Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Matukio ya watu kuuana kisa wivu wa mapenzi yamekuwa mengi , kuweni makini na watu mnaoingia nao penzini wengine wana matatizo ya afya ya akili.
Hilo nalo neno tatizo la afya la akili linaweza likajitokeza baadae . Well notedMtu anaweza kuingia penzin wote mkiwa na akili timamu badae mmoja akawa na tatizo hilo bila mwenza wake kutambua na usikute hata huyo isiwe afya ya akili ni hasira na tukirudi nyuma kila binadamu ni kichaa