Ongezeko la matukio ya mauaji linasababishwa na kutokutekelezwa kwa adhabu ya kifo kwa miaka mingi

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Kila kukicha matukio ya mauaji haswa mauaji yatokanayo na migogoro/ wivu wa kimapenzi yameongezeka sana. Wahanga wakuu katika mauaji hayo ni wanawake.

Inaonekana pamoja na sababu zingine lakini sababu kuu ya kushamiri kwa matukio ya mauaji inasababishwa na kutokutelelezwa kwa adhabu ya kunyongwa kwa wahalifu wanao kutwa na hatia ya mauaji.

Adhabu ya kunyongwa mara ya mwisho ilitolewa miaka 32 iliyo pita hadi leo wauaji wengine wameendelea kuishi gerezani!!! wakila na kulala huku wakinenepeana!!! Jambo hili ndio linawapa ujasiri watu wengine kutekeleza mauaji bila kujali huku wakijua kuwa wao watenda kuishi magerezani!!!!

Tunaiomba Serikali ianze kutekeleza Adhabu ya kifo ili kupunguza mauaji ya kiholela yanayo endelea nchini.

Ikumbukwe kuwa adhabu ni fundisho kwa wengine wasitende kosa, sasa kama adhabu ya kifo/kunyongwa hadi kufa haitolewi unadhani jamii itaogopa kuuwa?? ndio maana tunashuhudia mauaji kila kukicha.

Tatizo sio afya ya akili bali ni kutokutekelezwa adhabu ya kifo. Watetezi wa Haki za binaadamu ndio wamechangia tatizo hili la kutokutekelezwa kwa Adhabu ya kifo, sasa ni wakati wa kubadilika.

Adhabu ya kifo itekelezwe mara moja kwa wale wote walio kutwa na hatia, wanyongwe hadi kufa ili watu wengine waogope kutenda makosa ya mauaji.
 
Hili nalo ni neno ,watu wanaenda jela kula bure
 
Wananchi tunaomba adhabu ya kifo, kunyongwa hadi kufa itekelezwe kwa wale wote walio kutwa na hatia ili iwe fundisho na onyo kwa watu wengine.
 
Hata watu wakinyongwa...kama jamii haina adabu mwendo ni ule ule.
 
Na ipi itakuw adhabu kwa watu wanaosababisha wengine kujiua au kujinyonga? Tuache kushughulikia matokeo ya tatizo, tushughulike na vyanzo vya hayo mauaji. Tufundishane ustaarabu na kuheshimiana hususan kwenye mahusiano. Kuwe na huduma bora za ustawi wa jamii siyo kujaza feminists kwenye hivyo vitengo. Kuboresha huduma za afya ya akili, kuongeza fursa za ajira ili watu wawe busy za shughuli na uzalishaji.
 
Hata watu wakinyongwa...kama jamii haina adabu mwendo ni ule ule.

Kuwepo kwa adhabu ya kunyongwa ni jambo muhimu sana kwenye jamii/ taifa lolote lile, maana watu watukutu huwa hawakosekani.
Wananchi wanataka Adhabu ya kunyongwa itekelezwe kikamilifu kama sheria inavyo taka.
 
Hakuna kesi nyepesi katika kesi zinazopaswa kusikilizwa na Mahakama Kuu kama kesi za mauji

Kunaweza kua na sababu kumi za kumtia hatiani mshitakiwa lakini ikatokea sababu moja tu ikamsaidia mshitakiwa kushinda kesi

Tofauti na kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha. Kunaweza kua na sababu kumi za kumuachia mshitakiwa lakini sababu moja ikamtia hatiani na akahukumiwa kutumikia adhabu
 
Wananchi tunaomba adhabu ya kifo, kunyongwa hadi kufa itekelezwe kwa wale wote walio kutwa na hatia ili iwe fundisho na onyo kwa watu wengine.
Majimbo kadhaa ya Marekani yanaruhusu adhabu ya kifo! Na bado kila siku watu wanauana.
Kwa nini usiishauri serikali yako kuangalia kwanza kiini hasa cha tatizo badala ya kukimbilia kwenye hitimisho?
 
Sasa jiulize kama adhabu ya kunyongwa ipo na inatekelezeka huko Marekani lakini bado mauaji yanaendelea, je kama hiyo adhabu ya kunyongwa isingekuwepi hali ingekuwaje? jibu ni kwamba mauaji yangeongezeka maradufu.
Adhabu ya kunyongwa ni muhimu ikatekwlezwa kwa mujibu wa sheria.
 
Back
Top Bottom