matukio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mlinzi Shujaa_

    JamiiForums Tanzania MATUKIO HATARI ALIYOKABILIANA NAYO MLINZI SHUJAA

    Tarehe ( 30 / 12 / 2024 ) majira ya saa nne asubuhi katika eneo la majohe relini jijini dar es salaam tanzania, mlinzi shujaa alivamiwa na wauaji wawili ambao walikuwa na bajaji hawakuitaji chochote kutoka kwake, bali walishuka katika bajaji nakuanza kumshambulia na magongo makubwa ambayo...
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Mnavyofanyia watu matukio muwe mnafikiria kidogo

    Kuna stori leo nataka nishee nanyi. Kuna mamdogo wangu (true stori) aliolewa na mtu mwenye hela zake. She was indeed a charming woman. Na alipo olewa ndipo alizidi ku glow, maisha yalienda vyema sana kwake. Ilikuwa familia yenye Furaha tele, Ila ndugu upande wa mwanaume walitokea...
  3. Gobole Lenye Risasi

    JamiiForums Tanzania Huyu tayari. Kwisha habari yake. Mliooa ni kujiadhali na kuua au kujiua. Mkubali matukio yapo

    Nimemfahamu last week ofisini kwao nimeonana naye mara mbili ya tatu nimemgonga. Ni mtamu balaaaah.... Namfikiria vituko vyake mtu mzima anadeka kama mtoto. Wakati namwomba game alikuwa anakataa huku nguo zinatoka... Akaanza kulia huku anakatika kuwa ninamfanyia vibaya alikuja tu kunisalimia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wafariki wakipambana na Askari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wamefariki dunia baada ya kujeruhiwa katika mapambano na askari wa polisi eneo la Kijenge, jijini Arusha. Watuhumiwa hao ni Yusuph Hamis, maarufu kama Yuzo, na Dickson...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matukio ya kujirudia rudia ya Majengo kuanguka mwaka 2026 Kenya, tatizo nini?

    Kuanguka kwa majengo nchini Kenya mwaka 2026, hadi lini tutapoteza maisha? Leo Tarehe 23 Oktoba 2026, macho ya Wakenya yanaelekezwa Eastleigh, Nairobi, baada ya jengo la ghorofa nyingi zaidi 10 lililokuwa kwenye ujenzi kuripotiwa kuanguka. Tukio hili linaibua Maswali, Je, usalama wa majengo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Taifa haliwezi kujenga imani ya kudumu kwa kuwarubuni kwa matukio ya kisiasa. Ili watu wasahau maswali ambayo ni magumu na hayajawahi kupatiwa majibu.

    Maridhiano si tangazo la kisiasa tu kushikana mikono kati ya baadhi ya viongozi. Ni mchakato wa kurejesha imani miongoni mwa watu ambayo maisha yao, familia zao na hali zao zipo mashakani .
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa kisiasa kurukia rukia matukio inanihuzunisha sana

    Hamjambo! Napenda wapigania haki. Hilo litabaki hivyo. Lakini nachukia ushabiki maandazi. Yaani uanaharakati wa kishabiki. Siupendi kwa sababu unaulaghai na uongo mwingi sana. Na mtu mwongo kwa kweli hanivutii. Ukiwa muongo uwe muongo mwenye Akili angalau. Hawa wanaharakati uchwara hawana...
  8. Zerock

    JamiiForums Tanzania Matukio ya enzi za shuleni.

    Katika harakat za kutafuta kujua kusoma na kuandika (elimu) kuna matukio mengi ambayo kila mtu kupitia, kuanzia "msingi hadi sekondari" Katika harakat za kutafuta elimu Nakumbuka siku moja nikiwa form 4, Kama kawaida stori za kuwahi asubuhi kuhesabu zilikuwa zikinikera sana, lakin kuna wiki...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la matukio ya mauaji linasababishwa na kutokutekelezwa kwa adhabu ya kifo kwa miaka mingi

    Kila kukicha matukio ya mauaji haswa mauaji yatokanayo na migogoro/ wivu wa kimapenzi yameongezeka sana. Wahanga wakuu katika mauaji hayo ni wanawake. Inaonekana pamoja na sababu zingine lakini sababu kuu ya kushamiri kwa matukio ya mauaji inasababishwa na kutokutelelezwa kwa adhabu ya...
  10. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Vivuli vya Mpakani: Mkasa wa Marubani, Usaliti wa NATO, na Jinsi Matukio ya 2015 Yanavyosahaulika Kwenye Siasa za Kisasa.

    Baada ya ndege ya kivita ya Urusi aina ya Su-24 kuangushwa na Uturuki tarehe 24.11.2015 Urusi ilipatwa na wasiwasi kuhusu marubani wake wawili ambao walifanikiwa kuruka kutoka ndani ya ndege yao wakiwa hai muda mfupi baada ya ndege ya kivita ya Uturuki aina ya F-16 kuishambulia ndege yao...
  11. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania BONGO NCHI YA MATUKIO

    Wenyewe wanakwambia, Bongo Tz kununa utaamua mwenyewe. Leo mitandao yote ni Kujadili CONNECTION!! CONNECTION!!!KAMA TUMELOGWA, HII TAIFA LA SODOMA NA GOMORA. WTZ TUMEFIKIA POINT OF NO RETURN KWENYE UHAYAWANI.MISEMO KAMA "AIBU UTAONA WEWE" INATHIBITISHA HILI. Hapa hakuna maombi wala nini hapa...
  12. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania Bongo nchi ya Matukio

    Wenyewe wanakwambia, Bongo Tz kununa utaamua mwenyewe. Leo mitandao yote ni Kujadili CONNECTION!! CONNECTION!!!KAMA TUMELOGWA, HII TAIFA LA SODOMA NA GOMORA. WTZ TUMEFIKIA POINT OF NO RETURN KWENYE UHAYAWANI.MISEMO KAMA "AIBU UTAONA WEWE" INATHIBITISHA HILI. Hapa hakuna maombi wala nini, hapa...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Haya matukio ya mauaji ya wanawake ndani ya wiki moja tunaenda wapi wee mapenzi?

    Mwanasheria Keneth Nkiko (28) anatuhumiwa kumuua Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Manispaa ya Musoma. Uchunguzi wa awali kutoka Jeshi la Polisi, umebaini chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi ambapo mtuhumiwa alikuwa akimtuhumu mpenzi wake huyo kuwa na mahusiano na wanaume...
  14. 7scom

    JamiiForums Tanzania PAMOJA NA MATUKIO MATATU YA MAUAJI SABABU YA MAPENZI WIKI HII ILA BADO WANATUHITAJI SANA

    Mchezaji wa soka wa kike wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Athenea Del Castillo, amefunguka kuhusu maisha yake binafsi, akieleza kuwa umaarufu wake wakati mwingine huwafanya wanaume kusita kumkaribia. Athenea amesema watu wengi humwona kama mtu ambaye ni vigumu kumfikia, licha ya yeye...
  15. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Afya ya akili yanasababisha wivu wa mapenzi na matukio ya kikatili

    Matukio ya watu kuuana kisa wivu wa mapenzi yamekuwa mengi , kuweni makini na watu mnaoingia nao penzini wengine wana matatizo ya afya ya akili.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Facing El Chapo: Movies ya kusisimua matukio ya ukweli wa kukamatwa kwa El Chapo

    Mnamo Januari 8, 2016, wakati wa operesheni ya Kikosi Maalum cha Jeshi la Wanamaji la Mexico ya kumkamata "Cholo" Iván Gastélum—mmoja wa wauwaji wakuu wa Sinaloa Cartel — maafisa wawili wa Polisi wa Shirikisho , Arturo Carmona na Héctor Rosales walisimamisha gari jekundu aina ya Ford Focus...
  17. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Before JPM kuondoka…. Kulikuwa na matukio mengi sana ..iliogopesha

    Wakuu tusiogope kifo ….. kifo ni sheria ya asili na wala tusisheherekee kifo cha mtu maana wote sisi ni wapitaji …. It is just a matter of Time Nimekumbuka before kifo cha JPM wale watu wa karibu wote wa JPM walichunguliwa sana na kupanguswa. Tuliambia ni korona ila baada ya Mkuu kutoweka…...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Balile: Wasijulikana kwa sasa wamepungua au wamepotea hadi msamiati huo kwa sasa umesahaulika kama panya road

    Kibanda: Balile amezungumzia sana kuhusu Jamhuri na kazi anazofanya. Aliyekuwa Makamu wa Rais, Dr. Emmanuel Nchimbi, alizungumza kwenye shughuli moja kuhusu haja ya katiba mpya. Na Balile akaandika makala akimpongeza Makamu wa Rais Nchimbi. Na akasema kile alicho fanya kilikuwa ni sahihi. Labda...
  19. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Polisi na vyombo vya habari wamewekewa filter za kutangaza matukio na idadi ya watu.

    Kutokana na kashi kashi ya October 29 mpaka leo na mambo yanayoendelea bado kidonda kibichi. Serikali ya CCM ilipofikia na kufikia sasa kuzibiti vyombo vya habari na polisi kwenye taarifa,Kwa sasa wamewapangia jinsi ya kutoa taarifa mbele ya wananchi. Kuna habari moja ya boti iliyozama ikiwa...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani vyama vya upinzani Tanzania vinakosa nini hasa hata kutegemea na kuvizia matukio ili kua relevant katika medani ya kisiasa?

    Je, ni kwasababu Tanzania hakuna changamoto kubwa sasa ambazo zinaweza kua agenda kuu kwa vyama vya siasa hasa vya upinzani kuzisimamia? Au ni uwezo mdogo wa viongozi wa upinzani katika kupanga, kubuni na kuibua mipango na agenda zenye mashiko ili kuwafanya kua relevant all the time kwenye...
Back
Top Bottom