Kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema mbinu ya kukishinda chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji, vitongoji Novemba 27, 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025 ni vyama vya upinzani kuungana. Kutokana na hilo, mbunge huyo wa...
  5. Lady Whistledown

    Afrika Kusini: Kiongozi wa Upinzani wa Eswatini apewa Sumu

    Chama Kikuu cha Upinzani (PUDEMO) Nchini Eswatini, kimesema hali ya Afya ya Kiongozi wake, Mlungisi Makhanya inaendelea kuimarika baada ya kulishwa sumu akiwa Uhamishoni Afrika Kusini, katika jaribio la Kumuua Mlungisi Makhanya, (46) ambaye amekuwa akiishi uhamishoni nchini Afrika Kusini kwa...
  6. Ritz

    Maandamano yanahitaji watu, watu hawajajitokeza Upinzani hamna!

    Wanaukumbi. Maandamano yanahitaji watu. Watu hawajajitokeza. Swali: 1. Ni uwoga au CHADEMA haivutii Watanzania? 2. Kama ni uwoga, na people’s power hakuna bargaining power ya CHADEMA ni nini? 3. Bila ya bargaining power CHADEMA wataweza kushinikiza CCM walete mabadiliko ya MFUMO? 4. Mbowe...
  7. Gemini AI

    Venezuela: Mgombea Urais wa Upinzani asema alilazimishwa kusaini matokeo ya Kushindwa dhidi ya Maduro

    VENEZUELA: Aliyekuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Julai 20124, Edmundo González ameendelea kusisitiza kuwa alimshinda Raia Nicolàs Maduro lakini Mamlaka ziliamua kubadili matokeo yaliyoamriwa na Wananchi Pia, Gonzàlez amedai alifuatwa na Watu wa Maduro na kulazimishwa kusaini matokeo...
  8. Nehemia Kilave

    Kwanini CCM na Vyama vya Upinzani havina urafiki sana na Urusi ,je tuna viongozi vibaraka wa mabeberu ?

    Urusi ndiye rafiki wa kweli wa Afrika Alipambana pamoja na Afrika kipindi cha Ukoloni Alilia pamoja na Afrika mashujaa wetu walipouawa na mabeberu Mpaka sasa bado anakwenda tofauti na mabeberu wanaponyonya Afrika Najiuliza zile nchi zilizotutawala na kutunyonya ndiyo marafiki wakubwa wa...
  9. Tlaatlaah

    Kwa siasa anazofanya Mh. Luhaga Mpina kwa sasa, ni kuwaandaa kisaikolojia wananchi wa jimbo la Kisesa kwa ajili ya chama kipya au kuhama nao upinzani

    Friends, ladies and gentlemen.. Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025... Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa...
  10. G

    CHADEMA ya Mbowe isiyokuwa na agenda maalumu na kutomaanisha wanachosema inapendeza kuwa upinzani sio Tawala mpaka ijitambue

    Naendelea kusisitiza tu hoja zangu Kwamba Cdm ya Mbowe bado haimanishi kile inachisema Walilalmika JPm kutaka kujiongezea muda wa uongozi huku Mbowe akibadilisha kipengele Cha ukomo na kumiliki Cha kisiasa Kama kampuni yake halisi Walioinga ufisadi baadae wakampa uraisi waliyemuita fisadi...
  11. L

    Imedhihirika Hakuna kiongozi wa Upinzani Mwenye uwezo wa Kufanya Mdahalo na Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi

    Ndugu zangu Watanzania, Sasa mnaweza kuelewa ni kwanini Edwin Odemba alilia na kububujikwa machozi hadharani kama mtoto mdogo pale alipoona Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ameshindwa kufika na kuhudhuria kwenye mdahalo kutokana na kutingwa na majukumu ya chama ,ambapo alikuwa anaendesha vikao vya...
  12. THE FIRST BORN

    Waandishi wa Habari mliopo humu JF haya ya kutekwa wanachama wa upinzani au wanaokosoa hamuyaoni au kukemea sio kwa Maslahi ya Taifa?

    Habari sitaki kusema mengi ila Najiuliza tu wale wanahabari ambao hua mnatuletea thread za Maslahi kwa Taifa Mara Mama ni mtu mwema umeambiwa na sauti from within je haya yanayoendelea ya wanawake kulawitiwa. wapinzani kutekwa au wakosoaji kutekwa mkiyasema sio kwamba ndio mtakua mmefanya kwa...
  13. W

    Mgombea Urais wa Upinzani Venezuela Akimbia nchini na kutafuta Hifadhi Hispania

    Mgombea urais wa upinzani, Edmundo González, amekimbia Venezuela baada ya serikali kutoa hati ya kukamatwa kwake, kufuatia upinzani kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais wa Julai 2024. Aidha Vikosi vya usalama vya Venezuela vimezingira Ubalozi wa Argentina, wakidai kuwa viongozi sita wa upinzani...
  14. Mwamuzi wa Tanzania

    Pre GE2025 Tuna upinzani dhaifu. Nilitarajia Nape Nnauye na aliyekuwa DC Longido wangefikishwa Mahakamani

    Binafsi tangu niwe mtu mzima na kuanza maisha ya kujitegemea sijawahi kuipenda CCM. Haihitaji uwe na elimu kujua kuwa CCM ni kikwazo katika ustawi wa jamii ya Watanzania. Tanzania inanuka ufukara uliokithiri. Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na...
  15. T

    Ni kwanini mpaka sasa hakuna chama cha upinzani kimetoa tamko kufuatia mambo ya Ng'umbi?

    Mimi nilitegemea hili jambo lingefungua ukurasa mpya wa hasira za kutaka mabadiliko katika mifumo yetu ya uchaguzi badala yake naona wapinzani wote wapo kimya tu shida Iko wapi!? Unajua hili jambo limeleta dharau kubwa sana kwa watanzania na nadhani kwa kuwa ushahidi uko wazi kabisa kelele za...
  16. Tlaatlaah

    Pre GE2025 Kuepuka fedheha ya kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi Mkuu ujao unamshauri kiongozi gani wa upinzani, busara imuelekeze kutokuthubutu kugombea Urais?

    ili walau kiongozi huyo abaki na heshima aliyonayo hivi sasa aliyoijenga kwa muda mrefu sana, lakini pia kuepuka kufilisika uzeeni maana uchaguzi ni gharama sana. lakini pia kuepuka kuaibisha ndugu, jamaa, marafiki na chama husika kwa kushindwa vibaya kwa fedhaha uchaguzi ujao. na zaidi sana...
  17. U

    Breaking News Kiongozi Mkuu upinzani Lebanon ataka Hezbollah wapokonywe silaha kuepusha majanga zaidi, magaidi hawezi ishinda Israel

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kutokea Lebanon Wenye nchi yao sasa wamecharuka wanataka Hezbollah wafurushwe nchini mwao na Serikali yao iwe na mamlaka kamili ya kutawala Kwa nchi yote ya Lebanon Madhara ya Hezbollah kuendesha shughuli zao ni makubwa sana hivyo ni wakati muafaka kikundi...
  18. Mganguzi

    Pre GE2025 CCM ikiweka mgombea yoyote itashinda kiti cha Urais, uchaguzi kufanyika ni kuweka ushahidi wa zoezi kwani tume ya uchaguzi na katiba vinawabeba wao

    Nimeona harakati za watu kujitangaza kwamba watagombea urais, nachoweza kuwaambia ni kwamba kwa tume hii ya uchaguzi na katiba hii iliyozeeka! CCM inahitaji tu mgombea wa aina yoyote kama ushahidi kwamba tulifanya kampeni! Lakini ni kutupotezea tu rasilimali pesa kuingiza team kufanya kampeni...
  19. comte

    Kama Viongozi wa Chama Cha Upinzani wenyewe ndo hawa akina NTOBI.. CCM kutoka Madarakani sio rahisi

    Huyu ni kiongozi wa CHADEMA anaeneza uzushi ambao sijui lengolake ni lipi NTOBI @Ntobi_ · 14h Kumekucha! Air Tanganyika
  20. Nehemia Kilave

    Pre GE2025 Kuna kila dalili uchaguzi mkuu 2025 Upinzani ukikazana unachukua, je Mwenyekiti Mbowe ataruhusu hili?

    2025 , kuna dalili nyingi sana ambazo zinaonesha kuna uwezekano wa Upinzani kuchukua dola . Kuna dalili 2025 kuna wana CCM kindaki ndaki wataihujumu CCM Kuna dalili 2025 vyombo vya dola vikawa upande wa wananchi Kuna dalili Asilimia kubwa ya wapiga kura wakawa vijana Lakini sio siri CHADEMA...
Back
Top Bottom