Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Je,
ni kwasababu Tanzania hakuna changamoto kubwa sasa ambazo zinaweza kua agenda kuu kwa vyama vya siasa hasa vya upinzani kuzisimamia?
Au ni uwezo mdogo wa viongozi wa upinzani katika kupanga, kubuni na kuibua mipango na agenda zenye mashiko ili kuwafanya kua relevant all the time kwenye medani za siasa za Tanzania?
Au ndio kwanza vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vinajitafuta kiuchumi na kwamba agenda yao kuu ni kutafuta kutafuta na kuomba omba kuchangiwa pesa kwaajili ya kuwategemeza viongozi wake na familia zao?
Au sayansi ya siasa ndani ya vyama vya upinzani imevamiwa na vibwengo waliodhani kuongoza vyama vya siasa ni kama vile kuongoza nyumba za ibada na mikutano ya injili au mihadhara?
Maana sote ni mashahidi,
upinzani Tanzania umestuck na kuparalyse kabisa. Vinasubiri na kutumia matukio mbalimbali yanayotokea nchini kusavive kisiasa na kubaki relevant katika jamii. Mathalani wanatumia zaidi matukio ya vifo vya viongozi wa umma, ajali, maonyesho ya kibishara na kilimo, matamko na porojo za jumuiya za kimataifa, maagizo ya chama tawala kwa serikali, maandalizi ya serikali sikivu ya ccm kuelekea maridhiano na mchakato wa katiba mpya n.k.
Unadhani changamoto ni nini hasa kwa upinzani kukosa agenda na kutegemea matukio katika kubaki relevant katika medani ya siasa? Ina maana chama tawala kimechukua na kuzitekeleza agenda zote Tanzania?🐒
Mungu Ibariki Tanzania